Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
Leo niwasaidie hili pengine we n mhanga wa hili eneo kwenye ukoo wenu

nawiwa kuongelea hili maana mmoja wa waathirika wa hili.

Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa ndugu.

Ndoa nyingi zimeathirika na laana ya ukooo na sio kulogwa wala mengineyo

Kaa na wazazi wenu ulizeni src ya wazazi wao huko nyuma waliishije kwenye ndoa

Utakuta unasubiria ndoa unalia hupendwi hutakiwi na watu ooh umelogwa kumbe n laana ya ukoo inakutengeneza

Mfano n mm kwetu kwa mama

BABU N BIBI WA MAMA YANGU
WALITALIKIANA

MAMA NA BABA WAKATALIKIANA

MAMA ANA NDUGU 3 WA KIUME/ 2 WA KIKE

Hawa wakike walitalikiwa baada ya miaka 2 kwenye ndoa

Watoto Waoo n matajiri wako 7 hakuna alie kwenye ndoa mpaka sasa

Hawa wa kiume wawili wakamaa kwenye ndoa kufikisha mwaka wa tatu ndoan wakapanda gari moja kwenda dar wakaishia same.

Watoto wa hawa wajomba wako
4/4
6 mpaka sasa hawana ndoa... wawili wamegoma kuoa na wana miak 40 plus nw

Mmoja aliebakia akaamua kuingia upadree na ndie aliesalimika hili sakata

njoo kwa Baba
babu na bibi wa baba walitalikiana mpaka kifo

baba na mamake baba walitalikiana mpakka kifo

Baba wamezaliwa 4
Mwanamke mmoja wanaume watatuuu

1. Baba aliachana na mama 20 yrs mpaka wanakufa wote.

2. Babamdogo wawili waloobakia mmoja alikimbia nyumba haijulikan alipo mpaka sasa.

Huyu mwingine anaishi kota ya ua uni gorofa kamuachia mkewe na watoto.

3. Shangazi hawa hawana miaka 3 wamegawana magorofa na mwenzie kila mtu kivyake...
Njoo kwetu

KAKAZANGU WATATU WALIPONUSA NDOA ALIEKAA SANA MIEZI 5 Wakaachika

Nkanusa 2005 nioee miezi miwili nikamwachia mwanamke kila kitu 2008 nkamrudia Mungu kwa tobaaaa na rehemaa atusamehee ukoo na familia nzima wakati huo cha moto kimewaka kila kona ya ukoooo

Nkafundishwa jinsi ya kutubu kwa ajili ya familia na ukooo .nikiomba rehema kwa ukoo wako kwa kufunga na kuomba....

Nikafankiwa pata mwenza tukaenda bariki ndoa tumepata na watoto wenye furaha

Sio kirahisi hata hii kulikuwa na miukakasi kibaooo marohoo yakanikimbia nikasalimika.....
Ewe ndugu

Ndoa mnaita n taasisi
Ndoa n roho nduguzanguni
Maroho ya ukoo yakikugomeaa utabaki na jina uliingia kanisan ama mskkitin ukaoa ukaachika

Wakati nasema kwenye shida na raha ilinichukua dk 4 kusoma hiki kipande wakahisi nimepigwa ndoa inastop wewee....kama yule mh alieshindwa kusoma pale ikulu kiapoo sikia kwa watu...

Mnapojipanga kuoa ama kuolewa fanyen mapping family itawasaidia sana ..

Nimeongelea yetu 😆 😂 😆 😂 😆 kuachana 😄 🤣 😂 😆 😄

Kuna familia yaan toka babu wa mababu
■Mwizi■
😄

Babu kaja mwizi
😄 🤣

Kaja baba mwizi
😆 😂 😂 😂
Huyu maroho yakipungua anapewa jina la tapeli kupunguza ugali wamanenooo
😆 😂 😆 😂

Sisemi kukutisha
Kuna familia kwaoooo nenda rudi uwe na hela huna wao n

■wazinzi■

Yaan wataprrtend kanisan wee toaa yoteee lakn akitoka
Mzinzi

Asbh anadamka saa 4.30am anawahi folen unajua wanachofanya wanaenda small house anapewa shortlymmmm saa kumi nambili asbh anachomoka to job

Mxhana lunch tym kama karibu anakuja kushtua lunch na shortym maisha yanaenda

Akirudi ndan unamwona mke sihuyu mume si huyu.....

