bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inatarajia kutumia Tsh. Trilioni 9.59 katika Mikopo kwenye Bajeti ya 2024/25

    Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia ambapo imefanya vizuri katika sekta za Afya, Elimu, Maji. Dkt. Nchemba alitoa ufafanuzi huo wa ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2024/25, wakati alipokuwa akiweka...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Mwaka 2024/2025, Serikali inatarajia kutumia kiasi cha shilingi trilioni 49.34

    Na Saidina Msangi na Joseph Mahumi, WF, Dodoma Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia ambapo imefanya vizuri katika sekta za Afya, Elimu, Maji. Dkt. Nchemba alitoa ufafanuzi huo wa...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya Elimu, ataka Walimu wawe na Siku Maalum ya Motisha

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini. Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yawasilisha Bungeni mapendekezo ya Bajeti ya 2024/25 iliyofikia Tsh. Trilioni 49.39

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, kwenye Kamati ya Bunge zima, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, ambapo Serikali imependekeza kukusanya na kutumia jumla ya shilingi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania TV gani smart nzuri nitapata kwa bajeti ya 600k-700k?

    Wakuu msaada wenu hapa. Nataka nivute TV ya bei ndogo naomba ushauri wenu. Ipi nitapata kwa bajeti hiyo na itakuwa na ubora kiasi wa kuridhisha?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota Landcruiser - Bajeti milioni 40

    Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari kwa whatsapp 0656388678. Iwe model ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea. Bei isizidi milioni 40...
  8. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milion 2 niwekeje ghetto liwe Kali?

    Wataalam, Asiwadanganyeni mbwa yeyote kukaa kwa baba mkwe jau sana...Hii nyumba nayoishi masaki ni ya baba mkwe, Sasa juzi kati luku iliisha nikampigia kumuomba anunulie nyumba yake umeme,looh hayo maneno niliyomwagiwa ni heri kumwagiwa maji ya ukoko. Sasa kwa hasira nachofanya mshahara...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2023/24 ilikuwa 812 billioni zilizopokelewa ni asilimia 12 tu?

    Kwanza nimeshukuru Mhe. Chege - Mbunge wa Rorya kwa ufafanuzi na swali alilouliza kuhusu fedha za barabara zilizoidhinishwa kwenye bajeti na zilizopokelewa. Mpaka sasa tumebakiza miezi minne tu kuanza na bajeti mpya ya 2024/25. Ninauliza ninyi Wabunge tuliwatuma kuisimamia Serikali, Je...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mkuu wa Wilaya ya Mpanda ahimiza vipaumbele vya Bajeti ya 2024/2025

    Kikao cha Kamati ya Ushauri wilaya ya Mpanda (DCC) Mkoani Katavi kimepitisha rasimu ya Bajeti ya 2024/2025 kwa jumla ya zaidi ya Shilingi Bilioni 53 (Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda zaidi ya Shilingi Bilioni 27 na Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo zaidi ya Shilingi Bilioni 26). Mbali na...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakulima waandamana kutaka Waziri ajiuzulu, Bajeti ya Kilimo iongezewe

    BULGARIA: Wakulima wakubwa na Wadogo wameandamana kwa siku ya pili walishinikiza Serikali kuweka Uongozi Unaowajibika pamoja na kuongezwa kwa Fedha za Ruzuku ya Kilimo nchini humo. Kamati ya Mipango ya Wakulima hao imesema Umoja huo hautasitisha Maandamano hayo hadi Waziri wa Kilimo, Kiril...
  12. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Tusome kidogo Bajeti ya Serikali yetu ili tunapodai uwajibikaji na haki tujue tunadai nini

    Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha link ya ukurasa ambao utakupatia vitabu vya Bajeti vya Serikali yetu ili tujue Pesa yetu inapelekwa...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Nyerere alalamika Bajeti finyu Wizara ya Ndani

    Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Madaraka Nyerere amelalamikia ufinyu wa bajeti uliopo wizara ya mambo ya ndani. Nini maoni yako? Written By Mjanja1
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haikutenga bajeti ya kuandaa timu ya Taifa kama Mataifa mengine yaliyofanya?

    Tunayoyaona ni Matokeo ya maandalizi mabovu. Timu haina bajeti, badala yake inabidi tufanye harambee Tena harambee yenyewe inafanyika tayari timu ipo Ivory Cost, sijajua hizo pesa zilikuwa za wachezaji au za kazi gani. Ni kwamba wizara haikufahamu kuhusu haya mashindano?
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto adaia Serikali ya Uhuru Kenyatta ilikuwa na Bajeti ya kuhonga Mahakama

    Rais William Ruto ameutuhumu Utawala wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa ulitenga Bajeti maalum kwaajili ya kuwahonga na kuwarubuni Majaji na Mahakimu ili wawe wanatoa maamuzi ya kuipendelea Serikali. Amesema Serikali yake haiwezi kuyumbishwa na Kesi zinazofunguliwa katika Mahakama nchini humo...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bajeti ya kijeshi ya Marekani latishia amani duniani

    Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 886 za kimarekani, na kuongezeka kwa karibu dola bilioni 30 ikilinganishwa na mwaka jana, na kuvunja rekodi ya historia tena. Katika miaka ya hivi karibuni, ili kudumisha umwamba wake...
  17. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, niwekee bajeti safi ya mwezi ilii niishi bila mikopo umiza

    Kwa takehome below 700k ,nifanyeje nisione dunia ni jehanamu wala kuwa ndugu, jamaa na marafiki kuhusu mikopo ama kuenda benki ambao riba zao ziko juu sana. Wazoefu, wachumi na waatalamu niwekee mgawanyo wa bajeti safi ya mwezi ili niwe debt free. Maana sukari iko juu, vyakula vikojuu, kodi nk
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Iran hali mbaya, wabunge wapiga chini bajeti kwa ilivyo na mapungufu mengi

    Wametoa sababu nyingi ikiwemo bajeti kupunguza utegemezi wa mafuta na kuhamia kwenye kuongeza kutegemea kodi ambayo yenyewe imewakaba wananchi kwenye koo, pia wastaafu wametupwa mbali, bajeti haina mpango nao, yaani matatizo lukuki. Nahisi ndio maana Iran imejinyamazia huku Gaza ikifanywa...
  19. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inategemea Wahisani Kuendesha Bajeti ya Fedha

    Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 ni Tsh trilioni 44.38, sawa na $17.6 bilioni. Mafungu makubwa mawili ya fedha zilizotengwa ni ulipaji madeni na uendeshaji wa shughuli za utawala. Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 Katika fedha hizo Tsh trilioni 6.31 zitatumika kulipa deni la taifa...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yatembembelea Chanzo cha Umeme wa Treni ya Kisasa Kinyerezi

    ✔️Yasema watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa inafanya kazi ✔️Vituo vya gesi kuboreshwa ili kuongeza uzalishaji Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema Watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa (SGR) inaanza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
Back
Top Bottom