RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka

Wachaga
Wakinga
Wapemba
Waha
Wanyantuzu/Wasukuma

My Take
Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu.
---

MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii 5 muhimu zinazochangamsha ukuaji wa sekta binafsi, uchumi wa nchi na biashara kiujumla, huku akizitaja jamii hizo kuwa ni; Watu kutoka Kilimanjaro, Wakinga, Waha, Wapemba na Wanyantuzu.

RC Mtaka ameyazungumza hayo katika mahojiano maalum na Charles William kuhusu hali ya uwekezaji, biashara na kilimo katika mkoa wa Njombe.

Wasafi Media
 
Kama ulichoandika kipo sawa..kweli wewe na huyo mtaka sijui mataka mtakuwa kabila hilo la wajinga..japo sijawahi kulisikia ndo kwanza leo.
 
Sekta binafsi ni pana sana...angesema makabila yanayojihusisha na uuzaji bidhaa reja reja na jumla./ Kuuza maduka ya bidhaa.

Inakuwaje RC mzima anashindwa kufafanua? Alafu Wanyantuzu sio kabila Bali ni sehemu ya Wasukuma wa Bariadi. Wengi ni wakulima na wachungaji.
 
Back
Top Bottom