Kuna ukooo wao n
■wambeya■
by og
Sisemi ukooo wako

Yaani wahamie tanga .mbeya.moro.dodoma yaan n wambeya mtukuka...

So nakusihi fanya mapping ya familia uliopo na unayopitaaaa

Wengine mpaka sasa tuliingia ■gharama ya sadaka■
kuwa na ffuraha kwenye ndoa na hata ukiona moto unawaka unamkumbusha Mungu sadaka yako.

Mwisho we unaesubiria ndoa utilise piga maombi kuna walioingia wakakimbia kama wanajeshi wa hamas achatu

We unaeteseka na moto wa ndoa taguta makanisa wakusaidie kutubu na kuombea rehemaaaza ukoo wewe kama wewe ndoa itatuliaaaa tu

MUNGU AKUPE WA KUFANANA NAE
😆 😆 😂 😂 😆 😂 😆 😄 🤣 😂 😆
 
Kuna ukooo mama mkwe kawa lango la kuvunja ndoa za wanawee chunguza sema na mathemejiiiii kamawako wengi mmoja atakupa ukweli.

Usiogope kuoaa a za kumpiga maombi mama mkwe mtarajiwaa akaee mbali na wewe kama hamas na gaza yaan akinyanyua ulimi ugeuke kuwa.

Sio unaogelea unaanza kelele ooh sijui.

Mama mkwe Kaulize wachungaji hawaombei wakwe wanadili na nyie...
 
Aliye elewa, sitaki ani eleweshe🤒
FB_IMG_17059293200749840_1.jpg
 
Ndio maana wazee miaka ya nyuma walitusisitiza sana kuchunguza unapooa kabla ya kuchukua hatua ya kutambulishana.

Hili ni somo zuri umetoa,na moja ya experience ngumu watu wanapitia maishani na hawaweki wazi.

Vijana waliotayari kuingia kwenye hii taasisi ya hiari,huu uzi umekuja wakati sahihi,jihoji,jikague,mhoji,mkague yule umpendae.

Tumepewa akili na utashi,tumuombe Mungu atuongoze tuvitumie kwa usahihi.

Barikiwa sana mtoa mada
 
Hata sikubaliani na inayosema
NDOA Inahitaji maneno haya Kila uchwao mnavyoishi

NAKUPENDA
NISAMEHE
NIMEKUSAMEHE

Katika ukoo wenu NENO NISAMEHE gumu sana Kulitamka ila neno NAKUPENDA mlikuwa mnalizungumzia very SIMPLE
kwakuwa tu Fulani na Fulani walipendana walishaachana na maisha yakaenda so kawaida tu
Kwenye NDOA ukitaka kusurvive UJEURI na KIBRU weka pembeni
Mnatakiwa Muishi kulingana na wakati
Mnaweza mkawa
BABA na MAMA
KAKA na DADA
BEST FRIEND
NDUGU WA DAMU
watoto wadogo
ama BAROBARO vitinega
ila kuna wakati lazima MWANAUME uact like a men
Na Kuna wakati lazima ukubari MWANAMKE ni MWANAMKE tu huwezi kushindana nae atakuabisha

na lazima ukubari katika NDOA miaka miwilo mpk tatu ya MWANZONI
lazima mkutane na vikwanzo hivi vitatu hata kimojawapo
Eidha KIPATO kiyumbe
Ama CHANGAMOTO ya kupata mtoto
Au maradhi yanayopelekea Ile Radha ya NDOA kupotea
Kubwa kuliko usiingie katika NDOA ukatarajia ni FURAHA kwenda mbele si kweli
NDOA ni maisha tu kama tunayoishi sasa kikubwa ulichoongeza baada kuoa ni MATATIZO ambayo UKILALA ukiamka yapo ukienda kazini ukirudi yapo ukiangalia simu yako MATATIZO hayo yankupigia
So unatakuwaa uishi nayo hayo MATATIZO 7bu ndo mfumo wa miasha yetu huwezi kuyakimbia
Inachukua MIAKA 7 mpk 10 kupata EXPERIENCE ya hayo MATATIZO mpk kuweza kuya
control na kuyachukulia poa kama ni sehemu ya maisha
 
