Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.
Bado siku 12 tangu Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) watoe tamko la kuitaka serikali kumwachia Lisu ndani ya siku 30.
Unadhani nini kitafuata maana hawa hawatamwachia.
Hawana jeshi kuwalazimisha, watafanya nini?
Vikwazo wao havitawaathiri wao na wanaowazunguka
Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha.
Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead.
Sisemi kwa nini ila...
Ni jambo jema kwa viongozi, taasisi na wananchi kuhakikisha kuwa mali zinazotumika kwa ajili ya kutoa huduma za umma zinasimamiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za Serikali.
Kutokana na taarifa zilizotolewa kuhusu magari yaliyokabidhiwa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa Jimbo...
ASKOFU MKUU GERVAS NYAISONGA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA AMECEA
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki (AMECEA).
Uchaguzi huo umefanyika wakati wa Mkutano...
VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli.
Hivi mmekosa wazazi wa kuwashauri? Au ndio mnadharau wazazi na walezi wenu. Maana sidhani kama kuna mzazi mwenye akili...
Polisi wanachoweza ni kukamata watu wanao panga maandamano tu. Ila usalama wa watu barabarani hawawahusu.
Hampati taairifa za hatari kama hizi ila mnapata za CHADEMA tu, kazi yenu nini sasa iwapo gari kama hili linaloweza kuhatarisha maisha ya watu na mali zao linatembea barabarani.
Mmesahau...
Nina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔
Kuanzia Kisesa, Magu hadi Ramadi, barabara imeharibika kiasi cha kuonekana kama imetelekezwa. Imejaa mabonde na mashimo mengi kiasi kwamba hata barabara ya vumbi inaweza kuwa nafuu zaidi...
Katika Makosa aloyafanya Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho akaishia kusoma ELIMU za Mambo mbalimbali
Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu...
Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama;
(a). Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi?
(b). Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia?
Swali hili linaweza kuonekana rahisi, lakini linaigusa moja kwa moja hali ya nishati ya kaya nyingi nchini Tanzania.
Katika kipindi ambacho dunia inaendelea kuzungumzia mpito wa nishati (Energy Transition)...
Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na mara nyingi mameneja ni watu wenye uzoefu mkubwa walioujenga ndani ya kampuni hizo kwa miaka mingi...
Kuna kauli ilitokewa kwenye kikao Cha genge la wanaccm walioitwa wazee wa daresalama inayosema 'who are you ' sasa swali langu je kauli hiyo inafanya kazi? Hapa zingatia hatua ambazo US, Commonwealth na EU wameshaanza kuzichukua na matokeo ya hatua hizo.
Pia soma: PostGE2025 - Balozi wa Umoja...
Wakuu hii ni mada ya kutafakari najua ishajadiliwa sana humu ndani ya forum na huko makwenu..sasa tuweke hitimisho japo najua sio rahisi je tuseme moyo umesimama kabisa na umethibitishwa umefariki.Wewe unahisi nini hasa hutokea dakika ya kwanza baada ya hapo?Unadhani ndiyo mwisho wa kila kitu...
Ciao,
Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi.
Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti kabisa kisa nimefulia, bro? Sasa akutafute ili iweje? Come on.
Mimi nakumbuka enzi izo najitafuta...
Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta.
Nimesikiliza hotuba Yao na kurejea maswali ya ACT kiukweli bado ufafanuzi inahitajika
Nakuwekea maswali ya ACT hapa...
Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema kuhusu mambo ya mtungilei alijichanganya akaenda kuchukua mkopo wa laki nne kwenye taasisi za...
Nimekutana na jamaa kafanikiwa kimaisha na kaelimu.
Leo ndo nimeelewa watu.Mada ilikuwa hivi.
Kanikuta naangalia graph za forex kati ya USD vs GOLD.
Kaniuliza naona ushaanzaa utapeli.
mi nimemuuliza we unajuwaje leo thamani gold na wote tuko soko la madini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.