Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

Gidabed

JF-Expert Member
Jan 29, 2023
422
781
Wakuu habari za muda huu,

Kwa wale wajuzi wa simu naombeni mnipatie muongozo wa aina gani ya simu ninunue kwa bajeti ya 300,000/- mpya/used.

Vipaumbele vyangu ni;
1. Battery nzuri at least kuanzia 2500Mah na kuendelea.

2. Simu iwe na display nzuri.

3. Iwe na camera nzuri.

4. Internal storage 4RAM/64GB 6RAM/128GB.

5. Atleast screen size iwe 6.1 inch to 6.5 inch.

Karibuni wadau, pia mnaweza mkanishauri pia kama bajeti haitoshi niongeze ngapi ili niweze kupata simu nzuri, asanteni.
 
Bajeti zake?
3axl inacheza kwenye 280k
3xl inatembea 320k

hii ni Kariakoo, sijui kwengine

Screenshot_20231106-142300.png
 
Kamata. Samsung galaxy A23 kwa bei hiyo hiyo mkuu , ina vigezo ulivyo taja hapo juu.......... Mawasiliano ni 0672701329......nipo kimara korogwe
 
Back
Top Bottom