Attachments

  • FB_IMG_1646761618098.jpg
    FB_IMG_1646761618098.jpg
    45.8 KB · Views: 7
Ndio maana wazee miaka ya nyuma walitusisitiza sana kuchunguza unapooa kabla ya kumchukua hatua ya kutambulishana.

Hili ni somo zuri umetoa,na moja ya experience ngumu watu wanapitia maishani na hawaweki wazi.

Vijana waliotayari kuingia kwenye hii taasisi ya hiari,huu uzi umekuja wakati sahihi,jihoji,jikague,mhoji,mkague Yule umpendae.

Tumepewa akili na utashi,tumuombe Mungu atuongoze tuvitumie kwa usahihi.

Barikiwa sana mtoa mada
Amen mkuuuu tuko wiki ya maombi ya ukoo na familia nikaona tusaidiane jinsigan ya kuokoa ndoa zetu na vizazi vyetu mkuuu

Yaan sisi tukikutana kwenye ndoa za ndugu 50perc single unashaanga mnanza kumlaan alieoa
Yaaan huyushemeji angejua moto wa huuu ukoo angekimbiliaa choon akapotea

Yaan akioa mwanaume
Ndugu wanamwongeleaaa mwanamke yaan huyu mdada angejua huu ukoo sijui

Ndugu miezi 3 mingi unasikia simu za wanandoa kuomba suluhuuu acha tu..
midomo inaumba
yaan uchawi umeanza kwenye ukooo ukijitosaa kwenye ndoa ndugu wanakupiga
■■FALAKI■■
badala ya kukutakia kila la kheri

Wengine tunatyumaga zawadi tu na michango yaan ikitokea ndoa kimewaka wanaanza kusambaza walionilog wotee waliokuja harusin mmmh.....sikia kwa watu....
 
Hata sikubaliani na inayosema
NDOA Inahitaji maneno haya Kila uchwao mnavyoishi

NAKUPENDA
NISAMEHE
NIMEKUSAMEHE

Katika ukoo wenu NENO NISAMEHE gumu sana Kulitamka ila neno NAKUPENDA mlikuwa mnalizungumzia very SIMPLE
kwakuwa tu Fulani na Fulani walipendana walishaachana na maisha yakaenda so kawaida tu
Kwenye NDOA ukitaka kusurvive UJEURI na KIBRU weka pembeni
Mnatakiwa Muishi kulingana na wakati
Mnaweza mkawa
BABA na MAMA
KAKA na DADA
BEST FRIEND
NDUGU WA DAMU
watoto wadogo
ama BAROBARO vitinega
ila kuna wakati lazima MWANAUME uact like a men
Na Kuna wakati lazima ukubari MWANAMKE ni MWANAMKE tu huwezi kushindana nae atakuabisha

na lazima ukubari katika NDOA miaka miwilo mpk tatu ya MWANZONI
lazima mkutane na vikwanzo hivi vitatu hata kimojawapo
Eidha KIPATO kiyumbe
Ama CHANGAMOTO ya kupata mtoto
Au maradhi yanayopelekea Ile Radha ya NDOA kupotea
Kubwa kuliko usiingie katika NDOA ukatarajia ni FURAHA kwenda mbele si kweli
NDOA ni maisha tu kama tunayoishi sasa kikubwa ulichoongeza baada kuoa ni MATATIZO ambayo UKILALA ukiamka yapo ukienda kazini ukirudi yapo ukiangalia simu yako MATATIZO hayo yankupigia
So unatakuwaa uishi nayo hayo MATATIZO 7bu ndo mfumo wa miasha yetu huwezi kuyakimbia
Inachukua MIAKA 7 mpk 10 kupata EXPERIENCE ya hayo MATATIZO mpk kuweza kuya
control na kuyachukulia poa kama ni sehemu ya maisha
Waliokimbia ndoa na kuachana
Walisema hayahayaaaa mkuu
Nikopale kwa masaweee
Somavizuri yalee n marohoooo
So hata unaposema tumekosa kusamehee
wanaokufanya usisamehee n marohooooo ya ukooo sio wao
 
