biashara

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kituo Cha Kimataifa Cha Biashara Afrika Mashariki (Ubungo), Kufunguliwa June 2024

    Mkurugenzi Mkuu wa kituo Kituo Cha Kisasa Cha Biashara Afrika Mashariki Cathy Wang akizungumza kwenye maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam amesema kituo hicho kinatarajiwa kufunguliwa mwezi June mwakani...
  2. binkiko2

    JamiiForums Tanzania TRA

    ENDAPO MTU AMEFUNGA BIASHARA MASHINE YA EFD ANAIPELEKA WAPI
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Biashara na huyu ndio Mfanyabiashara wa kweli

    Rafiki yangu, kama ulikuwa hujui, au ulikuwa unajifanya hujui basi wacha nikujuze. Hii Ndio Biashara sasa na huyu ndio mfanyabiashara wa kweli. Kuhusu Faida Biashara ya kweli ni biashara inayokupa faida ya kutosha kumudu maisha yako, kukuza biashara na kuweka akiba. Kama Biashara yako...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Lenovo Laptop inauzwa bei 300,000

    Specification ya lenovo Laptop Window 10 pro, Processor core i5, Hard disk, Storage 300GB, Ram 8GB Hali yake ni imara na charger inadumu kwa masaa mengi nicheck 0624000771
  5. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo ya biashara ya viazi

    Wakuu salaam Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au amewahi kufanya hii biashara atoe uzoefu wake Hasa kwenye mambo ya soko kwenye kununua na kuuza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Eneo la biashara linahitajika

    Wadau, Nahitaji sehemu/kiwanja kilichotizamana na barabara kwaajili ya kuweka kontainer la biashara. Iwe Bagamoyo road kuanzia Tegeta mpaka Mapinga Bagamoyo. Iwe na mkusanyiko wa watu na huduma ya maji na umeme viwe karibu.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Biashara ya China na Afrika yaimarisha uhusiano wa kibiashara na kujenga siku njema za baadaye

    Maonyesho ya Tatu ya Biashara ya China na Afrika yamemalizika hivi karibuni hapa China, ambapo bidhaa mbalimbali kutoka nchi za Afrika ikiwemo kahawa kutoka Ethiopia, maua kutoka Kenya, na bidhaa nyingine nyingi zimeendelea kupata umaarufu kwenye soko la China. Maonesho hayo yalianza mjini...
  8. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Business Partners wanahitajika: Biashara ya Maziwa Fresh & Mtindi

    Wanahitajika business partners wawili hadi watatu. Biashara ya kuuza Maziwa Fresh na Mtindi. Biashara itakuwa jumla na reja reja. Vyema ukiwa unaishi Dar es salaam. Mimi nitasimama upande wa upatikanaji wa mzigo hadi kuufikia mzigo Dar. Partners watasimamia usambazwaji wa mzigo Dar es salaam...
  10. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Ngoja Mimi Leo nitoe njia ambazo Mtu anaweza kupata mtaji Kwa ajili ya Kuanzisha biashara ambayo anatarajia kuifanya. wote bila Shaka Tunakubaliana kuwa watu Wengi wapo na ideas nzuri Sana za biashara ambazo kama wakiweza kuzi-finance basi baada ya miaka Kumi tungeweza kuwaita mabilionaire,Ila...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Majukwaa zaidi ya ushirikiano kati ya China na Afrika yasaidia kuongeza thamani ya biashara kati ya pande mbili

    Wakati wa maonyesho ya 3 ya kimataifa ya Uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika kati ya Juni 29 na Julai 2 mjini Changsha China, wataalamu wa uchumi walipitia takwimu za thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili, ambayo imeonekana kuongezeka kutoka Yuan Bilioni 100 kwa mwaka...
  12. akroatis

    JamiiForums Tanzania Software ya kuendesha biashara ya kukopesha pesa (Micro-credit system)

    Habari, mimi ni kijana ninaye jihusisha na kuunda software mbalimbali ikiwemo za simu(mobile apps) na webstite. Katika kazi zangu zilizopita, nilipata fursa ya kufanya kazi katika kampuni ya kuunda software mablimbali, ikiwemo sotware ya micro-credit. Katika kufanya kazi kwangu, niliona...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya vitenge kutoka Kigoma. Fahamu namna ya kutambua Java na Wax feki utajirike

    Watu wengi hawajui kwanini biashara ya vitenge hutokea Kigoma, pia wengi hawafahamu wapi watapata Vitenge halisi na original, post hii yenye urefu itakufungua zaidi ili uweze kufahamu kwanini sisi watu wa Kigoma tunahusishwa na biashara ya vazi la Vitenge. Nifuate kwa umakini mimi mkali wako...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni ubunifu. Mafundi wa kazi kama hii wanapatikana Dar es salaam?

    Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI ! Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design kitofauti na kufanya nazo biashara zingine. Mtu anachukua bajaji ya kawaida, anaondoa siti za nyuma...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Ashiriki Kongamano la Uhamasishaji Biashara Kati ya China & Afrika Nchini China

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI KATIKA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI BIASHARA KATI YA CHINA & AFRIKA AMBALO LIMEFANYIKA NCHINI CHINA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu K. Kijaji (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Rossella Lyu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Greenchain ambayo...
  16. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishtaki kampuni iliyotoa tangazo la biashara ukiwamo na wewe bila ridhaa yako?

    Salamu wana jamvi! Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana? Natanguliza shukrani!
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Utumwa:Mfalme wa Udachi aomba radhi.

    Mfalme wa Udachi (Netherlands) ameomba radhi kutokana na nchi hiyo kupata faida kubwa iliyotokana na biashara ya kuuza watu mnamo karne ya 17. Katika hotuba yake kwa taifa kuadhimisha miaka 160 tangu kupigwa marufuku kwa biashara hiyo, mfalme Willem-Alexander akiambatana na mkewe bi Maxima...
  18. warzone

    JamiiForums Tanzania Natafuta frem nzuri iliyo eneo zuri kwa biashara ya juisi za matunda

    Habari wakuu,natafuta frem kwaajili ya kuweka biashara ya juisi ya matunda ,na location ikiwa nzuri kwa uuzaji wa juisi ya matunda itakuwa vizuri zaidi. pm kwa mawasiliano zaidi
  19. C

    JamiiForums Tanzania Milioni tano naweza pata wazo gani la kufungua biashara

    Habari za Leo ndugu zangu, vijana wenzangu? Natumaini Mungu anaendelea kutupigania katika mapito yetu ya kila siku. Nimekaa natafakari sana Hili wazo: Kwamba Kwa umoja wetu, kupitia mikakati sahihi, tunaweza kabisa kuondokana na Hali ya UMASIKINI, utegemezi na janga la ukosefu wa ajira...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tangaza biashara yako kwenye mji wako kwa sauti (audio advertising) kwa shilingi mia tano tu

    Tangaza biashara au tangazo lolote halali la sauti lisilozidi dakika moja kwa shilingi 500 tu. Rekodi tangazo lako kwa simu au njia nyingine na uweke namba za mawasiliano kwa kuzirudia mara tatu. Taja mji unapotaka tangazo lisikike. Tunatumia mobile loud speakers kutangaza. Pm au tuma ujumbe...
Back
Top Bottom