Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,861
Kwenu wana JamiiForums, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo kwenda Bagamoyo.

Natanguliza shukran za dhati.
 
Kwenu wana Jamiiforum, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda bagamoyo, kati ya Chalinze to bagamoyo au Mlandizi to bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo kwenda bagamoyo.

Natanguliza shukran za dhati
Ungesema,unatokea wapi uelekezwe njia ya HARAKA na unafuu.

Mwisho kabisa, jaribu kutumia Google map.
Search umbali kutoka mlandizi kwenda bagamoyo like chalinze kwenda bagamoyo.

Kama unatokea nyuma ya mlandizi pitia njia ya mlandizi.
Ikiwa unatokea kibaha pitia njia ya kibaha.

Kama unatokea mbele ya mlandizi kuanzia mbele ya vigwaza pitia njia ya chalinze.

Mwisho kabisa.
Njia ya mlandizi ni shortcut nzuri Sana.
Chalinze kuikuta bagamoyo ni kipande Cha haja.

Chalinze-bagamoyo
100Km gari ni 1:30
Mlandizi-bagamoyo 60Km gari ni 40Mn ila kwa Sasa Kuna mvua Ile barabara changamoto.
Kibaha-bagamoyo ni 54Km

Kupanga ni kuchagua.
 
Barabara ya Kibaha to Bagamoyo via Vikawe imefungwa ipo kwenye ujenzi
Na hakuna Daladala zinazopita huko bora apitie Mbezi
 
Ungesema,unatokea wapi uelekezwe njia ya HARAKA na unafuu.

Mwisho kabisa, jaribu kutumia Google map.
Search umbali kutoka mlandizi kwenda bagamoyo like chalinze kwenda bagamoyo.

Kama unatokea nyuma ya mlandizi pitia njia ya mlandizi.
Ikiwa unatokea kibaha pitia njia ya kibaha.

Kama unatokea mbele ya mlandizi kuanzia mbele ya vigwaza pitia njia ya chalinze.

Mwisho kabisa.
Njia ya mlandizi ni shortcut nzuri Sana.
Chalinze kuikuta bagamoyo ni kipande Cha haja.

Chalinze-bagamoyo
100Km gari ni 1:30
Mlandizi-bagamoyo 60Km gari ni 40Mn ila kwa Sasa Kuna mvua Ile barabara changamoto.
Kibaha-bagamoyo ni 54Km

Kupanga ni kuchagua.
Asante sana kaka... Google map pia uwa ni nzuri, shida ni kujua gari zinapatikana wapi, pia nilishawahi kutumia Google map, ikanipitisha barabara mbovu sana, mpaka nikajuta... Kibongo bongo google map bora uulize.
 
Asante sana kaka... Google map pia uwa ni nzuri, shida ni kujua gari zinapatikana wapi, pia nilishawai kutumia Google map, ikanipitisha barabara mbovu sana, mpaka nikajuta... Kibongo bongo google map bora uulize
Sawa, basi Kama unatokea kuanzia kimara Hadi kibaha.
Panda gari mbezi mwisho zipo gari za kwenda bagamoyo nauli ni 2000-2500

Kama unatokea nje ya hayo maeneo.
Chukua gari za bunju then ukifika bunju Kuna gari za kumwaga kwenda bagamoyo.
 
Asante sana kaka
 
Njia rahisi ni mlandizi unaenda kutokea pale mizani asa chalinze ujue ni lazima upitie msata ni mbali mnoo yaan hata msata na Bagamoyo na mlandizi na Bagamoyo still mbali msata.
Ruti moja ya Chalinze to Bagamoyo ni ruti mbili za kwenda na kurudi mlandizi isipokuwa mlandizi ni rough road lakini ya chalinze ina lami
 
Mlandizi to bagamoyo ndo njia fupi zaidi, nauli 2500, ila utakula vumbi kipande kirefu.
 
Back
Top Bottom