Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.
Hii nchi ina vituko sana aisee!
Yaani kila nikikaa na kukifikiria hiki kibanda cha kupigia nyungu hapo Muhimbili naishia kucheka.
Hivi lilikuwa ni wazi la nani hasa kujenga hicho kibanda?
Na ni kweli watu walikuwa wanaenda hapo kupiga nyungu?
Kuna yeyote humu JF aliyeenda kupiga nyungu hapo...
Wadau Habari!!
Leo tulikuwa na kikao cha Maafisa Elimu Kata na Walimu wakuu kujadili Mambo mbalimbali ya kuboresha taaluma wilayani kwetu
Mwenyekiti wa CWT wilaya alipopewa nafasi ya kuongea alielezea swala la Bodi ya Kitaalamu ya walimu na sintofahamu ya Makato. Kitu kilichosikitisha ni yale...
BADO TUNAFANYA MAONESHO KATIKA KUWAJENGEA VIJANA UJUZI WA TEHAMA
Miaka michache nyuma kabla ya kuingia kwenye karne ya 21 kauli mbiu ya Karne ya 21 kuwa ni karne ya sayansi na teknolojia ilitamalaki katika midomo ya watu wengi sana ulimwenguni na sisi kama nchi watawala walihubiri sana juu ya...
POWER TILLER GT SHAKTI 880 hp 13 Diesel
Usithubutu kununua haka ka Power Tiller nimekanunua majuzi tu sh 2,200,000 HP 13 Diesel tayari kamevunja diff, na spare hawana
Naombeni msaada wa kupata hiyo Tube Housing ya Differential
MAOMBI YENYE KUBAHATISHA
kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na kulingana na hali alonayo.
Ni mara nyingi nimesikia, nimejionea na nimejaribu nami pia katika kuhakikisha...
Kujiajiri ni kinyume cha kuajiriwa. Yani mtu kufanya kazi fulani kwalengo la kujipatia kipato, Mtu wa ngazi yeyote ya elimu anaweza kujiajiri mradi tu anaufahamu wa kile anachotaka kukifanya. Kwa hali ya kawaida iliyozoeleka katika akili za wengi ni kuwa wakati wa uanafunzi ni wakati wa...
Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..
Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ...
Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au...
Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..
Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ...
Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au...
Baada ya kufariki mzee Magufuri na kupokewa na makamu wake Sasha uliibuka msemo maalufu wa mama anaupiga mwingi sana kama kuonesha dharau na kebehi kwa hayati Magufuli baada ya tozo za simu na kodi ya mafuta hatusikii tena habari za mama anaupiga mwingi sana shida nini
Wapinzani wa nchi hii ni...
Hivi majuzi tu Chama cha Kikomunisti cha China CPC kimesherehekea kutimiza miaka 100 tangu kiasisiwe mwaka 1949. Ambapo kililazimika kusubiri kwa miaka 28 hadi kuingia madarakani na toka hapo kimeongoza watu bilioni 1.4.
Katika miaka 100, chama na nchi imepitia vita vya wenyewe kwa wenyewe...
Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo!
Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu!
Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi!
Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi...
Wakati Tundu Lissu kabla hajashambuliwa kwa risasi alikuwa analalamika kuwa kuna gari inamfuatilia. Sisi ambao siyo wanaintelijensia tulikaaa kimya kusubiri majibu ya wataalam na viongozi. Na haya yalinenwa na wakuu wetu:
Waziri wa mambo ya ndani, wakati huo Mwigulu Nchemba, alisema kwamba...
Habari wakuu,
Rejea mada tajwa.
Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao (japo wengi hawataki kujionesha), angalia kipindi cha kutaka kuoa huwa tunachagua sanaa. Na formulars tunakuwa nazo kabisa kwamba usioe huyu au yule na tunazingatia, lakini kwenye nyumba hali bado ni tete...
Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini.
Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi...
1. Said Salim Bakhressa
2. Said Salim Bakhressa
3. Said Salim Bakhressa
4. Said...
Kuna mjamaa mmoja yupo ameajiriwa sehemu rasmi ana sifa zote za kuwa na mshahara usiopungua 3m kwenda juu .maana anayo master ya fedha na anayo CPA kapata mwaka juzi lkn mpk sasa analipawa laki 3 .alikuja kwangu kuniomba ushauri nikamwambia poa nitakupa.maana yeye anataka aache kazi ili ajiajiri...
SOCIAL DISTANCING
Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na "Kujenga Mazingira ya kupata misaaa" kutoka...
Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania .
Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS
==========
Nimesoma hii Habari ;
"Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amezindua Tela la...
Ni ndege aina ya C-17 Globemaster imeonekana terminal 3 ya JNIA tarehe 1 July 2021.
Baadhi ya wananchi walisema imebeba Covid-19 vaccine lakini afisa wa ubalozi wa marekani Michael Pryor amedai kuwa ndege imeleta materials kwa ajili ya ubalozi bila kutaja ni materials gani.
====
UPDATES:
Dar...
Nawasalimia wana jukwaa la Great Thinkers!
Kuna usemi unasema siku hizi ogopa Mungu na Technolojia. Hii imekuja kuwaumbua watu wengi sana ambao walisema mambo tofauti na mambo ambayo walikuja kuyaishi baadae. Dk. Bashiru Ally alikuwa muumini mkubwa sana wa katiba mpya na alipinga kwa nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.