Kutana na walezi wa Biashara na Dodoma Jiji wanaoshangaza mno

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Mlezi mmoja team yake ili struggle kupata nauli ya kwenda Djibout na wachezaji watano hawakuwa na passport wakafika Djibout siku ya mechi wakashinda wakarudi dar wakashinda leo wako round ya kwanza ya kombe la afrika shirikisho, mlezi hakutoa hata senti moja kuwasaidia usafiri wala kusaidia hata upatikanaji wa passport, hata pongezi ya mdomo au hata kuwapa elf kumi kumi kwa hatua hiyo kubwa ambayo hata UTOPWINYO imewashinda kabisa

Mlezi akaibukia siku ya mechi ya simba na box lenye burungutu la hela kwamba wakishinda kuna milioni 15 wakitoa sare kuna milioni kumi, walipata hiyo kumi ingawa jana wamepapaswa kimoja hapohapo nyumbani labda kwa vile mlezi hakuhangaika na hiyo mechi

Mlezi mwingine naye ni vilevile ,milioni 15 kwa kumi ila huyu katia fora kwa kweli maana ni kama vile kulikuwa na maagizo pembeni na hela zaida za dodoma jiji kucheza kung-fu ,macho ya wadau yamefunguka kwamba kuanzia sasa kila mechi lazima wachezaji wa simba waumizwe au kufanywa vilema kabisa kisa "pesa za walezi"

Hawa wacheza kung fu waliikosa hiyo hela AMBAYO BINAFSI NASHAURI IELEKEZWE KUMWAGILIA ULE UWANJA ULIOKONDEANA NA KUPAUKA UTADHANI NGOZI YA LILE LI JAMAA ROPOKAJI

*NAONA WATU WANA COMPARE NA HELA ALIYOTOA BASHITE KWA KMC KUIFUNGA YANGA>>>>>>Kmc hawajawahi kuwa na shida ya usafiri kombe la shirikisho, kmc kamwe hawakuwa na maagizo ya kwenda kuvunja viungo vya wachezaji wa utopolo kwa makusudi
Kinachotokea mwaka huu ni uhuni na umafia , imbeciles are so desperate
Screen Shot 2021-10-02 at 09.04.17.png
Screen Shot 2021-10-01 at 20.16.49.png
 
View attachment 1959934View attachment 1959935
Maoni yako juu ya pesa za bashite na halizotoa happi hatuzikatai japo kiukweli zote zimetolewa kwa malengo yanayofanana,wenye upeo wa mambo hawahitaji maelezo kuhusu hilo...waswahili wanasema raha ya kuimba mpokezane,kwa timu ile mtaandika malalamiko mengi sana msimu huu humu jf.
 
Nyani haoni kundule,
Kipindi kile cha Makonda zile milioni 20 zilizowekwa kwa ajili ya kumfunga Yanga hazikujadiliwa kabisa ila now kibao kinabadilika na kelele zimekuwa nyingi
soma post imefafanua kabisa , ni wapi pesa ya bashite ilisababisha kung fu zichezwe na kuumiza wachezaji watatu?

*Ni lini kmc waliwahi kosa hela ya usafiri kwenda rwanda kwenye kombe la shirikisho?
*Je kmc wanatumia kiwanja kilichopauka kama cha dodoma? pesa ya jana isirudishwe kwa wauza magodoro ibaki palepale kumwagilia uwanja kama kweli mlezi ana uchungu na soka la dodoma
*Mlezi wa biashara bado hajachelewa kutoa pongezi kwa hao jamaa kufanikiwa kuingia round ya kwanza shirikisho maana hadi leo hajafanya hivyo alichokumbuka ni kwenda na box la hela siku ya mechi ya simba jana kasahaua wakala kimoja cha masau bwire
 
Usimpangie anaetoa hela matumizi,yeye katoa ahadi kushinda au draw au mingine ni juu yenu.
 
Unaandika vitu vingi ambavyo havina maaana but "Karma is a bitch"
 
Hakuna cha karma wewe, ni ujinga kutoa kiasi ambacho average kila mchezaji atapata 500,000 na kuagiza WAKAWAVUNJEVUNJE WACHEZAJI WA SIMBA , hivi kumbe kuna njaa kiasi hiki wale wehu wangepewa milioni 5 kila mmoja nakuhakikishia wangeingia na visu
 
Mlezi mmoja team yake ili struggle kupata nauli ya kwenda Djibout na wachezaji watano hawakuwa na passport wakafika Djibout siku ya mechi wakashinda wakarudi dar wakashinda leo wako round ya kwanza ya kombe la afrika shirikisho, mlezi hakutoa hata senti moja kuwasaidia usafiri wala kusaidia hata upatikanaji wa passport, hata pongezi ya mdomo au hata kuwapa elf kumi kumi kwa hatua hiyo kubwa ambayo hata UTOPWINYO imewashinda kabisa

Mlezi akaibukia siku ya mechi ya simba na box lenye burungutu la hela kwamba wakishinda kuna milioni 15 wakitoa sare kuna milioni kumi, walipata hiyo kumi ingawa jana wamepapaswa kimoja hapohapo nyumbani labda kwa vile mlezi hakuhangaika na hiyo mechi

Mlezi mwingine naye ni vilevile ,milioni 15 kwa kumi ila huyu katia fora kwa kweli maana ni kama vile kulikuwa na maagizo pembeni na hela zaida za dodoma jiji kucheza kung-fu ,macho ya wadau yamefunguka kwamba kuanzia sasa kila mechi lazima wachezaji wa simba waumizwe au kufanywa vilema kabisa kisa "pesa za walezi"

Hawa wacheza kung fu waliikosa hiyo hela AMBAYO BINAFSI NASHAURI IELEKEZWE KUMWAGILIA ULE UWANJA ULIOKONDEANA NA KUPAUKA UTADHANI NGOZI YA LILE LI JAMAA ROPOKAJI

*NAONA WATU WANA COMPARE NA HELA ALIYOTOA BASHITE KWA KMC KUIFUNGA YANGA>>>>>>Kmc hawajawahi kuwa na shida ya usafiri kombe la shirikisho, kmc kamwe hawakuwa na maagizo ya kwenda kuvunja viungo vya wachezaji wa utopolo kwa makusudi
Kinachotokea mwaka huu ni uhuni na umafia , imbeciles are so desperate
View attachment 1959934View attachment 1959935
Wapuuz wanaikamia simba afu wanapigwa na Ruvu
 
Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAA
Na mwaka huu malalamiko yatakuwa mengi tu, huu ni mwanzo tu nyie makolo

Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu
 
Wapuuz wanaikamia simba afu wanapigwa na Ruvu
mlezi aliingia mitini hata hakujua kama wanacheza , wameingia round ya kwanza Africa ingawa wali struggle nauli kwenda Djibout hata hakuwapongeza kaibuka na box la mihela siku ya simba
 
Usimpangie anaetoa hela matumizi,yeye katoa ahadi kushinda au draw au mingine ni juu yenu.
Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAA
 
Na mwaka huu malalamiko yameanza mapema kabisa na tunatoa ahadi ya kwamba mtaendelea kulalamika hadi mwisho wa msimu makolo nyie,
Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAA
(tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wengine)
 
Na kuna mbinu za hatari zinakuja huko mbeleni na humu JF mtajaza nyuzi za malalamiko tu
Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAA
(tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wengine)
 
Maoni yako juu ya pesa za bashite na halizotoa happi hatuzikatai japo kiukweli zote zimetolewa kwa malengo yanayofanana,wenye upeo wa mambo hawahitaji maelezo kuhusu hilo...waswahili wanasema raha ya kuimba mpokezane,kwa timu ile mtaandika malalamiko mengi sana msimu huu humu jf.
yapi mkuu wakati mpaka sas simba inaongoza ligi
 
kuna karatiba fulani amaizing sana baada ya game ya geita..UTOPWINYO VS AZAM, NAMUNGO, KMC,RUVU SHOOTING
Hapo hakuna timu ya kutuzuia na mechi zote hizo zinachezewa katika viwanja vya dar

Ruvu shooting na KMC pale uhuru
Azam na Namungo ni pale Taifa
 
Back
Top Bottom