bandari

  1. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Bandari ya Dar asema "Hali ni shwari Bandari ya Dar es Salaam, operesheni zinaendelea"

    Shughuli za kiuendeshaji katika Bandari ya Dar es Salaam zinaendelea vyema huku gati zote ndani ya bandari hiyo zikiendelea na shughuli za kupakia na kupakua mizigo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho wakati akitoa ufafanuzi kuhusu madai ya uwepo wa...
  2. JamiiForums Tanzania Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Hizi hapa dondoo 15 muhimu za kuzingatia dhidi ya propaganda hasi kwa bandari ya DSM 1. Magati yote 12 pamoja na maeneo ya kuhudumia shehena za mafuta yanahudumia meli hadi kufikia muda huu wa leo tarehe 28 Januari 2024, tofauti na wapotoshaji wanaoposha kwa makusudi kuwa ni magati mawili (2)...
  3. JamiiForums Tanzania Houth walalamika kwa US na UK kupiga bandari yao

    US na UK wameonyesha wako tayari kupiga popote, yaani hawa Houthi wanataka wao wapige meli lakini wasipigwe kunako..... Houthis accuse US, UK of targeting Ras Isa oil terminal in Hodeidah Houthi-run Al-Masira TV reported that the US and UK struck Ras Isa port on Saturday The Houthis claimed...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya maboresho kukamilika, Bandari ya Tanga imeanza kazi, shehena na meli zaongezeka

    Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli zinazohudumiwa katika bandari hiyo jambo ambalo linachangia ongezeko la mapato. Hayo yamesemwa Jumanne tarehe 23 Januari, 2024 na Meneja...
  5. JamiiForums Tanzania Dola bilioni 2 za DP World zaidhinishwa kufanya upanuzi wa Bandari ya Msumbiji

    Bandari ya Maputo, Msumbiji Msumbiji imeidhinisha mkataba mrefu kwa DP World Ltd., Grindrod Ltd. na watoa huduma wengine wa bandari kubwa zaidi nchini mwake, ikiwa ni pamoja na upanuzi wa dola bilioni 2 utakaosababisha kuhamishwa kwa mizigo kutoka miundombinu ya biashara iliyochakaa ya Afrika...
  6. JamiiForums Tanzania Masoud Mrisha: Sasa Bandari ya Tanga itakuwa na uwezo wa kuhudumia hadi tani 3,000,000 kwa mwaka. Awali ilikuwa tani 750,000

    BAADA YA MABORESHO KUKAMILIKA, BANDARI YA TANGA IMEFUNGUKA NA KUZALIWA UPYA, SHEHENA NA MELI ZAZIDI KUONGEZEKA Na mwandishi wetu, Tanga Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Propaganda za bandari ya Mombasa zafika mwisho

    Bandari ya Mombasa imekumbwa na chnamogo kubwa ya msongamano wa meli kiasi cha watumiaji bandari hiyo kuwaandikia wateja wao na kuwapa tahadhari juu ya kuchelewa kupakuliwa kwa mizigo yao kwa zaidi ya siku kumi Barua ya Januari 18, 2024 kwenda kwa watumiaji wa bandari hiyo inaeleza kuwepo kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam sasa inafanya kazi 24/7

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na malalamiko mizigo kichelewa kutoka Bandari ya Dar es Salaam. Hali hiyo imeboreshwa kwani hivi sasa Meli kubwa zinaingia Bandari ya Dar es Salaam hata kama usiku wa Manane. Wqnafanyakazi muda wote iwe Jumamosi au Jumapili. TPA imeelezwa kwamba, Mwezi wa 11 na 12...
  9. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    BANDARI YA DSM NA CHANGAMOTO ZA MAFANIKIO Ni baada ya ukamilishaji wa mradi wa DMGP, uimarishaji wa mifumo na utekelezaji wa maelekezo na matamanio ya Rais Dkt. Samia katika mapinduzi ya Bandari Sasa meli zinamiminika kila siku, wateja wameongezeka, mapato juu, mfungamano wa ajira umeimarika...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri kufanyike uchunguzi wa kina juu ya kinachoendelea kwenye Bandari zetu baada ya mapato kupungua huku shehena ya mizigo ikiongezeka