ujasikia bb harusi hajaendaa kanisan
Ama mchmba kavishwa Peter jamà hajarudi tenaaa kimojaa...acha kabisa

Ndo n maroho ukiweza pambana nayo utaishi softly
ukishindana nayo kimwili ndugu kudanga kunakuhusu
 
Leo niwasaidie hili pengine we n mhanga wa hili eneo kwenye ukoo wenu

nawiwa kuongelea hili maana mmoja wa waathirika wa hili.

Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa ndugu.

Ndoa nyingi zimeathirika na laana ya ukooo na sio kulogwa wala mengineyo

Kaa na wazazi wenu ulizeni src ya wazazi wao huko nyuma waliishije kwenye ndoa

Utakuta unasubiria ndoa unalia hupendwi hutakiwi na watu ooh umelogwa kumbe n laana ya ukoo inakutengeneza

Mfano n mm kwetu kwa mama

BABU N BIBI WA MAMA YANGU
WALITALIKIANA

MAMA NA BABA WAKATALIKIANA

MAMA ANA NDUGU 3 WA KIUME/ 2 WA KIKE

Hawa wakike walitalikiwa baada ya miaka 2 kwenye ndoa

Watoto Waoo n matajiri wako 7 hakuna alie kwenye ndoa mpaka sasa

Hawa wa kiume wawili wakamaa kwenye ndoa kufikisha mwaka wa tatu ndoan wakapanda gari moja kwenda dar wakaishia same.

Watoto wa hawa wajomba wako
4/4
6 mpaka sasa hawana ndoa... wawili wamegoma kuoa na wana miak 40 plus nw

Mmoja aliebakia akaamua kuingia upadree na ndie aliesalimika hili sakata

njoo kwa Baba
babu na bibi wa baba walitalikiana mpaka kifo

baba na mamake baba walitalikiana mpakka kifo

Baba wamezaliwa 4
Mwanamke mmoja wanaume watatuuu

1. Baba aliachana na mama 20 yrs mpaka wanakufa wote.

2. Babamdogo wawili waloobakia mmoja alikimbia nyumba haijulikan alipo mpaka sasa.

Huyu mwingine anaishi kota ya ua uni gorofa kamuachia mkewe na watoto.

3. Shangazi hawa hawana miaka 3 wamegawana magorofa na mwenzie kila mtu kivyake...
Njoo kwetu

KAKAZANGU WATATU WALIPONUSA NDOA ALIEKAA SANA MIEZI 5 Wakaachika

Nkanusa 2005 nioee miezi miwili nikamwachia mwanamke kila kitu 2008 nkamrudia Mungu kwa tobaaaa na rehemaa atusamehee ukoo na familia nzima wakati huo cha moto kimewaka kila kona ya ukoooo

Nkafundishwa jinsi ya kutubu kwa ajili ya familia na ukooo .nikiomba rehema kwa ukoo wako kwa kufunga na kuomba....

Nikafankiwa pata mwenza tukaenda bariki ndoa tumepata na watoto wenye furaha

Sio kirahisi hata hii kulikuwa na miukakasi kibaooo marohoo yakanikimbia nikasalimika.....
Ewe ndugu

Ndoa mnaita n taasisi
Ndoa n roho nduguzanguni
Maroho ya ukoo yakikugomeaa utabaki na jina uliingia kanisan ama mskkitin ukaoa ukaachika

Wakati nasema kwenye shida na raha ilinichukua dk 4 kusoma hiki kipande wakahisi nimepigwa ndoa inastop wewee....kama yule mh alieshindwa kusoma pale ikulu kiapoo sikia kwa watu...

