Asalam,
bado naendelea kujiuliza uliza, je tuna uhuru wa aina gani? je jirani yangu yuko huru? je Mzee Mwanakijiji yuko huru? Je FaizaFox Yuko huru? na Mzee Paschal Mayala yuko Huru? Vipi Mamdenyi na Esta hapa?
Uhuru wa Kisiasa
Uhuru wa kisiasa ni uhuru ambao watu binafsi wanao kushiriki...
Asalam,
Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema kwa sauti nzito kuwa yeye ndio MMILIKI?
Naona wako watu wanazunguka humu nchini, wengine kwenye...
Wakati tuko kwenye majadiliano ya kibiashara kuhakikisha tunamuwin DP World katika mkataba na taifa likapata faida katika mradi wa uwekezaji bandarini, Wanaibuka Watanzania wenzetu toka chombo cha habari Wasafi Media na akina Maulid Kitenge na wenzake wanalisaliti taifa na kuwa maafisa masoko...
Kwenye ukurasa wa Wikipedia unaotoa wasifu wa Rostam Aziz (Rostam Aziz - Wikipedia) unaonyesha moja ya sehemu za biashara na uwekezaji wake ni kwenye huduma za kibandari (port facilities and service). Kwa wanaojua bandari gani anahudumia naomba tu kujua ili kupata ufahamu.
Sio kwamba nataka...
WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa kuwa wanaofanya hivyo hawaitaki nchi mema.
Pia, wameitaka serikali kuharakisha kusaini mikataba...
Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu. Jifunzeni kutafuta fursa.
Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.
Hatuna ujanja, sisi...
Hello,
Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu.
Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu...
Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hawa vijana wakijitokeza haraka kutetea au kufanya maandamano kupongeza kunapotokea sintofahamu hasa yanapoguswa maslahi ya serikali ya CCM na viongozi wao wakuu, lakini tofauti na sasa ukitoa tamko la Mwenyekiti wao Kawaida sijawasikia au kuwaona wakiandamana mkoa...
Boss ashampoo hatimae nimenunua gari baada ya kuteseka sana baada ya kuuza gari yangu nimebahatisha crown ya mkononi nimeteseka sana jamani miezi sita bila gari boss kama mimi
Tuachane na hayo nikiwa narudi home jioni hii nikasema hebu tuweka mambo sawa bandari ile muelewe yaani hiyo...
Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali.
Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la...
Mbunge wa Ukonga (CCM) Jerry Silaa ameishauri Serikali kutokubali kuyumbishwa na watu wanaotaka nchi isiendelee kiuchumi kwa kupinga utekelezaji wa makubaliano kati ya Serikali yaTanzania na Dubai juu ya uboreshaji wa bandari nchini.
Bunge liliridhia azimio makubaliano kati ya Serikali ya...
Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amemtaka Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutopotosha umma kuhusu utaratibu uliofanyika bungeni kwenye kupitisha azimio la Bandari.
Subira ameyasema hayo leo wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo atapeleka kwenye bandari zake tu labda alazimike kufanya pale ambapo hatakuwa na namna...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imepunguza tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumika kwa lengo la kuvutia wateja zaidi katika kipindi hiki chenye ushindani mkubwa wa kibiashara.
Ofisa Mkuu wa Utafiti na Masokowa TPA, Esaya Masanja amesema hayo alipokuwa akiainisha maeneo ambayo...
Nyakati zimebadilika. Hivi sasa ni mwaka 2023; sio 1961 ambapo tulijinyakulia uhuru na kujitosa katika uendeshaji wa taifa bila ujuzi wa kutosha, tukijaribu utekelezaji wa sera mbalimbali kama vile ujamaa na kujitegemea; sio miaka ya 1980 mpaka 1990 ambapo tulimiliki mashirika mengi ya umma bila...
Nimesoma pahala nyeti hasa kuhusiana na suala la bandari yetu nikaja gundua ya kwamba bado majadiliano yaliyobakia baina ya serekali yetu na DP w, bado yanaendelea wabunge wetu waliona na jambo jema lakini serekali yetu bado inachakata suala hili ukizingatia makampuni yaliyopo mezani kwa ajili...
Utangulizi:
Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika mambo yote yanayohusu sheria, zaidi sana ibara ya 59 (5) kwa hadhi ya ofisi yake mwanasheria mkuu...
Nimejaribu kuwaza kwa kina haya yanayoendelea hapa Tanzania kuhusiana na sekta ya bandari.
Sote tunajua tayari Serikali na bunge wamepitisha na kusaini mkataba wa uendelezaji na uendeshaji shughuli za bandari zote za Tanganyika kuwa chini ya umiliki na usimamizi wa milele wa muarabu wa Dubai...
Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni ya DP World uliongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Bw. Sultan Ahmed Bin Sulayem, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 17 Nov 2021 (pichani ikulu Dar).
Tangu tuanze sheria za...
Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari..
Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake
• "Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu
• "Kwa jinsi mkataba huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.