Mzee Mambo
Member
- Jun 21, 2021
- 29
- 18
Habari Za majukumu wakuu wa hili Jamvi.
Mwanzo nilikuja kwenu kuomba kibarua/kazi kwajili ya kujikimu kimaisha, ila bado sijafanikisha kwenye Hilo.
Tafadhalini, kwa mwenye connection au kazi anisaidie.
đź’ĄNina Elimu ya chuo kikuu (BSc. Property and facilities management): Pia ni mjuzi kwenye mahesabu na matumizi ya computer.
Naishi Dar es salaam.
NB: ELIMU yangu sio kigezo, nipo tayari Kufanya kazi yoyote ya halali hata kama haiitaji elimu.
SHUKRAN