Nahitaji kujua lilipo soko la zao la ngwara / fiwi jamii ya maharage

YONA RAPHAEL

New Member
May 8, 2021
2
0
Mimi ni mfanyabiashara chipukizi, napatikana Tanga. Natafuta wanunuzi wa zao la ngwara au fiwi jamii ya maharage na choroko.

Nina gunia zisizo pungua 8 store. Pia itapendeza kupata mawasiliano au kujua trend ya bei ya zao hili sokoni hususani kwa mkoa wa Arusha.

1621686591262.png

Vp ndugu, mteja ulipata? na unalima wap kwa maeneo ya Tanga.
Mm nipo Tanga na nilitamani kulima hilo zao pia
 
Back
Top Bottom