Hivi bado mnatumia Kikuu kuagiza bidhaa?

Hivi bado mnatumia Kikuu kuagiza bidhaa?

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,173
Reaction score
1,486
wakuu tumaini ni wazima afya nilikuwa nauliza hivi kuna watu wanaagiza mizigo kikuu nilikiwa nataka kuagiza external driver naona kule 4 TB wanauza 35k.

hivi naomba kujua bidhaa ni Og au
Screenshot_20260604-230910_KiKUU.jpg
 
Soko la KIKUU bhana ni kama mtumba.

niliagza memory card GB128 ikaja ikawa og, nikajaza mzgo ukafka hadi gb50 humo.

Sema kuna mtu nikamuuzia kwa kutaman faida ili niagze nyingne.
Nikasahau jina la muuzaj wa mara ya kwanza nikaagza pengne GB500.

Ilikua feki.
na niliagza kamera sikuamin ilipofka ni mdori wa kamera kamera ya simu.

yaan kikuu kuna feki na orginal kutokana na muuzaji.
kikuu agza nguo, urembo na vingnevo vya bei juu.


aliexpress ndo uhakika
 
wakuu tumaini ni wazima afya nilikuwa nauliza hivi kuna watu wanaagiza mizigo kikuu nilikiwa nataka kuagiza external driver naona kule 4tb wanauza 35k

hivi naomba kujua bidhaa ni Og au
Hizi usinunue huko mkuu... Ujanja wanaofanya wanaweka memory card tu hizi za kawaida humo ndani ndo inakua embedded na chip control ya kuifanya ikae kama external hivi... Check YouTube kuna tutorials mingi tu zinaonyesha watu wanavyolia baada ya kuvi disassemble ni kituko..

OG zake vipo lakini na bei yake imesimama kama ya SSD tu za kawaida, nunua kwa brands zinazojulikana kabisa zina tengenezwa hizi storage kama Laxer, Kingston, SanDisk, WD, Heksemi, Samsung, Xiaomi n.k
 
Tumia alibaba au AliExpress zaidi ya hapo nenda ebay au amazon na uwe na uelewa na anayekuuzia
 
Nimeagiza sana kupitia Kikuu, ila kwenye external drivers sikushauri, labda usome reviews na kujiridhisha. Nilinunua pendrive GB128 ikawa poa sana, nikaona ngoja ninunue ya GB 500 nikakutana na kitu cha hovyo...

Ila vingine viko poa tu. Siku hizi nimehamia Aliexpress!!
 
Nimeagiza sana kupitia Kikuu, ila kwenye external drivers sikushauri, labda usome reviews na kujiridhisha. Nilinunua pendrive GB128 ikawa poa sana, nikaona ngoja ninunue ya GB 500 nikakutana na kitu cha hovyo...

Ila vingine viko poa tu. Siku hizi nimehamia Aliexpress!!
shukrani
 
Kikuu wapo sawa tu, kwa zile bei zao na bado mtu hasomi maelezo mwishowe mtu anatoa milio, ila binafsi sijawahi kutana na kadhia yeyote ile na huwa naagiza, NB: Bidhaa nzuri ina gharama
 
Mkuu embu kuwa serious kidogo. Bidhaa yenye thamani zaidi ya laki 3 unaamini vipi kwa 30k!?
Mimi sehemu ambazo niliwahi kuagiza bidhaa na zikafika fresh kabisa ni Ebay.
 
Back
Top Bottom