bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Gari ya bia yaanguka Kilege Bagamoyo

    Haina maelezo mengi, angalia video
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Paul Makonda yaingia shubiri Bagamoyo na kuibua mapungufu ya Serikali ya CCM

    19 January 2024 Bagamoyo, Pwani PAUL MAKONDA AKUTANA NA UGUMU ULIOPITILIZA UNAOSHINDWA KUPATIWA UFUMBUZI NA MFUMO WA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM https://m.youtube.com/watch?v=om38fxu03Yc Katibu wa uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM Bw. Paul Makando leo hakuamini macho yake kuona jinsi ya mfumo...
  3. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Bagamoyo

    Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road). Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5). Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga kiwanda, kujenga shule,kujenga godowns Shamba halina migogoro na document zote muhimu zipo. Bei ni...
  4. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Hotel/Lodge Bagamoyo msimu huu wa Sikukuu chini ya 100,000 kwa siku

    Nahitaji iwe na options ya vitanda double, iwe ufukweni au isiwe mbali na ufukwe. Iwe sehemu tulivu ya kuvutia. Gharama yake isizidi tsh 100,000. Maana sisi wengine si matajiri, ninataka kukaa hapo siku 7 tu nipumzike na mke na watoto wa 4. Naombeni msaada wenu.
  5. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Daraja kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo limefungwa

    Daraja la Mto Mpiji ambalo lipo mpakani na linalounganisha Wilaya ya Bagamoyo na Mkoa wa Dar es salaam limefungwa kutumiwa na Waendesha magari na vyombo vingine vya usafiri baada ya sehemu ya daraja hilo kutitia na kupelekea uwepo wa shimo kubwa ambalo linahatarisha usalama wa Watu. Kwa sasa...
  6. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Hotel nzuri za bei Rafiki Bagamoyo

    Wadau sijawahi enda Bwagamoyo ila mwaka huu nimeona badala ya kwenda ku enjoy Dubai niende Bagamoyo nikakae hata week 2 Hotel flan hivi ufukweni maana mfukoni kume shake kidogo. Naomba mnisaidie majina ya Hotels nzuri za bei ya Taifa changa. Iwe kuanzia 50,000 mpaka 70,000. Ufukweni. Chumba...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwanini miji yenye Waswahili wengi mfano Bagamoyo huwa iko nyuma kimaendeleo?

    Nimebahatika kufika Bagamoyo safi na salama kabisa, shukran za dhati ziende kwa Mungu Mkuu. Mji wa Bagamoyo ni mji mzuri sana kimandhari, ukitizama mji wenyewe huko kando kando ya bahari ya Hindi. Nimefika Bagamoyo kwanza ni mji umepoa sana, sio mji wenye harakati kwa sisi wachakarikaji, nahisi...
  8. Jugado

    JamiiForums Tanzania Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

    Kwenu wana JamiiForums, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo kwenda Bagamoyo. Natanguliza shukran za dhati.
  10. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Makurunge Bagamoyo: Vurugu Kati ya Mwekezaji na Wananchi Baada ya Wananchi kuvamia Ardhi ya Mwekezaji

    Hali sio shwari Maeneo ya Makurunge kutokana na vurugu kati ya Mwekezaji Mika Meat na wananchi. Vurugu hizo zimepelekwa baadhi ya wananchi kuumia na wengine kupelekwa hospital. Vurugu hizo zimeanza kama wiki mbili zilizopita baada ya wananchi kuvamia shamba la mwekezaji na kudai kubwa ni eneo...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza tenda ujenzi wa bandari mpya ya Bagamoyo, kukamilika baada ya miaka mitatu

    Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) tayari imeanza kutafuta Wakandarasi watakao jenga kwenye Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo tenda imeshatangazwa na inatarajiwa kuwa ndani ya miaka mitatu itakuwa imekamilika na kuanza kutumika. Millard Pia soma > Serikali kuanza...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

    Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa? Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa...
  13. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kuanisha hasara kwa magari ya Bagamoyo kuingia Tegeta? Huu mgomo mpaka lini?

    Serikali na ama mamlaka husika, inapokosa mwelekeo thabiti na kutoa maelekezo kwa muda sahihi na mwafaka! Inasababisha tafrani na hasira kwa wananchi Kutokea Juzi 17 September mpaka hii leo, hakuna mwafaka juu ya mgomo wa daladala za Bagamoyo to Dar! Maana yake nini? Je, Serikali imebaini...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Tegeta Nyuki - Bagamoyo yagoma. Wananchi watumia Usafiri wa Bajaji nauli tsh 10,000 badala ya 1800

    Taarifa zimfikie mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima popote alipo kwa sababu inaelezwa Mabasi hayataki kuhamishiwa Bunju Sokoni ambako Nauli ya Dar - Bagamoyo itapungua kutoka tsh 1800 hadi tsh 1300 Leo wale Wananchi Pangu pakavu tia mchuzi chamoto wanakipata Mabasi ya route ya Mbezi - Bagamoyo...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Alaaniwe aliebomoa nyumba za watu na kuiba vitu vyao huko Mapinga Bagamoyo

    Wasalaam, Tanzania ya wabeba ndio sasa watu wamebomolewa nyumba zao na kuibiwa vitu huko Kijiji cha Mapinga Bagamoyo. Ni huzuni kubwa sana sana. Mungu wa mbinguni awape nguvu ya kustahimili wahanga wote. Tunawapenda wote na Mungu aweke wepesi kwenye machungu yenu. Akawape rehema ya riziki...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bandari ya Bagamoyo au Dar es Salaam na si ya Mtwara na Kilwa Masoko?

    Nimemsikiliza Mzee Samson Luhigo ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa THA wakati huo, na amezungumzia Bandari kuwa ni mgodi Makubwa na nafasi iliyokuwa nayo Tz, na kuongelea uzuri wa Bandari ya Mtwara dhidi ya hizi Bandari zingine, za Bagamoyo, na Dar es Salaam, hivyo uwezo wa Bandari ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ina maana DP World imeizika kabisa Bandari ya Bagamoyo?

    Miezi mitatu tu baada ya kufariki kwa Rais wa Awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya mama Samia, ilianza mazungumzo na wawekezaji kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Juni 26, 2021 wakati akifungua mkutano wa 12 wa Baraza...
  18. Franchesco1346

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya ufukweni vinauzwa katika mradi wa Kaole Beach Plots, Bagamoyo

    🏖️ Kaole Beach Plots Project! Je, Unataka kuwa jirani na bahari? Mradi wa Viwanja Kaole Beach Plots unakusubiri! Eneo lipo mita 500 tu kutoka baharini, Bei ni TZS 13,000/= kwa mita ya mraba. Huduma zote za kijamii zinapatikana, ikiwa ni pamoja na maji, umeme, na barabara. Mradi wa viwanja 48...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rasta za barabara ya Bagamoyo zinakera

    Rasta barabara ya Bagamoyo eneo la kuanzia Baobab, Kibosha, Mapinga shule hadi Kerege CCM ni kero kwa magari. Ziwekwe alama nyingine za tahadhari kwa sasa.
Back
Top Bottom