biashara

  1. Elon J

    JamiiForums Tanzania Biashara zinanzoelekea kupotea kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia

    (1) Biashara ya kuunza Magazeti Hii ni biashara ambayo imewatoa watu wengi sana kama akina ERICK SHIGONGO mf. gazeti lake la ijumaa,Sun etc. But now days watu weng wanapata habari kupitia kwenye simu, TV etc. Mfano akina MIllard Ayo etc. (2) Biashara ya kuunza mafuta ya taa Hii ni biashara...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wananchi Chato walia Ukata, Wasema toka Magufuli afariki hakuna wageni wanaokuja kuchangamsha biashara

    Vilio vya Ukata na Biashara kupromoka vimeanza kusikika kutoka Chato kufuatia Mji kubakia magofu 😁😁 My Take Tuliwaambia lakini hamkusikia johnthebaptist ona Sasa mataa yanaongoza baiskeli 😁😁 “Mara ya mwisho kushuhudia wageni wengi na kupata hela nyingi ni wakati wa msiba wa Rais Magufuli”...
  3. Zaitun kessy

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tambua fursa ya biashara kutoka kwenye soko la hisa na Faida ya kubadilisha Sheria ya Foreign Exchange Act ya 1992

    Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Kwa kumiliki hisa, mtu anakuwa mwekezaji katika kampuni na anapata haki za kifedha na kisera katika kampuni hiyo. Kuwekeza katika soko la hisa kunatoa fursa kwa Watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa makampuni na kupata faida kutokana na mafanikio yao...
  4. Nyati

    JamiiForums Tanzania Msaada Chuo cha Ualimu Masomo ya Biashara

    Wakuu Naomba Msaada wa kujua chuo kinachotoa Elimu ngazi ya Diploma Upande wa Masomo ya Biasahara yaani Commerce na Bookkeeping. Naomba kujua pia kama ni chuo cha Serikali AMA cha Binafsi naomba kiwe kinatambulika yaani kilichosajiriwa na Mamlaka husika. Aksanteni Sana
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

    Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka Wachaga Wakinga Wapemba Waha Wanyantuzu/Wasukuma My Take Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu. --- MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nina TIN Number ambayo sijawahi kuitumia kwa biashara yoyote zaidi ya kupatia leseni ya udereva, Je Tax Clearance nitadaiwa?

    Kama heading inavyojieleza, Tangu nipate TIN Number, Haijawahi kutumika kwa biashara isipokuwa tu ilitumika kipindi nahitaji leseni ya udereva, Je TIN hiyo naweza kuitumia kufungulia biashara sasa? Je katika kupata Tax Clearance kutakuwa na complications zozote? Nawasilisha.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za mtumba

    Kama una mtaji wa kuanzia laki 7+ na unahitaji kupata faida kuanzia laki 3+ per month njoo inbox tuongee biashara ya nguo za mtumba nitakuelezea ukikubali tutafanya
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa DP World ni biashara za wachache CCM, ushahidi huu hapa

    Mpaka sasa ukiusoma mchezo unagundua suala la DP World ni la Chongolo na baadhi ya watu wake na sio dili la CCM kwa ujumla wake, mfano mdogo ni ziara ya Kinana tangu ameanza mikutano Rufiji, akaenda Kondoa na sasa yuko Manyara sijamsikia akipigia debe suala la mkataba wa bandari. Ndani ya CCM...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu

    Elimu Biashara: Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu Kwasasa kuajiriwa kwa wahitimu wa kozi za ualimu ni changamoto iliyo kosa dawa katika maeneo mengi ulimwenguni. Hali hii imenifanya niandike huu uzi kwaajili ya wahitimu wa kozi za ualimu ili kupata njia mbadala za kujiajiri ili...
  10. King_kally

    JamiiForums Tanzania Biashara ya usafirishaji makaa ya mawe

    Habari wakuu, naombeni msaada na ushauri juu ya biashara ya kusafirisha makaa ya mawe. Nataka kununua gari ili nianze usafirishaji wa makaa ya mawe. Natanguliza shukrani kwa wote watakao changia mada hii.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara Kariakoo

    Wakuu kwema? Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia. Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha kariakoo kwa kuzungusha je Kuna kibali cha kuniruhusu au naweza fanya bila shida Kama hao wanaouza...
  12. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya Biashara ya Manukato (Perfumes) za Kupima...

    Naamini humu sitokosa mtu anaefanya hii biashara kama si mfanya hii biashara ila ana idea na elimu au taarifa kuhusu hii biashara. Ni moja ya biashara ambayo nimechagua kuifanya kwa ukubwa sana huu mwaka Ndani ya biashara yangu Flani hivi. Naombeni muongozo wa namna naweza ianzisha sijui...
  13. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania

    Mada: Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Biashara za mtandaoni ni biashara zinazotumia intaneti kuuza au kununua bidhaa au huduma. Biashara hizi zinaweza kuwa za aina mbalimbali, kama vile: Kuuza bidhaa za kimwili au za kidijitali...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Majeneza na kutosha maiti

    Ndugu wateja tumefungua BRIGHT CANDLES FUNERAL SERVICES Sinza karibu na Kitambaa cheupe bar. Gari kali Mercedes Benz c200, 220, Jeep Grand Cherokee, Land rover Discovery 4, Alphard, Noah na Coaster full AC kwa ajili ya waombolezaji (Kwa idadi yao). 1. Jeneza la kisasa (pamoja na suti ya...
  15. MrWings

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

    Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme. Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar, na location ya office za usafirishaji). Kwa anaye jua A to Z juu...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kupata Leseni ya Biashara Manispaa ya Temeke ni Biashara pia ya watu, lazima utoe rushwa ndio upate huduma

    Upatikanaji wa leseni za biashara katika manispaa ya Temeke umekuwa ni biashara kwa waliopewa majukumu hayo. Kumekuwa na utengenezaji mkubwa wa mazingira ya rushwa ambao upo wazi kabisa na bila kutoa rushwa huwezi kupata leseni ya biashara bila kujali ni kuomba kwa mara ya kwanza au kurenew...
  17. ikhlas

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa

    Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo Chini ya Umri wa miaka 25 Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa logo ya jina la biashara

    Salamu wakuu, Najikongoja kuamka baada ya kupata anguko na ajali pia,nimeregister jina la baishara BRELA (wazawa general supplies limited). Naomba msaada kwa mdau yoyote kunisaidia kutengeneza logo wakuu. WhatsApp number 0742666736 kwa mawasialiano zaidi. Shukrani sana, Mungu awabariki!
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana. Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
Back
Top Bottom