Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama na kusoma jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali ya Zambia kupitia Rais wake Hakainde Hichilema kutafuta namna rahisi ya kusafirisha bidhaa zao kutoka ndani ya Zambia na za kuingiza nchini mwao bila kusahau zinazopita kuelekea nchi zingine hasa DRC...
Mv Logos Hope ni meli ya vitabu yenye library kubwa yenye vitabu mbalimbali inayozunguka kwenye mataifa na bandari mbalimbali duniani.
Meli hii ya kihistoria ilijengwa mwaka 1973 huko Randsburg, kaskazini mwa Ujerumani kisha ikapita mikononi mwa kampuni tofauti mpaka 2004 ilipochukuliwa na...
Siku ya leo ni siku muhimu sana kwa nchi za Afrika ya Kati yaani Msumbiji, Malawi, Zambia na Zimbabwe kwani nchi hizi zitaanza kupitisha mizigo yake kwa kutumia reli fupi ya Nacala kuzifikia nchi hizi, je tutarajie nini kwenye bandari yetu ya Dar es Salaam?
CCM ni kikwazo kwa maendeleo ya...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameielekeza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha inaanzisha bandari maalum kwa ajili ya mifugo kwenye maeneo kama vile Tanga, Pangani au katika maeneo ambayo itaona yanafaa.
Akizungumza wakati wa ziara yake alipotembelea bandari ya Lindi...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: BANDARI NYINGINE KUJENGWA MTWARA
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amesema pamoja na kuwa wizara hiyo ina mipango ya muda mfupi katika usimamizi na matumizi ya bandari ya Mtwara, Serikali inakwenda kujenga bandari nyingine mkoani humo katika eneo...
Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.
Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji...
MBUNGE SUBIRA MGALU: BANDARI YA DAR HAIJAUZWA PUUZENI WAPOTOSHAJI
Mbunge wa viti maalum CCM Mkoa wa Pwani na mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Taifa Mhe. Subira Mgalu amewataka wananchi wa wilaya ya Biharamulo na Tanzania kwa ujumla kutokubali upotoshwaji unaofanywa na baadhi ya watu juu ya...
Chadema ndio chama kikuu cha upinzani,but they are abdicating their responsibility. Ni kazi yao kuwakaribisha watu wote wanaoipinga serikali. Sasa inawakuwaje Sauti ya Watanganyika inawataka wadhamini mkutano wao,Chadema haitaki kuhusika?
Siyo kila mtu anataka DP World wapewe bandari zetu...
Kauli hiyo ya Rais wa Kenya inafuatia uwepo wa taarifa kuwa Serikali ina mpango wa Kubinafsisha Shughuli zote za Uendeshaji wa Bandari ya Mombasa, taarifa ambazo Ruto amezikanusha na kueleza Serikali yake inapanga kupanua Bandari kwa nia ya kuongeza utendaji kazi na kutoa ajira kwa vijana.
Ruto...
MBUNGE SUBIRA MGALU - MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT TAIFA ATEMA CHECHE UPOTOSHAJI WA HOJA ZINAZOHUSU BANDARA YA DAR ES SALAAM AKIWA WILAYANI MBOGWE
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha Ndg . Subira Mgalu ameeleza kwa kufanua upotoshaji wa hoja...
Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza.
Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November.
Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi.
Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) tayari imeanza kutafuta Wakandarasi watakao jenga kwenye Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo tenda imeshatangazwa na inatarajiwa kuwa ndani ya miaka mitatu itakuwa imekamilika na kuanza kutumika.
Millard
Pia soma > Serikali kuanza...
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.
Haki zetu wenyewe nazo...
Hili la Bandari, kuna watu wameamini ni vita ya kidini na wengine labda ubaguzi. Je, Umewahi kusikia mwafrika mweusi akiingia U-arabu? Yaani akafanya sherehe na kutangazwa rasmi kwamba leo kawa mwarabu?
Yawezekana wa-Tangayika wengi wanaifahamu Z'bar ya pale mjini na hisia za wanasiasa kuwapiga...
Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky.
Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Bandari ya Uvuvi - Kilwa Masoko leo tarehe 19 Septemba, 2023.
https://www.youtube.com/live/--l5dcKBzxc?si=TJchCSVp4JNKxdwb
===
Rais Samia amewasisitiza wananchi waliopata boti za mkopo nafuu...
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetangaza zabuni mbili za ujenzi wa bandari ya Kisiwa Mgao mkoani Mtwara, Mbegani wilayani Bagamoyo, kadhalika bandari ya Tanga.
Zabuni hizo, zinatangazwa kipindi ambacho kumekuwa na hoja kutoka kwa watu mbalimbali juu ya bandari zote nchini kukabidhiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.