babu

Babù real name Anderson Rodney de Oliveira (born 23 December 1980, in São Paulo) is a Brazilian football forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Naweka V8 ya mwaka 2020, Mwakinyo apigane na Kiduku

    Mbunge wa Morogoro Kusini, Khamis Tale maarufu kama Babu Tale amesema ataleta gari aina ya V8 ya mwaka 2020 ili kuwashindanisha Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku Maneno hayo ameyasema baada ya Twaha kumtwanga Dulla Mbabe kwa mara nyingine, huku lengo likiwa ni kupambana na Mwakinyo Mwakinyo...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Babu kaniambia niwe na wachumba wanne ndipo nichague mmoja kuwa mke

    Nilikuwa nimetoka matembezini Niko na mdada goma langu sasa Nikakuta sehemu babu yangu amekaa nikamwambia Babu huyu niliye naye ndo mchumba nitamuoa nataka nitume mahari. Baadae jioni babu akaja kuniambia kuwa ninakosea kwamba kiwango cha wachumba unachopaswa kuwa nao ni wanne ndo uchague...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Buriani: Babu wa Loliondo kuzikwa kesho kijijini Samunge

  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Babu wa Liliondo naye hajasazwa, apumzike salama mzee alitisha sana

    Poleni kwa kumpoteza huyu mzee ambaye alitikisa kote kwa kudai anaweza kutibu ugonjwa wa aina yoyote, hadi viongozi wakuu serikalini wakamiminika kwake kupokea kikombe chake.
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

    Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso. Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda...
  6. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Ya Mdude Chadema yamenikumbusha kauli ya babu mmoja "Unamhurumia mtu, yeye mwenyewe amekwambia anajihurumia"?

    Honestly, kila binadamu mwenye utu ukiona jambo baya na la uonevu linamtokea mtu hujisikii vizuri. Huyu kada wa Chadema naweza kusema, yupo tu kwenye siasa ila hazijui vizuri. Siasa za nchi hii, ukizifanya kwa mihemko huwezi kupiga hatua. Kwanza hao unaodhani uko nao kwenye mapambano wengi...
  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

    Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli? Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Babu Tale amuomba Waziri ampunguzie kazi ya kuzuia mvua

    Tunaofanya burudani za viwanjani tumekuwa tukipigia sana simu Babu zetu vijijini wazuie mvua, katika hotuba ya Waziri sijaona akisema ujenzi wa Sports Arena, hakuna msanii asiyejua kama mimi ndiyo naongoza kufunga mvua, Waziri naomba unipunguzie hii kazi". ====== Mbunge wa Morogoro Kusini...
  9. khamis kilo

    JamiiForums Tanzania Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

    Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level...
Back
Top Bottom