babu

Babù real name Anderson Rodney de Oliveira (born 23 December 1980, in São Paulo) is a Brazilian football forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Matango

    JamiiForums Tanzania Baada ya hii mikutano ya siasa tutapiga kura wapi?

    Wakuu habari za leo, Naomba radhi kwa watakaoelewa tofauti na nilivyoelewa mimi. Niwashirikishe katika maswali niliyoulizwa na Babu mmoja jana kwenye kituo cha daladala ambacho kina pilikapilika nyingi za biashara kwenye jiji la kiuchumi la DSM. Nilifika kwenye meza yake ya biashara ya matunda...
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kolo Muani na Kylian Mbappe watimiza matakwa ya mizimu ya babu zao waliolala Cameroon na Congo

    Jana mchana niliposema Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Morocco kwa kusema wao sio waafrika na leo tunamtuma Kylian Mbappe kuwapiga ngumi Argentina ilionekana ni kama jambo jepesi lakini lilibeba maana nzito ya kiulimwengu! Waargentina waliwatesa Waafrika miaka ya 1870 hadi 1900 na...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Babu Tale afunguliwa maombi mengine ya kufungwa Mahakama Kuu

    Baada ya kuponea chupuchupu kutupwa jela mwaka 2018, sasa mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale, maarufu kama Babu Tale anachungulia tena jela baada ya mchakato kumtupa jela kuanza tena upya. Babu Tale ambaye ni mmoja wa wakurugenzi wa kampuni inayojihusisha na shughuli...
  4. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Profesa Mohamed Abdulrahman Babu

    Msomi, mwanamapinduzi na mwanaharakari. Pichani akiwa na Che Guevara na Malcom X. Ndege wafananao huruka pamoja.
  5. DreezyD98

    JamiiForums Tanzania Babu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

    Shinyanga. Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abubakar Saidi (64) mkazi wa Kata ya Ndembezi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (14) katika shule ya sekondari iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga mkoani humo. Akizungumza leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 Kaimu kamanda...
  6. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

    Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73. Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo. Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi. Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Babu wa miaka 70 afumwa akilawiti mtoto wa miaka 14

    #HABARI Jackson Lukondo mwenye zaidi ya mika (70) anashikiliwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa shule ya msingi Masawe (14) ambaye amekuwa akimdanganya anamfundisha tohara inavyofanywa na kumtishia kumuua akisema anachomfanyia. #EastAfricaTV...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi ni kwa babu siyo kwa bibi tena

    Wabongo bana. Mtu akienda Uingereza naenda kwa bibi. Mtu akiishi uingereza Niko hapa Kwa bibi. Akisoma Uingereza kama Mudawote nilisomea kwa bibi. Sasa hivi siyo kwa bibi tena ni kwa babu. Na msemo huo utakaa muda mrefu Tena miaka mingi tu kwasababu haya mijamaa hayafi kizembe hadi yavuke mid...
  9. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtaala wa elimu Tanzania ni Ukoo wa babu

    Napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia afya njema pia kukupa nafasi ya kufuatilia matini yangu kikamilifu Pia shukran zangu za dhati nazielekeza kwa waasisi wa dawati la jamii forum stories of change baada ya hapo twende pamoja katika mada yetu ya ukoo wa babu... LEO TUNAGALIE KATIKA NYANJA...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo babu zetu walivyouzwa

  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mwizukulu Mgikuru (babu )

    Niulizeni chochote kile mnachofikiria kunihusu mimi nitawajibu
  12. ChengulaJr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Busara za Babu na Safari ya mjukuu

    Nilimkuta amejikunyata ndani ya blanketi lake lililokuwa na rangi ya udhurungi, macho yake hafifu yalikua yakilitazama jua, ambalo lilikuwa likitoka huko mafichoni lilikokuwa ili kuja kuungaza ulimwengu, katikati ya mapengo yake ya mbele, alikua amekibananisha kiko chake vilivyo ili moshi wa...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuacha tabia ya kupenda 'totoz' niliyorithi kwa babu yangu?

    Nimerithithi vitu vingi, mashamba na tabia nzuri kwa mbaya toka kwa babu yangu ila hili la totoz linaniumiza kichwa Babu yangu alikuwa na wake saba na michepuko kadhaa kijijini,alizaa na wanawake za watu pale kijijini. Nimejaribu kuwa tofauti na yeye nimeshindwa, Mwaka juzi nilifunga hesabu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Babu nitetee

    Andiko hili linahusu ELIMU YA MAZINGIRA. Na hayo Ni mazungumzo baina ya wahusika wawili; Kao : Mzee shikamoo, Oka : Marhaba mjukuu, unaitwa nani?  Kao : Naitwa oka, naomba kuuliza mzee wangu, Oka : Uliza tu Mjukuu. Kao : Tupo wawili tu hapa maana sioni wengine wakufanana na sisi? Oka : Mjukuu...
  15. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo na ijayo, malezi ya babu na bibi hayana tija kwa future ya mtoto

    Ni ukweli usiosemwa! Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia. Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kutelekeza watoto kwa babu, bibi yashika kasi Mkoani Njombe

    Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Bungeni ni lazima kila mbunge achangie hoja? Babu Tale anatia aibu Sana

    2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu (hapana, uchafuzi mkuu ) uliowaingiza bungeni watu wasiofaa kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi. Hawatambui hadhi yao, Hawatambui majukumu yao, Hawajui chochote. Miongoni mwa watu hao ni Babu Tale. Akisimama bungeni ili atoe mchango wake mimi huwa naanza kuona...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani adondoka akiendesha baiskeli, anamuiga Rais Putin

    Huyu ni Biden alidondoka akiwa anaendesha baiskeli Huyu ni jemedari Putin akiendesha farasi
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja za Babu Tale bungeni, ninakiri kuna ulazima wa marekebisho ya Katiba kwa sifa za mtu kuwa Mbunge

    Ninawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM. Ninaandika nikiwa nina hasira kali sana dhidi ya mbunge aitwae Babu Tale kutokana na hoja zake zilizokosa weledi huko bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara inayohusika na sanaa. Huyu babu kwa kukosa weledi alitaja majina ya wasanii katika hali...
  20. Kasie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwako Babu Mpendwa 💕

    Leo ni Alhamisi alfajiri... Nikiwa na akili zangu timamu, natumia safu hii kuutarifu uma wa JF kuwa.... Kasinde ni chombo halali ya Babu kuanzia mwezi Mei 2022. Baada ya hicho kibwagizo sasa acha niendelee na salamu zangu kwa Babu. Babu.... Kwanza kabisa nakupenda, najua wajua hilo...
Back
Top Bottom