Picha ilipigwa 1961, flexing on his new Yahama baada ya kukataa kununua shamba la heka 500, Kimara-Dar es salaam kwa shilingi 30/- za kitanzania kwa madai hawezi kuishi na mafisi huko maporini.
Ukiacha matatizo ya kiafya(magonjwa, n.k), watanzania wana matatizo mengi huku wakiwa wamepoteza matumaini ya matatizo yao kutatuliwa na mfumo huu mbovu wa kiutawala tulionao. hivyo, yoyote wa kuwapa matumaini, watamfuata mradi tu awe na mamlaka na zaidi awe na kipaji cha kuigiza mbele ya...
Leo niwasaidie hili pengine we n mhanga wa hili eneo kwenye ukoo wenu
nawiwa kuongelea hili maana mmoja wa waathirika wa hili.
Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa ndugu.
Ndoa nyingi zimeathirika na laana ya ukooo na sio kulogwa wala mengineyo
Kaa na wazazi wenu...
Habari za muda huu wanajamvi
Leo nikiwa katika majukumu yangu yakazi amekuja babu wamika 103 kupata huduma ya afya katika hospital ya wilaya.
Babu akanikuta nikiwa kwenye majukumu ya kutoa huduma kwa wateja waliokuja kupata huduma ya afya.
Baada ya kumhudumia babu na kumpatia matibabu yake...
The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” wameandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni.
Kupitia taarifa yao...
KUSEMA MTOTO KULELEWA NA BIBI NA BABU ATAHARIBIKA NI UONGO KWA SABABU TUPO WENGI AMBAO HATUJAHARIBIKA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Katika vitu najivunia na kumshukuru Mungu katika maisha yangu ni kulelewa na Bibi na Babu. Kwa kweli Mungu kwa hili namshukuru sana. Ulikuwa mpango mzuri...
Hatima ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale, maarufu kama Babu Tale, sasa itajulikana Ijumaa, Novemba 17, mwaka huu wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dare es Salaam itakapotoa uamuzi wa shauri la maombi ya kumpeleka jela kutumikia kifungo.
Babu Tale ambaye ni mmoja wa...
Habari wadau.
Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti.
Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu...
asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini.
Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu.
Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their...
Enzi hizo spinning doctor ilifanikiwa sana Kwa kiasi kikubwa tofauti na leo. Ndio maana Dowans Scandal ilikufa kifo cha mende. Swali je, kwa sasa spinning kupoteza nguvu ni uelewa kwa sasa kuwa mkubwa kwa watu au elimu inatolewa ipasavyo.
Hakuna mahali salama kwa mjukuu wa chini ya miaka miwili kulinganisha na kifuani kwa babu yake anapolala baada ya kuzidiwa na usingizi unaotokana na utamu wa hadithi ndefu. Huwa wajukuu wanasinzia upesi mno na mara nyingi hadithi haifiki hata nusu ya urefu wake, wao wakiwa wameshasinzia.
Mtoto...
Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha.
Amelowa!
Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men.
Wasomi wengine mlioko Tanzania , Msukuma PhD, Babu Tale(PhD) hebu mjitokeze mkamwage razi huko duniani, pengine ninyi...
Mzee Amos Samson (65), mkazi wa Kijiji cha Mwamala Wilaya ya Shinyanga, anatuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa) baada ya kumrubuni kwa kumpa Sh7, 000.
Mwanafunzi huyo wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolandoto...
Wakuu za sahizi,
Mimi babu yenu nimeamua kujiunga nanyi leo, hii
Baada ya kuuona huu mtandao ukipewa support kubwa sana na watu mbalimbali
Mimi nime staafu kazi X niliyoitumikia kwa mika 35, mwaka 2016 rasmi hivyo nalea wajukuu tu,
Ningependa mnipokee wanajukwaa
Natanguliza shukran...
Aliniambia usilegee kwa mwanamke. Eti jentlomani. Alisema mjukuu wangu Shebby achana na uzungu. Binti akikuzinguka mgonge makonzi au mbata akili ikae sawa.
Alinambia uwe nare nare utachekwa. Hata stories zako achana na love stories kabisa kwa mademu. Mhudumie unapoweza mkamue sana ile kibingwa...
Kwema Wakuu!
Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo tuliokatazwa na kusisitizwa na Wazee wetu linapokuja suala la mahusiano ya ndoa, sasa Vijana wanapiga mayowe...
Haya ndugu zangu
Tayari kuna mwananchi amegundua maji mabaridi/matamu fukwe ya pwani ya Konde visiwani Pemba.
Jamaa anasema yeye pamoja na familia yake wote walikuwa wanaumwa baadaye walipokunywa maji waliweza kupona wote na hata baada ya kuaambia majirani mwanzo walipuuza ila nao,wakayatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.