bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanasiasa mnaojijua bado hamjamaliza Uhuni wenu mkiteuliwa na Rais muwe mnakataa ili msije Kumharibia na Kujiaibisha

    Kuna Mtu tokea akiwa Masomoni Chuo Kikuu niliambiwa kuwa alikuwa ni Mhuni ( Mpenda Ngono hovyo hovyo ) nikawa bado mgumu Kuamini. Mtu huyo huyo tena akaniambia kuwa Mwanaume aliyenae sasa siyo wa Kwanza kwani alishakuwa na mwingine ila walishindwana kwa tabia yake ya kupenda Uhuni ( Ngono ) na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bado kuna mwenye Swali juu ya Unafiki mkubwa wa Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redio za Tanzania?

    Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) alipokuwa Yanga SC... "Haji Manara hana uwezo na bado kabisa hajaweza kumfikia Antonio Nugaz kwa Kuhamasisha, Kushawishi na kupiga Madongo ya maana na huyu ndiyo kiboko yake" Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) baada ya kuondoka Yanga SC Jana... "Haji Manara hana...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

    Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

    Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI Duuuh 😥😥😥😥 Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
  5. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

    Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Je umewahi kuuona mwandiko ya Jakaya Kiwete?, kama bado basi pitia hapa uuone

    Sio kila mtu amewahi kuuona mwandiko wa rais wake, ila kwa sisi wachache ambao kwa wakati fulani tumepata kuwasiliana na rais mstaafu Kikwete kwa njia ya maandishi basi tunaufahamu fika mwadiko wa JK. Hapa chini ni mwandiko wa JK alipomwandikia rais wa Uganda ndugu Yoweri Museveni. Muda sio...
  7. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tuache Ufyatu: Ni Kama Bado Tunadeka...

    Nashindwa hata kuelewa kama ni kudeka au ni kutaka kudeka... kabla ya Rais Magufuli watu walilalamika sana na kutaka Rais mkali asiyecheka cheka, na mtu ambaye aliwaambia mapema kabisa kuwa yeye akiwa Rais watu "watalimia meno". Watu walishangalia na kutabasamu wakidhani aliwatania wakati...
  8. Nduka Original

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana uke mkubwa ila bado nampenda

    Nimemkuta huyu mpenzi wangu akiwa na mtoto mmoja na sasa ni kipindi cha miaka saba sasa. Cha ajabu tulitumia miaka mitatu tulikuwa tunafanya kila kitu lakini aligoma kabisa kusex na mimi. Tulikuwa tunaenda chumbani au tunakaa kwenye gari tunafanya kila kitu ila ukimwambia msex hataki kabisa...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mkubwa kuzidi Simba SC, kwanini Wanasimba bado wanamzungumzia Manara?

    Simba ni club kubwa mno Hakuna mtu mkubwa kuzidi Simba Mtu akiachana na simba inapaswa asahaulike maana sio tena mwanasimba Nashangaa huko mitandao ya simba ni kumzungumzia Manara tu, mtu mdogo huyu iwaje awape taabu. Hakuna mtu mkubwa kuzidi simba, kuna tetesi Al Ahly wamemnunua Luis na...
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi ipo ligi yake. Dar bado sana.

    Tazameni jinsi Naironi inazidi kukua kwa kasi. Majengo ya aina ya apartments yanazidi kuchipuka kila siku. Tazama hii high density cluster ya apartments ambayo haiwezi kupatikana huko kwenye nchi ya malazy.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Picha: Naibu Spika, Tulia Ackson akiwa mdogo

    Maisha ni safari ndefu Pichani Mheshimiwa Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiwa bado mdogo Hongera sana Mheshimiwa kwa kuchapa kazi Source: Her Facebook Page
  12. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Tunastaafu bado madeni ya Polisi wanayoidai Serikali ni miaka 7 bado haijalipwa

    Haya ni mateso juu ya mateso, Nauli za baada ya kustaafu ni kitendawili, Penesheni ya PSSSF kulipwa ni kitendawili, Madeni pindi tunaenda kozi za vyeo pamoja na kukatwa kwenye mshahara kila mwezi laki 290 elfu kujisomesha kwenye chuo cha serikali kila mwezi bado hatujalipwa nauli zetu za safari...
  13. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kigaila: Inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya Mahakama na bado akawa salama

    "Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe 13/08/2021 hakuletwa kwa sababu inayoelezwa na DPP gari la Magereza ilikuwa bovu." - Kigaila
  14. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Bado wachina wanamtaka na kumjenga Mwigulu awe Rais 2025?

    Baada ya Mwigulu kutembelea China akiwa waziri ndogo alikuja akiwa kameza na kushiba siasa za kikomunisti. Alianza kuvaa kofia yenye nyota nyekundu inayovaliwa na wachina. Na kunawakati alianza kuvaa nguo karibu sawa na za kijeshi. Kuonesha ameshiba Imani za kikomunist Kama akina Fidel castor...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania bado iko uchumi wa kati wa chini au imeshapanda zaidi kiuchumi?

    Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata. Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina. Pia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tozo Miamala ya Simu bado kimeumana

    Alisikika Mh. Rais kuwa tozo kwenye miamala ya simu zimeridhiwa na wananchi kwa maslahi yao. Mapema aliwahi kusikika Dkt. Mwigulu akisema tozo zenyewe ni ndogo tu. Bila shaka msomi huyu alisahau kuwa chochote cha zaidi kwenye nyingi zilizopo, hakuufanyi mzigo wa tozo zote kwa watu kuwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja baada ya uchaguzi wa 2020, CCM Bado inakwamishwa au imekwama?

    CCM walituambia upinzani wa kupinga kila kitu umekwamisha maendeleo Kati ya 2015 Hadi 2020. Wakaamua kusiwe na uchaguzi kuwe na uchafuzi. Leo hii tunaelekea mwaka mmoja toka wakae wenyewe kwenye kila secta naikiwemo Bungeni. Kwa maoni yako ni kweli wapinzani walikuwa wanawakwamisha au...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kali, kunao huko nje bado wanajua Tanzania iko ndani ya Kenya

    Sasa sio mlima Kilimanjaro tu, hata Tanzania yenyewe ipo ndani ya Kenya, nimecheka hapa mpaka mbavu zinauma....
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake

    Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake. Hivi ndivyo inavyotakiwa. Lakini ukikuta mtu anashindwa kutumia akili zake ipasavyo ni kwasababu ya njaa. Maombi yanaendelea kanisani kesho. Nampoteza fulani kwenye ulimwengu wa siasa katika jina la Yesu.😂😂😂😂😂😂😂 Mtu...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Tanzania yenye watu milioni 60, ina wataalam 3.3%.......kazi bado sana tu

    Hii ni kwa mujibu wa taarifa za taasisi ya elimu ya juu, kwamba Tanzania yote huko wataalam ni asilimia 3.3% ya mamilioni ya raia wake......shughuli bado sana kuelekea kwenye uchumi wa viwanda unaohitaji ndani kuwe na wataalam wa kutosha kupokea ujuzi wa wageni. ==============================...
Back
Top Bottom