Iko hatari ya bandari kubaki bandari bila mizigo

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,949
Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo atapeleka kwenye bandari zake tu labda alazimike kufanya pale ambapo hatakuwa na namna.

Nimetoa mfano mdogo tu, pili Zambi, Burundi na Congo ni wateja wa kudumu.

Tunataka tuingie ubia na hao DP wenu na sio kuwauzia...msitudanganye muuze bandari
Mkuu mwenye bandari kavu nchi usika anauwezo wa kuamua apitishie wapi mzigo wake, huwezi ukamlazimisha upite dar port, sasa hivi huyu Dp world ana control bandari kavu nyingi Rwanda Central Congo nk, kwahiyo nchi usika inapokea mzigo kutoka bandari kavu.
 
Ndio mkaamua muiuze kabisa?
Huu ni ujuha.
Bora nusu shari kuliko shari kamili
 
Hamna alio uza bandari ni propaganda za wenye chuki hasa wafuasi na vikngozi wa RC
Unajua sio watu wote ni majuha kama mnavyofikiri.
Pili uteteeni huo mkataba kwa hoja.

Nipe jibu...
1. Mkataba wa miaka mingapi?
2. Kwanini hamkutangaza tenda?
3. Kwanini iwe bandari zote za bara lkn sio visiwani?

Jibu haya kwanza
 
Hayo umewquote vifungo vipi vya mkataba? AU unabuni?
 
Sio kweli bandari yetu ipo hapo strategically kwa Uumbaji wa Mungu. Tafuteni mifumo ya kuondoa rushwa, ukiritimba, ucheleweshwaji, umangimeza na mengine mengi ya hovyo hapo bandarini.
Tumieni vizuri rasilimali watu katika taifa hili, Wako E -Govrn wako Wazalendo huko TISS na Majeshi mengine. Wako wataalamu na wafanyakazi wenye hofu ya Mungu wengi tu, ni utashi wa kuwatafuta waliko kuwaajiri na kufumua utendaji wa bandari. Tanzania ina vyanzo vingi sana vya mapato wala msilaghai watu kuwa bandari ni chanzo pekee ambacho kinawafanya kuja na desiparate decisions.
Mithali 16:18
 
Back
Top Bottom