biashara

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto azitaka nchi za Afrika kuacha kutumia sarafu ya dola kwenye biashara zao za kimataifa

    Rais Ruto wa Kenya amezitaka nchi za Africa kuacha kutumia sarafu ya US Dollar 💵 💵 💵 kwenye biashara zao za kimataifa. Ruto anashangaa kwa nini Africa tumekuwa watumwa wa sarafu ya dola ya kimarekani kwenye biashara zetu kiasi kwamba inafikia nchi za Afrika zashindwa kuuziana bidhaa zao mfano...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Maonesho ya 47 ya Biashara ya kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonesho ya mwaka 2023 ni ya kipekee

    WADAU WA MAONESHO YA 47 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (DITF) MAARUFU KAMA SABASABA WAMESEMA MAONESHO YA MWAKA 2023 NI YA KIPEKEE - KIONJO CHA SABASABA EXPO VILLAGE Wadau wa Maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonyesho ya mwaka huu ni ya kipekee kwa kuwa...
  3. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tupambane kwa nguvu zote tuwafungulie wake zetu biashara wajiajiri

    Wanaume tupambane kwa nguvu zote tufungue biashara ili wake zetu waweze kuzisimamia. Hii hali ya kuoa mwanamke aliye ajiriwa kuna changamoto zake kama ifuatavyo:- Kazi ndio mme wake Mumewe ni chaguo la pili baada ya kazi Anaiheshimu ile kazi na anaitii kuliko anavyomtii mme wake Kazi inamfanya...
  4. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuanzisha biashara ya vitabu kwa Taasisi za elimu ya juu

    Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye: Mtaji Jinsi ya kuagiza kutoka publishers mbalimbali. Vibali husika vya biashara Kodi za bandarini na tra kwa...
  5. I

    JamiiForums Tanzania utitiri wa biashara ya miwani

    Wakuu. Huko Instagram kumezagaa kurasa zinazotangaza kuuzwa kwa miwani ya matumizi mbalimbali lakini hasa kuna ile inayobainishwa kuwa inadhibiti miali itokanayo na vioo vya computer. Je, wanaofanya biashara hii wamethibitisha kwenye mamlaka za afya kuwa bidhaa zao zinafaa kwa afya ya macho?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kanuni ya biashara ni kweli mwenye duka hakupi kitu bila hela asubuhi mpaka auze kwanza?

    Habari. Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo. Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
  7. kwisha

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara ipi inalipa zaidi?

    Kuna Restaurant Saloon ya kike na ya kiume Duka la nguo Duka la nafaka Bar Duka la mangi Katika biashara hizo ni ipi inalipa zaidi?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Alibaba yaleta mapinduzi makubwa duniani katika kuendesha biashara ya mtandaoni

    Tunapozungumzia soko la biashara ya mtandao wa internet duniani, basi bila shaka nchi ya kwanza inayokuja kwenye vichwa vya watu wengi ni China. Kwa sasa China imeliteka soko hili na kuwa kinara duniani, ikizalisha karibu asilimia 50 ya miamala duniani. Soko la biashara ya mtandaoni la China...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye?

    Habari ndugu zangu, naombeni mnisaidie ni biashara gani naweza kufanya hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa laki tano?
  10. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako

    Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako Kupata jina sahihi la biashara ni hatua muhimu katika kujenga kitambulisho chako cha biashara na kuwasiliana na wateja wako. Hapa kuna njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako: 1. Jifunze kuhusu biashara yako: Anza kwa kuelewa vizuri...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina milioni 3, nafikiria kufanya biashara yenye tija na kuleta faida

    Wadau mimi nina kiasi cha 3m nafikilia kufanya biashara ambayo itakua na tija na kuleta faida ,nahitaji ushauli wenu ni biashara gani nzur ya kufanya nipo Dar es Salaam.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata Leseni ya Biashara ya online?

    Hi utaratibu moat wa kupata leseni ya Biashara online sio Kama ile ya karatasi halmashauri unapata sasa hivi ONLINE. Sasa kuna baadhi ya stationery hawajui kwahiyo nataka nikomae mwenyewe JE INAWEZEKANA AU KAMA UNAJUA NAMNA YA KUPATA PLEASE ELEZEA!!.
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yawahakikishia Wawekezaji Mazingira Bora ya Kufanyia Biashara

    SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA BORA YA KUFANYIA BIASHARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ametembelea Kiwanda cha kutengeneza Mavazi cha Tanzania Tooku Garment kilichopo EPZA Ubungo External na kukutana na Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho Bw. Borja...
  14. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la Biashara ila sina mtaji

    Wakuu habarini za leo, natumai mko kamili gado. Ninalo wazo kubwa la biashara ambalo likitekelezeka hakika litanipatia ukwasi wa kutupwa na nitakuwa moja ya matajiri vijana kwenye hii nchi. Tatizo sina mtaji wa kutekeleza wazo lenyewe, nachokifanya kwa siku hizi chache nakwenda kulisajili kwa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum ajaweka post ya mchango kaweka tangazo la biashara

    Naona watu mapovu yanawatoka kuhusu post ya Feisal ila kama unauelewa game vizuri utagundua Feisal anataka mambo mawili. 1. Ameweka tangazo la biashara la kampuni ya simu. Kafanikiwa. 2. Kuendelea kupata sympathy ili apate justification kwenye muendelezo wa kesi yake. Msipanic sana wana Yanga...
  17. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Ushiriki katika Majadiliano ya Mtandaoni kupitia Saikolojia ya Biashara na Mtazamo Chanya

    KUIMARISHA USHIRIKI KATIKA MAJADILIANO YA MTANDAONI KUPITIA SAIKOLOJIA YA BIASHARA NA MTAZAMO CHANYA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Je, umeshawahi kujihusisha katika majadiliano ya mtandaoni lakini hujui jinsi ya kufikia malengo yako? Biashara na majadiliano ya mtandaoni vina uhusiano...
  18. J

    JamiiForums Tanzania TANTRADE na Ubalozi wa Hispania wakutana kuangalia fursa mbalimbali za biashara

    TANTRADE NA UBALOZI WA HISPANIA WAKUTANA KUANGALIA FURSA MBALIMBALI ZA BIASHARA _________ 24 Mei, 2023 Dar es Salaam Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Ukuzaji Biashara - Bw. Fortunatus Mhambe, Kaimu Mkurugenzi Maendeleo ya Biashara - Bw...
  19. incinc

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanapouza mayai ya jumla Dar es Salaam

    Wanaforum naomba kujua kwa yeyote mwenye kujua sehemu wanapouza mayai ya jumla kwa Dar es Salaam. Trey ni sh ngapi na unatakiwa kuchukua trey ngap ili upate kwa bei ya jumla?
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko asema Tanzania ipo tayari kwa kongamano kubwa la Madini, aelezea kinachokwamisha biashara ya Chumvi

    Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema wamepanga kutoa elimu kubwa zaidi kuelekea shughuli hiyo itakayofanyika baadaye mwaka huu...
Back
Top Bottom