Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

Kwaresma na mwezi mtufukufu vyote vimekutana ila Genta na tukanauone ni wale wale shida ni wakuu
 
Mtu kaleta uzi wake humu
Watu wanatokea kila kona wanamshambulia...
Duh mwanangu genta una wapinzani wengi 😄

Ova
 
Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza.

Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
oscar one!!
 
Mwanetu NAE kuna siku akiamka zimecharge anaandika point, kuna siku akiamka sijui anatuonaje ni kama anatupanga,😅😅😅
 
Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza.

Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
Ni jambo jema sana hongera kwao. Ila pia wajiongeze sana kwenye angle za digital.
 
Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza.

Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
Haahaahaa mkuu vita vya kisasa watu wanarusha drones, hivyo vifua hata gorrilas wanavyo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom