Nataka kumfungulia mchepuko wangu duka la bidhaa za kike (urembo) na watoto. Nipeni ushauri kuhusu bajeti na mahala sahihi hapa dar

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Habari wakuu

Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu mke wangu niliempa mtaji akafanye biashara ya duka la kuuza urembo wa kike pamoja na saloon lakini akauwa ile biashara.

Yule alikua anafanya biashara kisa wenzake wanafanya lakini nina mchepuko wangu huwa ananipoza nikiwa dar, yeye kiukweli anajua hii biashara. Kuna muda anakuja kukaa hapa kwangu karibu wiki mbili na naona kabisa matumizi yake ya hela yapo vizuri na pia yupo sensitive na costs. Nimeamua kumsupport nimfungulie biashara yake sababu kwa sasa anafanya hio biashara ila anamfanyia mtu (mwanamke mwenzake) na wamekua hawapatani kwa muda sasa.

Naombeni ushauri kuhusu mahala pa yeye kuanzia ambapo hapatokuwa na kodi kubwa ila pawe na kiasi kizuri cha wateja, na vile vile jumla ya mtaji wa kuanzia ukiachana na kodi. Hayo maswali mnaweza sema nikamuulize yeye mwenyewe lakini yeye alikua ni mfanya kazi tu, hajui kuhusu details zaidi lakini ile kazi anajua kuifanya, kuna muda anaji-makeup mwenyewe ila ni kama kafanyiwa na professional makeup artist.

Niko hapa Nawasikiliza, ukiwa na details nzuri nzuri kabisa kama vile location hadi namna ya kupata wateja kwa location hio basi shuka hapa na wadau wakikubali idea yako mimi nitakupa zawadi (vijihela vya vocha, 10k, 20k hadi 30k), ila tu iwe very useful info, na kama ni sensitive basi njoo directly PM. Au kama unajua mtu ana duka la hayo mambo na anataka kuliuza basi njoo moja kwa moja PM
 
Endelea mkuu, kama hali inaruhusu mjengee na ghorofa, chengi zikibaki mpeleke cyprus akapunge upepo wa kisiwani
 
kodi zetu jamaaani🙇🙇 fisadi katuibia anaenda kumpa mchepuko duka
 
Yale yale.

Tatizo hamsomi.

Nishasema yeye anajua kufanya kazi ila mambo kama hayo kasema hana uzoefu nayo mzuri sababu hata hapo alikua anamfanyia mtu mwingine
Biashara yake lazima afanye research kuanzia frame , nini aweke na bei zake mie nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya tours ila huwezi niambia siwezi kufungua tours kama nataka eti kwa maana nilikuwa nafanyaga tu kazi . Hakuna mtu ambaye atajitoa kisa mtu mwingine afaidike
 
Back
Top Bottom