bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwami Ntilubhazwa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Mashamba Bagamoyo Chalinze

    Kwa anayehitaji Mashamba pori Wilaya ya chalinze na Bagamoyo kwa ajili ya kilimo,ufugaji na ujenzi anichek 0626431257. (MWAVI,KIWANGWA,TALAWANDA,MSATA,MWETEMO,MASUGURU,NK) WHATSAPP/CALL:- +255626431257
  2. Joh MANGI Kim

    JamiiForums Tanzania House4Sale House for sale, Nyumba inauzwa 10m bagamoyo zinga mtaa wa masaki

    NYUMBA INAUZWA 10M – BAGAMOYO ZINGA, MTAA WA KISHUA BAGAMOYO ROAD UPANDE WA BAHARINI Nyumba 2 bedrooms, (no doors, windows, flooring), plot 21×19 (≈400 sqm) Bagamoyo – Zinga. Karibu na barabara umbali wa kutembea mtaa una MAJI, UMEME NA NEIGHBORHOOD NZURI, plot 21×19, hati tayari Bei: 10M cash...
  3. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025

    Kwa miaka kumi ujenzi wa bandari hii kwa ushirikiano wa Oman na china umesuasua Lakini sasa mambo yameiva na disemba hii ujenzi utaanza, bandari hiyo itakua kubwa kuliko bandari zote kusini mwa saha,itagharimu $10b. Itakua na kongani za viwanda,makazi ya wafanyakazi wapatao 15k,ni sehemu ya...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Waliovunjiwa Nyumba Bagamoyo wakwaa kisiki Mahakamani

    Huzuni imetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Udindivu Kata ya Mapinga, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani baada ya Mahakama ya Wilaya hiyo kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wananchi hao katika shauri na 18330/2025. Wananchi hao wakiongozwa na Agnes Lupembe walilofungua kesi mahamamani hapo...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Watu wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu, mmoja ajeruhiwa

    Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amethibitisha kuwa tukio hilo la...
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Beachfront property for sale at Bagamoyo

    PRIME BREACHFRONT PROPERTY IN BAGAMOYO FOR SALE measures 4431sqm. 65m of white sandy beach frontage. double storey house on the property. suitable for commercial development or private home. 5mins drive from the historical sites in Bagamoyo township. water and electricity on site. easy access...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameipandisha hadhi Halmashauri ya Bagamoyo kuwa mji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa...
  8. bro alex

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Usinunue eneo Bagamoyo Udindivu Mapinga kuna mgogoro wa ardhi

    WATU SIJUI tuna SHIDA ipi, unaambiwa usinunue ardhi HAPO NYUMBA zaidi ya mia Saba zinataka kubomolewa kesi IPO mahakamani, MTU UNAENDA TENA kuulizia kiwanja SAA ZINGINE MATATIZO yanayo toke NYIE NDO CHANZO mwajitakia wenyewe. Full stop Kwishaaaa
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakazi 700 Bagamoyo wapeleka kesi Mahakamani kudai kubomolewa nyumba zao kinyume cha Sheria

    Wakazi wa familia zaidi ya 700 wa Udindivu, Mtaa wa Kizimkazi, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo wakidai kubomolewa nyumba zao bila kufuata taratibu za kisheria. Wananchi hao wanasema hatua hiyo imewaacha bila makazi, huku baadhi...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Ninaabudu mizimu, siabudu dini zilizoingilia Posta, Kilwa au Bagamoyo

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere Mwanachama wa kweli wa CHAUMMA anasimama kidete na kuweka wazi kuwa yeye hana dini na kimbilio lake ni mizimu kwa sababu ndiyo chimbuko lake.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta wasafirishaji wa mifungo aina ya nguruwe kutoka mikoa ya singida, mbeya, njombe, moshi n.k kuja dar es salaam bagamoyo. Wadau wa kusafirisha?

    Naomba msahada wa wadau wanasafirisha mifugo au wanaofahamu wadau wa hizo kazi. Kutumia marolli kutoka mikoni kama singida, mbeya, njombe, moshi mwanza n.k. kuja dar es salaam. Kama kunamtu mwenye ufahamu wa gharama au wadau wa kazi za ushafirishaji naombeni msaada.
  12. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road

    Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road. Eneo linatazama barabara kuu ya Lami. Wamiliki WA eneo wapo watatu. Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja. Mmiliki mmoja anauza milion 300 Mmiliki wa pili anauza milion 300 Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana. Mmiliki wa tatu anauza...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kusomwa kwa Bajeti leo, Morogoro na Bagamoyo Gesti zote zimejaa tangu wiki iliyopita watumishi wa Serikali wanamalizia mafungua

    Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
  14. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya kati/chini - kati ya Dar, Kibaha, Mlandizi, & Bagamoyo?

    Wazoefu wa hii miji/maeneo. Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu mwenye maisha ya kati/chini - kati ya... A. DAR ES SALAAM, B. KIBAHA C. MLANDIZI D. BAGAMOYO. Right Marker Dar es salaam.
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Ubovu wa Miundombinu ya Chuo cha Marian University College (MARUCO) unahatarisha afya za Watu wakati wa mvua

    Kuna kero kubwa hapa chuoni kwetu Marian University College (MARUCO) kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, mazingira hayaridhishi hasa wakati wa kila kipindi cha mvua, maji yanajaa eneo kubwa hivyo kupelekea Wanachuo kukanyaga maji machafu. Jambo baya zaidi kiafya maji hayo mengi yanakuwa...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lawamani kupokea pesa milioni 20 zinazoitwa "za mafuta ya gari la Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo kwa kazi zake za kichungaji

    Hii haina tofauti na ile iliyoitwa zawadi ya TZS 150,000,000 kwa Askofu Shoo wa KKKT - Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (iliyolifikia kanisa kwa mkono wa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA by then) kwa ajili ujenzi wa kanisa huko Machame - Hai - Kilimanjaro kwa Freeman Mbowe.. Hiyo pesa iliyoitwa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Matangazo Mubashara Tumaini Tv, mtu anapigwa vijembe muda huu. Ni tukio la kusimikwa askofu katoliki jimbo Bagamoyo..

    Nukuu; 1. Bora kuadhibiwa kwa kusema ukweli, 2. kiongozi usitimie mamlaka kwa kulazimisha watu kufuata matakwa yako binafsi. Wapo Dr. Mpango na RC Dar Es Salaam.
  18. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo International Airport (BIA) itakuza utalii

    Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo (Sanzale) utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za Airport Tax / UBER / Nyinginezo kutoka JNIA hadi Mapinga Kiharaka hadi Makao Bagamoyo

    Kuna Mgeni anataka kuja Kuitembelea Tanzania na Mimi kama Balozi Kivuli wa Tanzania ninataka ajue Gharama kamili.
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Papa aanzisha Jimbo jipya Bagamoyo, amteua Askofu Musomba kuliongoza

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis amemteua Askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Stephano Musomba kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo jipya la Bagamoyo kuanzia leo Ijumaa, Machi 7, 2025. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri...
Back
Top Bottom