Good morning future Billionnaires[emoji23]
Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri.
Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma...
Boresha huduma kwa wateja kwa kuongeza kasi ya kutoa huduma, kuchangamkia wateja, kuthamini muda na kutengeneza mazingira rafiki na mteja wako.
Toa bidhaa au huduma yenye ubora na inayoendana na thamani ya pesa, watu huwa tayari kutoa pesa zao kwenye vitu wanavyovithamini.
Boresha mazingira ya...
Ninauza mchele super 1500Tshs kwa kilo. Nakusafirisha mzigo kuanzia kg100 kwa wateja wa Dar es Salaam utapokea mzigo wako Mbezi. Pia, kwa wanaohitaji kununua mchele/mpunga kwasasa kwaajili ya uwekezaji, nipe oda.
UPDATES
Jipatie mchele super unaochambuka vizuri kwa 1700Tshs@ 1kg.
Ndani ya Dar...
Tanzania wakati wa Hayati kulikuwa na biashara ya upinzani. Hizi biashara zimedoda sana na Tanzanite karibu wataomba mikopo
1. Vyombo vya habari kama Tanzanite
2. Usalama wa taifa kupiga deal za kununua vifaa vya kusikilizia watu kwa pesa ambazo sio za bajeti
3. Wanasiasa kama Sabaya na...
Habari zenu wadau
Mimi ni mfanyabiashara wa jeans za mtumba za kiume, sina muda sana kwenye hii biashara ni kama miezi kadhaa.
Sehemu zangu ni katika minada na magulio katika kuzunguka kwangu nikakutana na jamaa yeye anauza urembo nae pia tunazunguka wote katika minada.
Biashara yake ilianza...
Mabibi na mabwana sasa hii nikiwa mjini kurejea maskani tokea hija - kanda pendwa. Safarini vituko ni vingi tokea kwenye operation kukusanya 30,000/= @ gari hadi biashara haramu chini ya mamlaka za serikali alimradi kazi inaendelea.
Operation kusanya pesa nilileta uzi kamili...
Habari zenu wana jamvi,
Nimepata mtaji kiasi cha sh 1,200,000/= lengo langu nifanye biashara ya kupata sh 20,000-30,000/= kwa siku. Je inawezekana kupata biashara ya kuingiza kiasi hicho?
Kuna mmoja kanishauri biashara ya kuuza juisi ya miwa kwa kumuweka mtu anifanyie maana yake mimi nipo...
Leo nimeenda kukodisha mbao.
Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest.
Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/-...
Anaandika Dr Christopher Cyrilo
Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji.
Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu kilimo na ufugaji. Kuna mambo ya kufurahisha, na mengine ya...
Trust is an essential component of success in all types of negotiation, whether business, diplomatic or legal. Ambassador Denis Ron, Former us coordinator of the Middle East, Has stated that the ability of negotiators to develop mutual trust is the most important ingredient of successful...
Habarini wakuu
Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha za bidhaa zilizotengenezwa hapahapa nchini kwetu Tanzania katika harakati za kuelekea Tanzania ya viwanda. Utakuwa ni uzi wa kuweka picha za bidhaa tulizozitengeneza sisi wenyewe(watanzania) na si picha za ku download au kuweka...
Wakuu heshima zenu
Mimi ni mkazi wa Dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage Arusha na kuuza Dar
Watalamu naomba kujua changamoto za hii biashara.
Natanguliza shukrani.
1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo.
2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo.
3. Amua kujenga mahusiano...
Fursa za Biashara zilizopo Moroni nchini Comoro
Hivi karibuni nilifanya ziara ya kwenda nchini Comoro kufanya visual assessment ya fursa ziliopo kule lakini vile vile kuzungumza na wafanyabiashara wanaokuja Tanzania kununua bidhaa na kufanya biashara nchini.
Ndugu zangu Watanzania, Comoro kuna...
Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema.
To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa Facebook ads (matangazo ya Facebook), kama haufahamu Facebook ads ni nini basi fanya hivi :- Fungua...
Habari wadau..!
Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina.
Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana .
Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
Habarini wana jamvi.
Kutokana na kukua kwa kasi ya kuridhisha kwa jiji la Dodoma, kuna mahitaji yanayoongezeka kutokana na umuhimu wake kwa maisha ya binadamu ya kila siku.
Uhitaji wa mboga mboga na matunda unakua kwa kasi kubwa.
Uhitaji huu ni wa wote, yaani wauzaji na wazalishaji.
Kwa wale...
Hawa machinga wanatutafutia ugomvi sisi wafanyabiashara wa maduka.
Kumbuka Wenye Fremu wanalipa Kodi TRA tutashindwa kulipa Kodi kwa style hii.
Serikali waliangalie hili Jambo kwa upana zaidi.
Hapa mteja anapita wapi kuja dukani wakati duka halionekani Kodi za pango ni zaidi ya milioni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.