Picha ya babu yetu aliyeacha kununua shamba la heka 500 kwa Tsh. 30 akisema hawezi kuishi Kimara porini kwenye fisi!

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,230
17,813
Picha ilipigwa 1961, flexing on his new Yahama baada ya kukataa kununua shamba la heka 500, Kimara-Dar es salaam kwa shilingi 30/- za kitanzania kwa madai hawezi kuishi na mafisi huko maporini.

1000019084.jpg
 
Nadhani ndiye alikuwa kijana tajiri, mtanashati, mnyamwezi halafu bishoo na alijua kutupia kwa kipindi hiko, wasichana miaka hio ambao leo ni vikongwe walimuelewa sana.

Kwa mwanzoni mwa miaka ya 60 kumiliki bike kama hio ni kama leo una Range Rover Velar ya 2024.

Kipindi hiko traffic anasimamisha baiskeli inakaguliwa kengele hadi breki sio poa.
 
Usinikumbushe enzi hizo mie mhhhh.
 
Kwenye picha umetudanganya mtoa mada, huyo jamaa anaitwa Sanle Sory mtu wa Burkina Faso, alizaliwa 1943 ana miaka 81 sasa.

Ni mpigaji picha maarufu, mmiliki wa studio inaitwa Volta Photo Studio.
View attachment 2935369
His name is Sanlé Sory a Burkinabe photographer.
As a teenager, he photographed automobile accidents around Bobo Dioulasso, Burkino Faso, which he would race to document on his motorcycle. In 1960 he founded the Volta Photo Studio in Bobo Dioulasso.
 
Attachments

  • sory-sanle-with-self-portrait-bobo-dioulasso-burkina-faso.-2018.-copy.jpg
    sory-sanle-with-self-portrait-bobo-dioulasso-burkina-faso.-2018.-copy.jpg
    72.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom