Urasimu Bandari ya Dar, wafanyabiashara wa Parachichi wakimbilia Mombasa

ebu leta source ya habarii wewee...unaichafulia jinaa serikalii
Nafanya biashara za export ya Parachichi kwenda Netherlands Ila ukijichanganya kutumia Dar port utajuta na mzigo utaozea hapo hapo. Na bado watakanusha. Hawana facility za kutunza perishable products (matunda na mboga mboga). Documentation Sasa kama zote
 
Perishable good vs ports/harbour, serekali isaidie hapa tunayo ndege, atcl kitengo cha marketing mpo wapi?, mna arange kitu gani kusaidia wafanyabiashara wa Perishable goods, hata safari moja tu kwa mwezi ya kimkakati.
Netherland imegeuka kama hub ya soko la parachichi kwa nchi jirani, hivyo importation ya parachichi hapo Holland huwa 1 billion US Dollars per annum, wanayapenda na hali zao haziruhusu kuyalima, hapo ndipo patamu, how serekali yetu ikienda kufunga mkataba wa kibiashara kusaidia wakulima wetu!
#Market review!
 
..kama biashara haihusishi familia ya kigogo mnajisumbua bure.
 
Nafanya biashara za export ya Parachichi kwenda Netherlands Ila ukijichanganya kutumia Dar port utajuta na mzigo utaozea hapo hapo. Na bado watakanusha. Hawana facility za kutunza perishable products (matunda na mboga mboga). Documentation Sasa kama zote
Kwann usiandae mapema documents
 
DPW hawakuja kwaajili ya kuboresha huduma. Ule ulikuwa ni mkakati wa watu wa humu humu ndani kujimilikisha bandari. Ndiyo maana kwenye deal yote, in the forefront unamwona Rostam StamRo Aldub.
Huyu mzaramo wa kariakoo Dili zote chafu za upigaji hakosi kupitia mgongo wa Mzee wa meno ya tembo plus za kuambiwa
 
Back
Top Bottom