Serikali imehamishiwa Dodoma kwa gharama kubwa, kwanini bado mnatutesa kwa misafara isiyoisha huku Dar? Hamna huruma?

Ndo muelewe kwamba hajali chochote kuhusu Tanzania na watu wake, Dodoma ni Mji Mkuu wa nchi Kikatiba ilipitishwa Bungeni lkn inavyoonekana hautambui, tunaongozwa na mtu ambaye deep inside anatuchukia, vinginevyo asingetufanyia hivi…
 
Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki.

Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwannyieni ni nani msipandishwe pikipiki?!
Hawa jamaa ni mapimbi sana. This is not the govnmnt of the people, this is govnmnt of group of people.
 
Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki.

Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwannyieni ni nani msipandishwe pikipiki?!
Serikali iliyohamia Dodoma kwa mbwembwe ilikuwa ya Magufuli, Samia ameamua kurudi Dsm kinyemela

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mnajitahidi kufungua nyizi za kufuja hii yote kwasababu hamjitambui..

Huo uhuru mnaoutumia kutukana pia amekupeni yeye, angekuwepo yule mwengine mngeshakiona chamoto saivi
 
Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki.

Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwannyieni ni nani msipandishwe pikipiki?!
Unataka tukuachie starehe za hili jiji ufaidi peke ako thubutu hata sisi tunapenda pisi kali na starehe
 
Back
Top Bottom