Nigeria: Baraza la Mawaziri labariki Serikali kukopa zaidi ya Tsh. Trilioni 3 kusaidia Bajeti

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1697527196155.png

Waziri wa Fedha Olawale Edun, ambaye pia ni Mratibu wa Uchumi, amesema Baraza limetoa baraka hiyo kwa lengo la kufanya marekebisho ya Sera ili kukuza Uchumi ambao umeatajwa kuwa kwenye mdororo kwa miaka kadhaa.

Tangu aigia madarakani, Rais Bola Tinubu amekuwa akibadili sera za Mtangulizi wake, Rais Mstaafu Muhammadu Buhari ambaye amelalamikiwa kuzorotesha Uchumi wa taifa hilo ikiwemo kushindwa kudhibiti gharama za maisha kwa Wananchi, licha ya kuwa moja kati ya Nchi zenye utajiri mkubwa wa Mafuta.

Aidha, Serikali imetoa makadirio ya Bajeti yake kwa mwaka 2024 ambayo imefikia Tsh. 85,170,000,000,000 ambapo kati ya Fedha hizo, Tsh. Trilioni 25 zitalipa Madeni, na Tsh. Trilioni 19.47 kwaajlili ya Mishahara huku ikipanga kuzalisha Mapipa Milioni 1.78 ya Mafuta kwa siku.

============

Nigeria's cabinet has approved proposed borrowing of $1.5 billion from the World Bank, its finance minister said on Monday.

Olawale Edun, who is also coordinating minister for the economy, told reporters after a cabinet meeting the World Bank had agreed to process the concessionary financing.

On Friday, the World Bank said it was in talks with Nigeria to provide $1.5 billion in financing at the request of the government to support key policy reforms.

"This loan was approved by the cabinet today," Edun said.

President Bola Tinubu has embarked on the country's boldest reforms in decades to try to boost economic growth which has been sluggish for several years.

Tinubu has scrapped a popular but costly petrol subsidy and lifted foreign exchange trading restrictions. But the action has worsened double-digit inflation currently at an almost 20-year high, fuelling anger and frustration for a population grappling with a cost of living crisis.

Edun said it is on the basis of reforms taken by the government that the World Bank is willing to process the loan.

He also added the government approved an $80 million financing from African Development Bank for a project in southwest Ekiti state to support youth in the knowledge economy.

REUTERS
 
Back
Top Bottom