Mnapojipanga kuoa ama kuolewa fanyen mapping family itawasaidia sana ..

Nimeongelea yetu 😆 😂 😆 😂 😆 kuachana 😄 🤣 😂 😆 😄

Kuna familia yaan toka babu wa mababu
■Mwizi■
😄

Babu kaja mwizi
😄 🤣

Kaja baba mwizi
😆 😂 😂 😂
Huyu maroho yakipungua anapewa jina la tapeli kupunguza ugali wamanenooo
😆 😂 😆 😂

Sisemi kukutisha
Kuna familia kwaoooo nenda rudi uwe na hela huna wao n

■wazinzi■

Yaan wataprrtend kanisan wee toaa yoteee lakn akitoka
Mzinzi

Asbh anadamka saa 4.30am anawahi folen unajua wanachofanya wanaenda small house anapewa shortlymmmm saa kumi nambili asbh anachomoka to job

Mxhana lunch tym kama karibu anakuja kushtua lunch na shortym maisha yanaenda

Akirudi ndan unamwona mke sihuyu mume si huyu.....

Kuna ukooo wao n
■wambeya■
by og
Sisemi ukooo wako

Yaani wahamie tanga .mbeya.moro.dodoma yaan n wambeya mtukuka...

So nakusihi fanya mapping ya familia uliopo na unayopitaaaa

Wengine mpaka sasa tuliingia ■gharama ya sadaka■
kuwa na ffuraha kwenye ndoa na hata ukiona moto unawaka unamkumbusha Mungu sadaka yako.

Mwisho we unaesubiria ndoa utilise piga maombi kuna walioingia wakakimbia kama wanajeshi wa hamas achatu

We unaeteseka na moto wa ndoa taguta makanisa wakusaidie kutubu na kuombea rehemaaaza ukoo wewe kama wewe ndoa itatuliaaaa tu

MUNGU AKUPE WA KUFANANA NAE
😆 😆 😂 😂 😆 😂 😆 😄 🤣 😂 😆
Nani wa kukuombea kanisani?
Makanisa ni mapango ya wezi na wazinzi.
Nikaombewe na wazinzi?
 
Nimeongelea yetu kuachana

Kuna familia yaan toka babu wa mababu
■Mwizi■

Babu kaja mwizi

Kaja baba mwizi

Huyu maroho yakipungua anapewa jina la tapeli kupunguza ugali wamanenooo

Sisemi kukutisha
Kuna familia kwaoooo nenda rudi uwe na hela huna wao n

■wazinzi■

Yaan wataprrtend kanisan wee toaa yoteee lakn akitoka
Mzinzi

Asbh anadamka saa 4.30am anawahi folen unajua wanachofanya wanaenda small house anapewa shortlymmmm saa kumi nambili asbh anachomoka to job

Mxhana lunch tym kama karibu anakuja kushtua lunch na shortym maisha yanaenda

Akirudi ndan unamwona mke sihuyu mume si huyu.....

Kuna ukooo wao n
■wambeya■
by og
Sisemi ukooo wako

Yaani wahamie tanga .mbeya.moro.dodoma yaan n wambeya mtukuka...

So nakusihi fanya mapping ya familia uliopo na unayopitaaaa

Wengine mpaka sasa tuliingia ■gharama ya sadaka■
kuwa na ffuraha kwenye ndoa na hata ukiona moto unawaka unamkumbusha Mungu sadaka yako.

