Nina mtaji wa milioni 2, naomba ushauri wa biashara ya kufanya

Wax wings

Member
Sep 26, 2019
11
45
Habarini wanajamvi wenzangu,

Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunipatia ushauri juu ya baishara halali yenye manufaa ya kimaemdeleo ya maisha.

Nipo Dar mtaji wangu ni million mbili pia sina uwenyeji sana na Dar. Me huku wa kuja nimebangaiza nimepata hiyo, nafkilia nini cha kufanya nakosa tafadhari ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.
 

Wax wings

Member
Sep 26, 2019
11
45
Asanteh nimesoma na nimeelewa ila me huku mgeni nanlipo ni bunju dry cleaner siwezi maaana sina kaz nyingne hiyo ndio natarajia iwe kazi yangu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom