Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na maendeleo ya miundombinu ya uvuvi Zanzibar.
Wakati wa hafla ya kusaini mkataba iliyofanyika katika...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu...
bandari
chura kiziwi
freedom of expression
makosa
matusi kwa rais
rais samia
samia chura kiziwi
siasa tanzania
uhuru kukosoa serikali
uhuru wa kutoa maoni
uwajibikaji
uwajibikaji serikalini
wageni
Nafikiria nchi inavyokwenda mpaka unaweza kujiuliza hivi hii CCM iliyopo madarakani imeharibu vitu vingapi ambavyo vingekuwa msaada mkubwa leo.
Hujuma zinazofanywa na ripoti za CAG zilishawahi kufanyiwa kazi?
NASACO iliungua na ukawa mwisho wake...
Wakati Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikikabidhi Bandari ya Dar es Salaam kwa Kampuni ya DP World, Serikali inaangalia namna ya kufanya upanuzi wa bandari hiyo ili kuendana na ongezeko la mizigo inayohudumiwa.
Hiyo ni baada ya baadhi ya wamiliki wa migodi kutoka nchi jirani pia kuonyesha nia...
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30 umesainiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania.
====
The concession agreement for 30 years has been signed...
Siwapendi wabunge hasa niwaonapo bungeni wakiongea. Sipendi kuliangalia bunge hilo kwa sababu halina baraka za wananchi. Walishiriki kuuza bandari zetu kwa DPWorld na wakatoa sifa Kede kede kwa wizi huo wa kimkataba.
Nadhani kama nchi naomba picha zao zichapishwe kwenye magazeti na kalenda...
Pamoja na Zanzibar kuwa kivutio kupanda boti kwenda Zanzibar ni kama unaelekea porini. Hapo passenger terminal ni uchafu mtupu. Watu wanauza mpaka mayai ya kuchemsha, Karanga mbichi mpaka miguu ya kuku.
Ukifika Zanzibar Sasa kwenyewe ni majanga matupu. Ukizubaa unaibiwa hapo hapo bandarini.
Wadau habari zenu, kumekua na ongezeko la malalamiko kuhusu kucheleweshwa kwa mizigo bandarini hadi kufikia siku 40 mzigo unakuta umekwama.
Vipi hili swala limekaaaje? Changamoto ni nini haswa?
Citizenhttps://www.ke.co
Kioko Nyamasyo on Monday, 6 May 2024
Wakati Kenya ikiendelea kuongoza kwenye ushindani wa biashara ya bandari katika Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika muongo mmoja uliopita.
Hili...
Ninawasanua makada wenzangu wa chama chetu CCM, hebu tujaribu kulijibu hilo swali kimantiki!!
Hoja za lissu tumeshindwa kujibu na hilo swali tunaweza kulijibu?
Ifikie hatua tuache kujibu mipasho masuala mtambuka ya kitaifa na nchi yetu Kwa ujumla.
Mzee Warioba ni mwanaccm na anaitaka Katiba...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji.
Aidha, TPA imebainisha kuwa makabidhiano ni tangu Aprili 7, mwaka huu bila kuathiri uendeshaji wa...
Kumetokea tabia ya baadhi ya viongozi na wanasiasa kudai hasara au matatizo ya Tanzania ya Mosi kuhamia Dodoma kuliko fanywa na Hayati Magufuli, ni kukosa ueledi wa uongozi, bila kujua Mpango wa Nchi alioacha Mwalimu ilikuwaje.
Kuhusu Dodoma, Mwalimu aliacha Ofisi za Waziri Mkuu na Wizara...
Wanajamvi wakati wa Jiwe Miradi ya Bandari Bagamoyo na ya gas LNG iliposimama wote humu tulimusimanga jiwe kuwa ni mkorofi ndo kasababisha hata Bandari ya Bagamoyo kutojengwa na wachina n waomani.
LNG nayo haikuanza. Nakumbuka wakati wa magufuri ilibidi watangazi kazi ya mshauri mkuu wa masuala...
Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa.
Malawi imeilaumu Tanzania kwa kuanzisha mradi wa kuboresha na kupanua Bandari ya Mbamba Bay kwenye Ziwa Nyasa bila kuomba ridhaa, huku...
WanaJF kamwene
Nawapa tu angalizo wale mnaopenda kununua viwanja kiholela kuweni waangalifu sana na viwanja vya Bagamoyo
Kuna eneo kubwa limetengwa kwa ajili ya Ujenzi wa Bandari na Export zone na wenyeji Wengi wameshalipwa fidia
Kerege, Zinga, Kondo, Mlingotini, Kiromo na sehemu ndogo ya...
Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma
Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari...
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imejipanga kushirikiana na Kampujni ya DP World ili kuongeza ufanisi wa huduma za kibandari na kuwezesha ongezeko la Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam
Akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Bandari na Sekta ya Uchukuzi...
HOJA ZA MAPINGAMIZI YA SERIKALI YA MUUNGANO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUHUSU KESI YA BANDARI YATUPITILIWA MBALI, KESI YA MSINGI YA KIKATIBA SASA KUPANGIWA TAREHE YA KUANZA KUSIKILIZWA
https://m.youtube.com/watch?v=D5ZLtOJJ-nE
Ndugu Odero Charles Odero amechukua hatua ya kuipeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.