Mwisho we unaesubiria ndoa utilise piga maombi kuna walioingia wakakimbia kama wanajeshi wa hamas achatu

We unaeteseka na moto wa ndoa taguta makanisa wakusaidie kutubu na kuombea rehemaaaza ukoo wewe kama wewe ndoa itatuliaaaa tu

MUNGU AKUPE WA KUFANANA NAE
Mkuu umenena vyama, ni ukweli na bayana. Hata kwenye utafutaji na mafanikio ni hivyohivyo
 
Hata sikubaliani na inayosema
NDOA Inahitaji maneno haya Kila uchwao mnavyoishi

NAKUPENDA
NISAMEHE
NIMEKUSAMEHE

Katika ukoo wenu NENO NISAMEHE gumu sana Kulitamka ila neno NAKUPENDA mlikuwa mnalizungumzia very SIMPLE
kwakuwa tu Fulani na Fulani walipendana walishaachana na maisha yakaenda so kawaida tu
Kwenye NDOA ukitaka kusurvive UJEURI na KIBRU weka pembeni
Mnatakiwa Muishi kulingana na wakati
Mnaweza mkawa
BABA na MAMA
KAKA na DADA
BEST FRIEND
NDUGU WA DAMU
watoto wadogo
ama BAROBARO vitinega
ila kuna wakati lazima MWANAUME uact like a men
Na Kuna wakati lazima ukubari MWANAMKE ni MWANAMKE tu huwezi kushindana nae atakuabisha

na lazima ukubari katika NDOA miaka miwilo mpk tatu ya MWANZONI
lazima mkutane na vikwanzo hivi vitatu hata kimojawapo
Eidha KIPATO kiyumbe
Ama CHANGAMOTO ya kupata mtoto
Au maradhi yanayopelekea Ile Radha ya NDOA kupotea
Kubwa kuliko usiingie katika NDOA ukatarajia ni FURAHA kwenda mbele si kweli
NDOA ni maisha tu kama tunayoishi sasa kikubwa ulichoongeza baada kuoa ni MATATIZO ambayo UKILALA ukiamka yapo ukienda kazini ukirudi yapo ukiangalia simu yako MATATIZO hayo yankupigia
So unatakuwaa uishi nayo hayo MATATIZO 7bu ndo mfumo wa miasha yetu huwezi kuyakimbia
Inachukua MIAKA 7 mpk 10 kupata EXPERIENCE ya hayo MATATIZO mpk kuweza kuya
control na kuyachukulia poa kama ni sehemu ya maisha
Material sanaaaa
 
Upo sahihi ila victims wengi ni wanwake kwa vile wao wanaolewa ,hawana mda wa kumchunguza mume baadae wanakuja kukutana na mawifi wa hovyo.

Pia kuna ishu katika mila nyingi sana kama kunajisi ukoo ,hapo zamani kuna makosa watu walikuwa wakifanya wanapewa adhabu hata kutengwa ..
Kwa sasa ishu ya kunajisi ukoo ipo sana haswa kwa mabinti wanaozaa makwao .

Hali ya binti kuzaa kwao kama ndio mkubwa kwa baadhi ya mila wanaamini ni kunajisi ukoo, wazazi wanaweza kuona kawaida ila hiyo trends inakuwa balaa baadae kwanza watoto wa nje wanakuwa mzigo kweny ukoo...Kama mwanamke kazaa wa kwanza nje basi huyo ishu ya ndoa itampa tabu baadae inakuwa mchezo mpaka watoto wa4 kila mmoja na baba ake ...Hili ni balaa la karne.
 
Baba aliwahi kuoa 2 wives basi na mimi najikuta nawaza kuoa second wife,uzinzi unanitesa hatari
Jana nimepigiwa simu mchumba wa dogo mmoja nilimpokeaga jeshini Kwa jinsi nilivyogo mkarimu na kumtendea dogo mpaka Leo ni kama ndugu wa damu ila baadae woteeeee tulishaga ondoka tuma maisha uraiani...

Dogo anapenda sana mbususu namjua alikua ananunua sana Malaya na kuwachakata kisawa sawa pia dogo ana tricks na yuko more advanced in skills za ku seduce wanawake nakili jamaa ana ELIMU YA JUU KWENYE TASNIA YA NGONO.....

Mchumba analalamika Kesha mfumania na wanawake chumbani zaidi ya mara tatu..

Nili ishia kucheka Kwa tukio la Jana amefumaniwa tenaaaa
 
Back
Top Bottom