bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Muda wa Morning Glory huu wakuu mlioko tz na maeneo ya jirani Bado mmelala kizembe 🤣

    😁
  2. JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  3. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga bado zinatumia wafanyakazi wa kujitolea

    Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia watumishi wa kujitolea richa ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakiilalamikiiwa wwanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ammbacho...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mfanya Biashara Bado Siku 10 Upigwe Penalty

    Habari mjasiriamali, Leo ni tarehe 19 June, Hii Ina maanisha kuwa Bado siku 10 tuu mpaka ufike deadline ya ku submit Audited financial statements kwa mwaka 2026. Deadline ni tarehe 30 June. Kama mmiliki wa biashara au Kampuni unatakiwa ku file na ku submit Audited financial statements kabla...
  5. JamiiForums Tanzania Mfugo gani naweza kufuga chumbani ninapolala na bado nikapata kipato?

    Naishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe Profesa Muhongo bado yupo bwana!

    Dakika kadhaa za Profesa Sospeter Muhongo akiwa Bungeni Dodoma juzi, darasa zito sana Profesa kalitoa. Unamkumbuka kwa lipi mzee wetu. Alikuwa kimya kwa muda mrefu kidogo . https://www.facebook.com/share/v/1BHWGfEQhb/
  7. JamiiForums Tanzania Saada Mkuya, Waziri aliyehudumu serikali ya Muungano kama Waziri wa Fedha, lakini bado hajastaarabika?

    Dr Saada Mkuya Salum, aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2012 kuwa Naibu Waziri wa Fedha katika serikali yake, na baadaye alipofariki Waziri wa Fedha William Mgimwa 2014, akachukua nafasi ya Waziri wa Fedha , Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Sasa hivi Dr Saada Mkuya ni Kaimu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania FAIDA YA KUWA MUISLAM- KISAYANSI

    Kisayansi, “faida za kuwa Muislamu” zinazotokana na mafunzo ya Qur’an zinaweza kuelezwa zaidi kama matokeo ya tabia na mifumo ya maisha (lifestyle) inayopendekezwa na Uislamu, ambayo imechunguzwa pia kwenye saikolojia, afya ya jamii na tiba ya kitabia. Hizi ni baadhi ya faida kuu...
  9. JamiiForums Tanzania Swala la umeme africa bado sana kama ili tena kampuni moja inataka umeme wa nchi nzima na bado inakudai.

    Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu. Hapo ni kenya.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni CEO Mwenye Kampuni ambayo bado haijaanza kazi tangu isajiliwe? yakupasa kufahamu hili

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; 1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? 2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Utumwa bado upo au umeisha?

    Visa vya nchi za Ulaya ngumu kupata Wawekezaji ndio wale wakoloni Wamisionari ndio hawa wanasema tujifunze lugha zao kama kiarabu, kichina na kirusi Manamba ndio sisi tunafanya kazi viwanda vyao Wapelelezi ndio hawa mabalozi sasa Viongozi wetu ndio kupewa shahada za heshima
  12. M

    JamiiForums Tanzania Menu ya kawaida ya kuangalia Salio inaniambia Nina mb bado lakini nikifungua page internet inagoma

    Wakuu naombeni mnifingue macho pengine Kuna kitu ntakua sikijui mpaka leo au ntakua nimekilock bila Mimi kujua. Nikifungua page yoyote internet inakataa kwamba Sina Salio lakini nikiangalia Salio kwa kutumia menu ya kawaida naambiwa MB bado ninazo hapo tatizo litakua ni nini?
  13. JamiiForums Tanzania Kuna mtu jana bado kidogo abomoe na kuivunja TV tukiwa tunaangalia mpira hisia zetu tuziweke pembeni mpira una matokeo matatu

    Kuna kufungwa, kufanga na kutoka sare. Sasa km timu unayoishabikia imefungwa usichukue hisia zako ukawa na hasira kiasi cha kutaka kuvunja mpaka TV. Ilikua hivi mpira umeanza alipofungwa SA dakika za mwanzo kabisa nikaona mtu anaanza kuuma ulimi nikasema emu tusubiri tuone gemu imeendelea mpaka...
  14. JamiiForums Tanzania Muda bado mchache kwa Kiev kuchapika tena na Oreshnik

  15. JamiiForums Tanzania Usiku ni wa kupumzika, kwanini bado tunakesha?

    Kwa nini huwa unachelewa kulala? Kawaida siku inapoanza kwa kuchomoza kwa jua, watu wengi huanza pilika za kutafuta riziki na kutimiza majukumu yao ya kila siku Wengine huenda kazini, vibaruani, mashambani, sokoni, huku watoto nao wakielekea shuleni Kwa kifupi, siku huwa imejaa shughuli...
  16. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Ujamaa bado ni msingi wa maendeleo ya Nchi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Stephen Wasira, amesema ujamaa bado ni msingi mkuu unaoendesha sera na mipango ya maendeleo nchini. Akizungumza na wanachama wa CCM mjini Moshi, leo Juni 6 2026, Wasira alisema alikana madai kuwa mfumo huo umepitwa na wakati. "Wale...
  17. JamiiForums Tanzania Hiki kizazi kinachofanya siasa miaka ya sasa bado kina fikra za miaka ya 70's zenye roho ya u Swahili Swahili mostly hata ibada hawafanyi

    Siku wakizeeka hawa wanaofanya siasa sahz ndipo Tanzania tutakuja kuwa na kizazi chenye siasa za malengo na kizalendo (functional politics) Kitakuja kizazi ambacho hakitataka kijue hata historia ya Tanzania kitaanzisha siasa za kisasa ambazo zitajikita zaidi kwenye kulinda heshima ya nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi bado bwana Putin ni mseja?

    Napenda nitambue iwapo bado Putin ni rais kapera ama la. Moisemusajiografii.
  19. JamiiForums Tanzania Nimefika Moshi nimezunguka club zote maarufu toka juzi hakuna warembo kwenye club zao

    Dah,yan nimefika Moshi nimezunguka club zote maarufu toka juzi Moshi pazuri,grand nolasco,redstone,amuz,..lakini club hazina pisi wala nini..yan tunawashinda, hata Njombe,nenda club zetu nenda Mwechimupya,nenda Emirates makambako,nenda sundowns,HD,unakutana na pisi kali..nenda mwendo wa ngiri...
  20. JamiiForums Tanzania Huu ugonjwa bado unaogopeka na wagonjwa bado wananyanyapaliwa

    Jana katika tembea tembea zangu nikakutana na mmama anatembea kwa miguu, tukiwa umbali wa meter kama 100 hivi yule mmama alidondosha kitu akaacha kukiokota akawa anaendelea kutembea, kwa mbali naona ishara za watu wakistua nimstue yule mama arudie kitu alichodondosha nami sikuelewa tukapishana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…