BABU WA MIAKA 103 AMENIBARIKI

SONDR

JF-Expert Member
Apr 18, 2019
271
642
Habari za muda huu wanajamvi

Leo nikiwa katika majukumu yangu yakazi amekuja babu wamika 103 kupata huduma ya afya katika hospital ya wilaya.

Babu akanikuta nikiwa kwenye majukumu ya kutoa huduma kwa wateja waliokuja kupata huduma ya afya.
Baada ya kumhudumia babu na kumpatia matibabu yake babu aliniomba kuwa anatamani kunibariki.

Babu huyo alikuwa padri wakanisa Anglican.
Sikuwa na sababu za kumzuia babu alinishika kichwa na kuomba kwa dakika zisizo zidi tano baada ya maombi akanena maneno yafuatayo,

1. Macho kazi yake kuona mema na mabaya
2. Masikio kazi yake kusikia mema na mabaya
3.Mikono kazi yake nikutenda mema na mabaya.
4. Chunga Sana sehemu zako za Siri sikila mwanamke anapaswa kuziona.
5.Miguu kazi yake nikutembe either kwa mema au mabaya

Mwisho akaniambia majukuu wangu naona kesho kubwa kwako Mungu amenionysha.
 
Babu ni bibi aliyemtabiria Denzel Washington.

Subiri mkuu piga kazi mambo makubwa yanakuja.
 
itakuwa amekuchagua uingie chamani... karibu sana kwenye chama chetu cha mibaraka...ila usisahau kanuni yetu ukibarikiwa usiwasahau walio chini yako...!

watu wa chama chetu hatuna dharau wala majivuno...!​
 
Habari za muda huu wanajamvi

Leo nikiwa katika majukumu yangu yakazi amekuja babu wamika 103 kupata huduma ya afya katika hospital ya wilaya.

Babu akanikuta nikiwa kwenye majukumu ya kutoa huduma kwa wateja waliokuja kupata huduma ya afya.
Baada ya kumhudumia babu na kumpatia matibabu yake babu aliniomba kuwa anatamani kunibariki.

Babu huyo alikuwa padri wakanisa Anglican.
Sikuwa na sababu za kumzuia babu alinishika kichwa na kuomba kwa dakika zisizo zidi tano baada ya maombi akanena maneno yafuatayo,

1. Macho kazi yake kuona mema na mabaya
2. Masikio kazi yake kusikia mema na mabaya
3.Mikono kazi yake nikutenda mema na mabaya.
4. Chunga Sana sehemu zako za Siri sikila mwanamke anapaswa kuziona.
5.Miguu kazi yake nikutembe either kwa mema au mabaya

Mwisho akaniambia majukuu wangu naona kesho kubwa kwako Mungu amenionysha.
Kwa hiyo unajua utatoboa! Fala ww.
 
Wahi kwa Mwamposa akuwekee mkono tuone kama hujawekewa pepo mchafu.
 
Back
Top Bottom