Makosa 7 ya kuepuka unapouza bidhaa kwenye WhatsApp status yako

Call me GHOST

Member
Jan 18, 2019
53
95
....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7

Kabla sijakwambia hayo makosa ngoja nikusanue kwanza kuhusu huu mchongo mpya wa kutumia WhatsApp Status yako kupiga hela badala ya Kupost Memes!

Moja ya platform yenye uwezo wa kukufanyia mauzo mengi mtandaoni ni WhatsApp yako

Hivi ukipost kitu kwenye whatsApp status yako huwa unapata Viewers wangapi?...

Kama unapata views Kuanzia 100+ na bado hautengenezi Pesa basi unaacha hela mezani

Kwanini?...

Kwasababu hao ni Wateja wako watarajiwa

Tena wapo katika kundi la wateja Linaloitwa—HOT leads/Traffic

Kwanini?

KWASABABU
  • Wanakujua
  • Wanakupenda na
  • Wanakuamini
Ukiwa na mtu mwenye sifa zote hizo tatu Kumuuzia Bidhaa/huduma ni kama kumsukuma mlevi Tu

...katika soko la sasa la internet Hakuna kitu chenye Thamani kwako kama Kuwa na namba ya simu ya mteja wako mtarajiwa au E-mail ya mteja wako mtarajiwa

Ukiwa na kitu kimojawapo kati ya Hicho basi huna kabisa haja ya kulala njaa

Kwanini?...

Kwasababu Pesa Zipo kwenye LIST

Kwahiyo tumia WhatsApp status yako kama jukwaa la kuuza bidhaa/huduma yako kwasababu tayari soko unalo mkononi mwako

Najua utajiuliza Huyu jamaa analiongelea soko gani mkononi mwangu?...

Okay Upo sahihi Soko lako ni Namba za Simu za watu ulizonazo Kwahiyo geuza hizo namba za watu ulizonazo Kuwa wateja wa bidhaa/huduma yako

Na hata Kama Hauna bidhaa yoyote tangaza Bidhaa ya mtu yeyote kisha kula Commission au unasemaje?..

Kwahiyo kitu pekee unachotakiwa Kuwa nacho ni Ujuzi wa Kutumia hiyo Platform ya WhatsApp Status yako kuuza bidhaa yako—Kwasababu Pesa hazipo kwenye platform wala kwenye Bidhaa unayoiuza

Pesa zipo kwenye uwezo wako wa kuuza hiyo Bidhaa yaani—your Ability to communicates its VALUE

Na huo ujuzi ninaouongelea Hapa Unaitwa....

Ndio Upo sahihi ni—Copywriting Skills

Yaani uwezo wa kutumia Maandishi kuuza Bidhaa mtandaoni (Unatekenya Maandishi mpaka yatapike hela)

Hata sio vigumu kama Jinsi wanavyokwambia Ni Muda wako na commitment yako kujifunza

Mimi nakuamini unaweza kabisa

Okay tuache mbwembwe sasa turudi kazini au sio?...

Haya Hapa MAKOSA 7 ya Kuepuka Pindi Unapouza Bidhaa/huduma Kwenye WhatsApp Status yako na kosa la Kwanza kabisa linalowanyima wengi mauzo ni hili Hapa

1) Kupost Picha Tupu Bila CAPTIONS yoyote...

Ukweli ni kwamba kinachouza bidhaa kwenye maandishi sio picha ni Caption ya picha

Ukipost picha ya Bidhaa pekee Kwenye WhatsApp status yako hapo utakuwa hujauza hiyo bidhaa bali UMEONESHA Watu hawanunui bidhaa, wananunua Kile kinachofanywa na bidhaa kwao—Watu hujinunua wao Bora zaidi baada ya kumiliki bidhaa yako

...kwahiyo Waambie bidhaa yako Inatatua changamoto gani na inawatoa kwenye maumivu gani

2) Kuwaambia Watu Kuwa Una Mzigo wa KUTOSHA au Mzigo Upo wa Kutosha...

Kama mzigo Upo wa kutosha kwanini ninunue Leo na sio kesho au kesho kutwa?

Adui mkubwa hapa ni hilo neno—WAKUTOSHA

Kwanini?...

Kwasababu kinachowafanya watu Wanunue vitu ni FOMO

Yaani Hofu ya Kukosa...

FOMO ni kifupisho cha Maneno—“Fear Of Missing Out” (Hofu ya Kukosa)

Kwahiyo unaposema kuna Mzigo wa kutosha maana yake Ni kwamba hakuna haraka yoyote ya Kununua sasahivi

Na kadri unavyompa mteja wako Muda mrefu wa kufikiri Kuhusu Kile unachokiuza ndivyo unavyomkosa

Watu hawanunui vitu bila kupewa sababu ya Kununua

Weka Uhaba wa Muda na Uhaba wa Idadi ili kuonesha hofu ya Kukosa Kile unachokiuza(Time limit & Quantity limit)

Waambie wasiponunua sasahivi Nini kitatokea

3) Kutokuweka Bei kwenye bidhaa yako...

Kutokuweka Bei kwenye bidhaa yako kunaibua maswali mengi sana kichwani kwa mteja

Ikiwemo....

Hofu ya Kupigwa au hofu ya Kuuziwa cha juu pia ni ishara ya kutojiamini na Kile unachokiuza kwahiyo weka Bei kwenye post zako za WhatsApp status

4) Kutengeneza TAIRI Kwenye WhatsApp status yako na hili ni tatizo sugu sana kwetu

...Ukweli ni huu Hapa...

Ukimpa binadamu chaguo nyingi kwa Wakati mmoja Ghafla huwa anapatwa na tatizo la Kisaikolojia Linaloitwa—Analysis Paralysis

Yaani anashindwa kufanya maamuzi gani anabaki kama Jinsi Jinsi alivyo

Ndio maana ukiweka tairi kwenye status zako watu wanaishia kuview tu na kupita hakuna anayenunua wala Kuuliza Bei

Unadhani ni kwanini?

Ni kwasababu wameshapigwa na Analysis Paralysis

Najua utajiuliza sasa tunatokaje Nyanda kwenye huu msala?...

RELAX...Tunachomoka Hivi...

Tumia Siri ya kuuza inayoitwa—“The 3 Boxes Method”

Inafanyaje kazi?....

Angalia Hapa chini

Hakikisha unapost picha tatu tatu Tu Kwenye WhatsApp status yako

Binadamu akipewa chagua tatu kwa Wakati mmoja anachagua kile cha kati kati

Yaani unapost post tatu kila baada ya Muda fulani na kile cha kati kati ndicho wengi watakachokinunua

5) Kuna bei pekee Bila Uthamani wa bidhaa

Hii kitaalamu inaitwa—Price Anchoring”

Mfano...

Bidhaa Hii kwa Leo inauzwa Tshs 20K Tu lakini Thamani yake ni Tshs 50K

Hapo kuna Thamani na bei

Sasa wengi wanaweka Bei pekee Bila Uthamani Hilo kosa linalokunyima mauzo kila siku.

Cc: Amosi Nyanda
 
Udumu milele we jamaa.
Ubarikiwe na uzao wako.
 
Uko sawa kabisa!! Since nimeanza kutumia status mauzo yamepanda!!! Malizia mkuu 6 na 7.
 
Call me GHOST ubarikiwe
 
Back
Top Bottom