    Nilifuatilia maelezo ya Menejimenti ya TPA hivi karibuni waliyoyatoa kupitia vyombo vya habari. Maelezo yao yalikuwa ni kwamba shehena imeongezeka zaidi ya matarajio yao kwa meli nyingi zaidi kushushia mizigo kwenye bandari zetu hususan bandari ya Dar. Hata hivyo,viongozi hao hawakutaka...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni mtego

    Vile ambavyo serikali ya awamu ya tano iliwaaminisha wananchi kuwa bandari ya Bagamoyo ulikuwa mradi usiotufaa kwa masharti yake, na ikafikia hatua ya kuuita kwamba ni mradi ambao ungekubaliwa na mtu mwendawazimu. Je, serikali imegeuka kuwa mwendawazimu? Inawezekana maslahi yapo lakini mashaka...
  12. JamiiForums Tanzania Aliyemuelewa Mkurugenzi wa TPA, Plasduce Mbossa atusaidie kufafanua hili

    "DP World atafanya kazi maeneo yaleyale aliyopewa kulingana na masharti ambayo tumemuwekea. Lakini bandari zote zitaendeshwa na TPA au mwekezaji mwingine au mwendeshaji mwingine wa ndani au wa nje ambaye tutakubaliana naye." - Mkurugenzi Mkuu TPA, Plasduce Mbossa
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile Akagua Upanuzi wa Bandari ya Pangani, Bandari ya Kipumbwi na Bandari ya Mkwaja Zilizopo Pangani

    Naibu Waziri Kihenzile Akagua Upanuzi wa Bandari ya Pangani, Bandari ya Kipumbwi na Bandari ya Mkwaja Zinazotumika Kusafirisha Ndani na Nje ya Nchi Bidhaa za Mifugo, Saruji, Mbao "Nikiwa nimeambatana na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe Zainab Abdallah tumetembelea Ujenzi (upanuzi) wa Bandari ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwasasa UTRAFIKI uko juu halafu TRA na Bandari zinafuata.

    Hii ya mwisho. Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu. TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu. Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Urasimu Bandari ya Dar, wafanyabiashara wa Parachichi wakimbilia Mombasa

    Hapo bandarini Dar wanashindwaje ku-handle mzigo wa ku-export Parachichi (cold room)? Yaan Parachichi litoke Njombe likasafirishwe Mombasa port? NB: nalazimika kukodi trucks za MAERSK kutokea Mombasa hadi njombe Kubeba Parachichi tu.
  16. JamiiForums Tanzania Malaysia yapiga marufuku Meli za Israel kutia nanga kwenye Bandari yake.

    Wanaukumbi. Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua ambayo inaashiria kuongezeka kwa kuchanganyikiwa kwa vita huko Gaza. Nchi hiyo pia inapiga marufuku...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bandari ya Mombasa haijawahi kupokea mizigo kama wakati huu, meli zinachepuka kutoka Dar

    Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa.... Nakumbuka mwarabu alipewa bandari zote baada ya Wabongo kushindwa, itabidi hatimaye zipewe mzungu maana hata mwarabu ni wale wale...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yakabidhiwa eneo la Kurasini

    13 December 2023 Dar es Salaam, Tanzania SERIKALI YAKABIDHI ENEO LA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM KWA BANDARI YA DAR ES SALAAM BAADA YA MRADI WA EPZA KUFELI Eneo lililokuwa maalum kwa uwekezaji chini ya Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZA) lakabidhiwa kwa bandari ya Dar es Salaam iliyo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zaingia makubaliano ya kusafirisha shehena kupitia Bandari ya Dar es Salaam

    Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mahakama Kuu yasitisha Ubinafsishaji wa Bandari za Mombasa na Lamu

    Mahakama Kuu imesitisha kwa muda mpango wa serikali kubinafsisha bandari hizo kutokana na ombi la wakazi wa maeneo hayo wanaodai Ubinafsishaji huo una njama za kutwaa usimamizi na mali za Mamlaka ya Bandari (KPA). Kwa mujibu wa Wafungua Shauri, wamedai mpango wa Ubinafsishaji wa Gati za Bandari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…