Nina TIN Number ambayo sijawahi kuitumia kwa biashara yoyote zaidi ya kupatia leseni ya udereva, Je Tax Clearance nitadaiwa?

Joseph Gadiel

JF-Expert Member
Dec 23, 2022
374
629
Kama heading inavyojieleza, Tangu nipate TIN Number, Haijawahi kutumika kwa biashara isipokuwa tu ilitumika kipindi nahitaji leseni ya udereva,
Je TIN hiyo naweza kuitumia kufungulia biashara sasa?
Je katika kupata Tax Clearance kutakuwa na complications zozote?


Nawasilisha.
 
Utaenda TRA kuibadili iwe ya Biashara

Utatakiwa kwenda na Mkataba wa Unapofanyia biashara kama kwako utatakiwa uende na uthibitisho ni kwako.
 
Back
Top Bottom