bandari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi kozi fupi za Bandarini zinasaidia kupata kazi?

    Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
  2. T

    JamiiForums Tanzania DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika

    DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo kuhusu taarifa Author,Na Beverly Ochieng Nafasi,BBC Monitoring, Nairobi 24 Oktoba 2023 Mkataba wa mamilioni ya dola uliotiwa saini kati ya kampuni kubwa ya baharini ya Emirati DP World na Tanzania...
  3. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Makonda ni ingizo jipya la kutuondoa kwenye hoja ya Bandari na Katiba mpya

    Uteuzi wa Paul Makonda au ukipenda Bashite ni mkakati wa kutuondoa kwenye hoja za msingi kama Katiba Mpya na Bsndari. Tangu ateuliwe amekuwa mtu wa kuropoka ropoka mkakati ukiwa kutuondoa kujadili masuala ya maana na kuanza kujadili upuuzi wake. Inavyoelekea baadhi ya Watanganyika wasiopenda...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hizi hatua za kenya kuhusu bandari tuzitizame kwa umakini

    Hizi hatua za kenya za kupunguza bei tunapaswa kuzitizama upya lama hazikiuki east africa protocals, na kama wanashusha bei nasie tushushe nao sambamba...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afunguka, mkataba wa Bandari na DP World umekiuka sheria ya ulinzi wa rasilimali. Ni sheria aliyoipambania Hayati Magufuli

  6. R

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto utalaaniwa milele na uzao wako kwa kuwadhalilisha/kuwadhihaki walioalikwa Ikulu utiaji wa saini mikataba ya Bandari

    Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Je, Boniface Mwabukusi kuvuliwa Uwakili?

    Njama za kihuni
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

    Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: 95% ya waliokataa mkataba wa DP World tuko nao hapa tunaposaini na baadaye tutakula nao Ubwabwa

    Ni Kauli ya Msanii lakini imebeba ujumbe mzito sana. Yawezekana hao 5% waliopelea kwa mujibu wa takwimu za Mpoto ni wale Chadema na akina Mwabukusi. Sijajua Mrisho Mpoto alitaka kumaanisha nini hasa lakini Ujumbe wake kwa tafsiri yoyote ile ni mzito. Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

    Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua. Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC...
  11. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani TEC kupinga mkataba wa bandari?

    Serikali ilisema inasikiliza maoni ya watanzania wote kuhusu mkataba wa bandari na viongozi wa dini walikuwa na nafasi kubwa ya kusikilizwa maoni yao Ikumbukwe Kanisa katoliki walitoa waraka wa kupinga mkataba wa bandari wiki sita lakini leo hii tumewaona wakishiriki pamoja na serikali katika...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

    Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM. Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ... Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa? Huyo makonda wenu mtajuana wana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili makataba wa bandari au tujadili Paul Makonda?

    Watanzania tumeletewa hoja mbili mezani. Moja ina maslahi mapana kwa taifa na nyingine 8nalenga kuwachekesha wakubwa. Mkataba wa bandari unaathiri kwa kila mtanganyika. Makonda hana athari kwa yeyote maana anachokwenda kueneza siyo cha taifa bali maisha ya waliomteua. Tuamue sasa kujadili...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

    CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated. Falme za namna hii hizi ni nyakati...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Kwa alivyotetea ukweli kwenye suala la Bandari, Tulia Ackson Mwansasu apewe kijiti 2030 kuongoza Tanzania

    Ukweli umekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha. Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu Kama...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  17. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Dkt. Tulia Acksoni, achukua fomu kugombea Urais IPU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola. Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Makelele ya bandari yameishia wapi?

    Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari. Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa...
  19. Martyr 360

    JamiiForums Tanzania Ubinafsishaji wa Bandari ilikuwa game changer, je Rais Samia alikwama wapi?

    Mimi niliposikia sakata la ubinafsishaji wa Bandari ilibidi nifaatilie mataifa mengine ambayo yaligundua Bandari zao hazifanyi vizuri wakazibinafsisha sasahivi zinaongoza kwa kufanya vizuri. Kwahiyo suala la Bandari kubinafsishwa ni jambo la busara na hekima ya hali ya juu na naamini damu na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Bandari imeuzwa au haijauzwa?

    Nani anajua tumemaliza vipi hoja ya bandari na DP world? Mwaka unaisha sasa, je wale waliokuwa wanatudanganya tutashtakiwa wameanza kushawishi DP world watushtaki ili walipwe fidia? Wale waliokuwa wanawatukana watumishi wa bandari kwamba wameshindwa kazi leo hii mbona wanaendelea kujisifu...
Back
Top Bottom