bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Waziri Mabula toa ufafanuzi wa Ekari 6000 za Zanzibar zilizopo Bagamoyo

    Mhe. Waziri wa ardhi Angela Mabula nakusalimu. Watanzania bara tumechanganyikiwa kusikia Wenzetu Zanzibar wana Ekari 6000 Bagamoyo na wametoa onyo kwa mtu yeyote kutojaribu kusogelea pale. Kinachotuumiza zaidi ni kuona sisi watanganyika kwenye ardhi yetu tukipigwa beat namna hiyo ili hali...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imemtangazia nani kwamba ina maeneo yake Bagamoyo?

    Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika? Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu achilia mbali kufahamu, hata ile kusikia tu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba, Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo? Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Bagamoyo iwe sehemu ya Zanzibar ili na sisi tuzamie tupate uraia wa Zanzibar tupate nafuu ya ajira, vyeo, teuzi, n.k

    Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha? Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira, vyeo, teuzi, n.k. JKT wengi kama sio wote huwa wanabakizwa kujiunga na Jwtz, Polisi, Usalama, n.k na...
  4. Elly official

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  5. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

    Habari ndugu Wadau.. Baada ya siasa na saga nyingi ,hatimaye Serikali ya awamu ya 6 imesema itaanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mwaka huu wa Fedha wa 2023/24 ambapo ujenzi wake utasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA.. Ile ndoto Sasa inaenda kuwa kweli ambapo Tanzania itapata Bandari...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nsekela aongoza harambee shule za Marian, Bagamoyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akilisalimiana na Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Kadinali Polycarp Pengo wakati alipowasili kwenye viwanja vya michezo vya Bongololo vya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Marian mjini...
  7. R-square

    JamiiForums Tanzania R-Square wasanii chipukizi kutoka Bagamoyo Tanzania

  8. D

    JamiiForums Tanzania TANROAD barabara ya Bagamoyo Mbezi Tegeta kwanini mnafyeka majani ya kando ya barabara kwa greda na kuziba mitaro?

    Sijui kama hili limekaa kitaalam sana au kipigaji! Kwa taarifa za Mamlaka ya hali ya hewa! Baada ya wiki mbili kutakuwa na mvua! Ukipita barabara ya bagamoyo kuanzia eneo la mbezi kuelekea tegeta! Yale majani ya pembezoni mwa barabara wanayakwangua na greda! Kama tunavyojua greda husukuma...
  9. Msokwa1

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi yeyote, niko Bagamoyo - Pwani

    Ni kijana wa miaka 26, mwenyeji wa mbeya ambae kwa sasa ninaishi Bagamoyo-Pwani. elimu yangu ni.kidato cha sita PCB, ninaweza computer vizuri katika shughuli za video library, kuflash simu na shughuli za kisteshionali. Nina nguvu ya kufanya kazi yeyote kwa maelekezo kiasi. kwa yeyote aliepo...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbaya ya Lori la Taka na Fuso Bagamoyo Rd Eneo la Bunju B

    Wanabodi Nimepokea taarifa hii as breaking news: Ajali mbaya Bagamoyo Rd eneo la Bunju kati ya Fuso na lori la taka!. Kuna taarifa ya Maafa ambayo bado haijathibitishwa!. Wana JF wa karibu mlio kwenye maeneo hayo ya tunaomba update. Paskali Update Kwa mujibu wa hizo picha nilizo tumiwa kwa...
  11. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Mhitimu afariki akiwa anajitolea kiwanda cha Sukari Bagamoyo

    Mhitimu wa fani ya uhandisi wa uvunaji na uchakataji ( Bio process and post harvesting Engineering) mwaka 2020 amefariki katka kiwanda cha sukari Bagamoyo wiki iliyopita, alipokuwa anajitolea ,kiukweli inatiaa simanzi natamani kiwanda kitoe maelezo ya kutosha , inachanganya aisee
  12. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

    Baadhi ya Waombolezaji kwenye msiba wa Kijana Henry Massawe aliyekuwa Mkazi wa Kiaraka Magengeni, Bagamoyo Mkoani Pwani, wamelazimika kuvunja geti la nyumbani kwa Marehemu ili kuingia kumzika baada ya kukuta geti hilo limefungwa huku Mke wake akiwa hajulikani alipo ikiwa ni muda mfupi tu baada...
  13. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Makondakta wa Daladala wanawanyanyasa wanafunzi, Mamlaka chunguzeni mchukue hatua

    Salamu wakuu, Poleni na changamoto za January naamini zitapita tu Kama upepo wa kisulisuli Husika na kichwa cha habari hapo juu, Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha kama sio kukera sana ni suala la makondakta wa Daladala kuwanyanyasa wanafunzi waendapo shuleni asubuhi na jioni wakati wa...
  14. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bagamoyo

    Wakuu leo kumetokea ajali mbaya sana Bagamoyo. Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajari hii atujuze. === Coaster inayofanya safari zake kutoka Bagamoyo kwenda Morogoro, imepata ajali kwa kugongana na Canter katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo asubuhi ya January 8, 2023. Watu watano...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jumamosi kuna uchaguzi wa Diwani Bagamoyo, nimeona Bendera za CHADEMA Stendi na Sokoni

    Sijaelewa kama hizi bendera mpya za Chadema hapa Bagamoyo ndio maandalizi ya Mikutano ya hadhara au kampeni za Diwani Bagamoyo watakuwa na uchaguzi wa Diwani siku ya Jumamosi
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, Bandari ya Bagamoyo na uwanja wa ndege wa Msalato ni miradi isiyo na faida?

    Tanzania tumejariwa utajiri wa rasilimali madini,gesi asilia na mafuta,utajiri huu ni kinyume na maisha halisi ya wananchi wa Tanzania, nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini, tunahitaji uwanja wa kimataifa kwenye mji mkuu wa nchi ili kuweza kufanya...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Bunge laazimia Serikali ianze ujenzi wa Bandari Bagamoyo je haya waliyazingatia wabunge?

    BUNGE limepitisha azimio la kuitaka Serikali iharakishe utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandarii ya Bagamoyo. Azimio la Bunge hili la Bunge kuhusu Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo limeazimia na Bunge lakini mradi haujawahi kuwepo. Azimio la Bunge kuagiza mradi huu utekelezwe haraka...
  18. aka2030

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo ziletewe mkoa wa Dar es Salaam

    Nashauri hivyo ili kuliongezea jiji la Dar eneo kijiografia pia wilaya hizo ni kama zimejitenga kimkoa wa Pwani na wilaya zingine Nashauri mkoa wa Pwani ubaki na wilaya za Mkuranga, Kisarawe, Kibiti, Rufiji, na Mafia
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Walimu 13 wafukuzwa kazi Bagamoyo sababu ya utoro

    Walimu 13 wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamefukuzwa kazi kutokana na makosa ya utoro huku wengine wanne wakiendelea kujadiliwa kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo kujihusisha na mapenzi na wanafunzi pamoja na ulevi uliopindukia katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2020 hadi Septemba...
  20. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot inauzwa Bagamoyo

    IMPORTANT NOTE : Hakuna dalali! Eneo liko baada tu ya roundabout ya kuingia Bagamoyo (kituo cha daladala cha Kosovo) na ni hapo hapo barabarani. Eneo lina ukubwa wa 120 * 93 (m), kuna nyumba ya ghorofa moja (3 bedrooms/Jiko/ Ukumbi na mbele kuna frame 3 kubwa sana (6*8 m) Bei ni 450...
Back
Top Bottom