Hotel nzuri za bei Rafiki Bagamoyo

Minjingu Jingu

Senior Member
Nov 2, 2023
116
483
Wadau sijawahi enda Bwagamoyo ila mwaka huu nimeona badala ya kwenda ku enjoy Dubai niende Bagamoyo nikakae hata week 2 Hotel flan hivi ufukweni maana mfukoni kume shake kidogo.

Naomba mnisaidie majina ya Hotels nzuri za bei ya Taifa changa. Iwe kuanzia 50,000 mpaka 70,000. Ufukweni. Chumba kiwe kikubwa chenye two beds. Watoto wawili walale kitanda chao na sisi wakubwa wawili kitanda chetu. Watoto wana umri wa miaka 3 na 6. Nataka pia huku huku nitafute mtoto wa 3.

Naombeni msaada kwa wenye uzoefu eneo hili la Bwagamoyo. Hotel ya Ufukweni itakuwa vyema zaidi. Ikishindikana basi hata pembeni ila iwe sehemu angalau ina swimming pool.

Nawasilisha.


Wenu mtiifu
Mboleaya Minjingu Jingu.
 
Sasa ulikuwa unajidanganya na Dubai gani? Kama bagamoyo tu unaulizia bei za kizalendo
Dogo hata kusoma ukaelewa huwezi? Wakati kila kitu kimeandikwa kwa kiswahili chepesi mtoto wangu wa miaka 3 anaelewa. Unakwama wapi dogo? Au njaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom