Aliyemuelewa Mkurugenzi wa TPA, Plasduce Mbossa atusaidie kufafanua hili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,706
218,254
"DP World atafanya kazi maeneo yaleyale aliyopewa kulingana na masharti ambayo tumemuwekea. Lakini bandari zote zitaendeshwa na TPA au mwekezaji mwingine au mwendeshaji mwingine wa ndani au wa nje ambaye tutakubaliana naye."

- Mkurugenzi Mkuu TPA, Plasduce Mbossa
 
Mamlaka ya Bandari haijafutwa, hii haiondoi ukweli kwamba mamlaka hiyo ina uwezo wa kutumia huduma za taasisi tofauti, kwa mfano makampuni ya ulinzi, usafi, ukarabati wa vifaa kama A.C., au hata utoaji huduma wa sehemu ya bandari kama ilivyotumia huduma za DP.

Haimaanishi kampuni ya usafi, ulinzi na mengine sasa yamekuwa mamlaka ya Bandari na yanaiondoa katika udhibiti na usimamizi.

Wote wanawajibika kwa mamlaka ya bandari kama top authority
 
Mamlaka ya Bandari haijafutwa, hii haiondoi ukweli kwamba mamlaka hiyo ina uwezo wa kutumia huduma za taasisi tofauti, kwa mfano makampuni ya ulinzi, usafi, ukarabati wa vifaa kama A.C., au hata utoaji huduma wa sehemu ya bandari.

Lakini wote wanawajibika kwa mamlaka ya bandari.
😆😆😆😆😆
 
Mamlaka ya Bandari haijafutwa, hii haiondoi ukweli kwamba mamlaka hiyo ina uwezo wa kutumia huduma za taasisi tofauti, kwa mfano makampuni ya ulinzi, usafi, ukarabati wa vifaa kama A.C., au hata utoaji huduma wa sehemu ya bandari.

Lakini wote wanawajibika kwa mamlaka ya bandari.
Mdogo atamtawala mkubwa kwa bakuli la Dengu 😂😂😂

Hao DP World siyo Akina Karamagi ujue 🐼
 
Wanalazimisha ionekane DPW hajachukua bandari zote, matokeo yake wanaandika vitu visivyoeleweka ilimradi kulazimisha uongo wao, sasa ndio wanazidi kutuonesha vile yale makubaliano yao ya mwisho na DPW yalivyokuwa usanii mtupu.

Ndio maana ule mkataba wao na DPW wameuficha mpaka leo, hawataki tuuone.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom