Mwanafunzi arubuniwa kwa Tsh. 7,000 na ‘Babu’, apewa ujauzito

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Mzee Amos Samson (65), mkazi wa Kijiji cha Mwamala Wilaya ya Shinyanga, anatuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa) baada ya kumrubuni kwa kumpa Sh7, 000.

Mwanafunzi huyo wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolandoto Manispaa ya Shinyanga alikubali kujihisisha kimapenzi na mzee huyo baada ya ushawishi wa awali wa Sh2, 000 kabla ya baadaye kuongezewa Sh5, 000.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi ameiambia Mwananchi kuwa suala hilo tayari limeripotiwa na kwamba Jeshi la Polisi linamsaka mtuhumiwa aliyefanikiwa kutoroka baada ya taarifa hizo kufichuka.

Kwa mujibu wa Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dk Luzila John, vipimo vya kitabibu vimebainisha kuwa mwanafunzi huyo ana ujauzito wa miezi mitano.

Alivyorubuniwa

Akizungumza na Mwananchi mwanafunzi huyo amesema katika tukio la kwanza, mtuhumiwa alimshawishi kwa kumpatia Sh2, 000 ndipo akakubali kukutana naye kimwili.

Anasema katika tukio la pili, mtuhumiwa mara ya kwanza mzee alimwita nyumbani kwake na baada ya kumwingilia kimwili alimpatia Sh5, 000.

Amesema taarifa za uhusiano wao wa kimapenzi uliodumu tangu Desemba, 2022 zilibainika baada ya mzee huyo kumtaka kimapenzi ndugu yake mwingine wa kike ambaye aliamua kufichua jambo hilo kutokana na kuchukizwa na tabia ya mtuhumiwa ya kutaka kuwa na uhusiano nao wote wawili.

Baada ya taarifa hizo kufikia familia, juhudi za kijamii za kulimaliza suala hilo kwa mtuhumiwa kupigwa faini ya gunia mbili za mpunga na baiskeli zilifanyika.

Katika jitihada hizo, mtuhumiwa aliyekuwa miongoni mwa viongozi kijijini hapo aliondolewa kwenye nafasi ya uongozi, hali iliyoibua udadisi kutoka kwa wananchi, ndipo ikabainika kuwa anatuhumiwa kwa ukosefu wa maadili kutokana na kudaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi.

"Ufuatiliaji wa wananchi ndio uliowezesha tabia chafu ya mtuhumiwa ya kuwaribuni watoto kimapenzi ikiwemo kumpa ujauzito mwanafunzi kujulikana," amesema mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Mwamala kwa sharti la kuhifadhiwa jina

Katibu wa kampeni ya kupinga ukatili (SMAUJATA) Mkoa wa Shinyanga, Daniel Kapaya, ameviomba vyombo vya dola na mamlaka nyingine husika kuhakikisha mtuhumiwa anapatikana na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria.

"Hatua za kisheria lazima zichukuliwe dhidi ya wote wanaofanya vitendo vya aina hii ili kuwa fundisho kwa wengine," ameshauri Kapaya

MWANANCHI
 
Ila binti wa miaka 16 anajihusisha kimapenzi na mtu sawa na babu yake, hivi yuko timamu? Eti kavujisha siri baada ya kuona huyo babu anataka kujihusisha tena na ndugu yake, yaan huyu binti alijawa na wivuu

Mimba imetungwa kwa 7k, umaskini mbayaa jamaniiii. Lol
 
Tafsiri ya hapo eti kabinti kamepata wivu kuona mzee anachepuka.
 
"Hatua za kisheria lazima zichukuliwe dhidi ya wote wanaofanya vitendo vya aina hii ili kuwa fundisho kwa wengine," ameshauri Kapaya
Kama hatua zingekuwa zinachukuliwa hizi tabia zingekoma ila kwaku mlungura una nguvu kuliko sheria ndiyo maana haya yanajirudia kila mwaka
 
Mzee Amos Samson (65), mkazi wa Kijiji cha Mwamala Wilaya ya Shinyanga, anatuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa) baada ya kumrubuni kwa kumpa Sh7, 000.

Mwanafunzi huyo wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolandoto Manispaa ya Shinyanga alikubali kujihisisha kimapenzi na mzee huyo baada ya ushawishi wa awali wa Sh2, 000 kabla ya baadaye kuongezewa Sh5, 000.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi ameiambia Mwananchi kuwa suala hilo tayari limeripotiwa na kwamba Jeshi la Polisi linamsaka mtuhumiwa aliyefanikiwa kutoroka baada ya taarifa hizo kufichuka.

Kwa mujibu wa Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dk Luzila John, vipimo vya kitabibu vimebainisha kuwa mwanafunzi huyo ana ujauzito wa miezi mitano.

Alivyorubuniwa

Akizungumza na Mwananchi mwanafunzi huyo amesema katika tukio la kwanza, mtuhumiwa alimshawishi kwa kumpatia Sh2, 000 ndipo akakubali kukutana naye kimwili.

Anasema katika tukio la pili, mtuhumiwa mara ya kwanza mzee alimwita nyumbani kwake na baada ya kumwingilia kimwili alimpatia Sh5, 000.

Amesema taarifa za uhusiano wao wa kimapenzi uliodumu tangu Desemba, 2022 zilibainika baada ya mzee huyo kumtaka kimapenzi ndugu yake mwingine wa kike ambaye aliamua kufichua jambo hilo kutokana na kuchukizwa na tabia ya mtuhumiwa ya kutaka kuwa na uhusiano nao wote wawili.

Baada ya taarifa hizo kufikia familia, juhudi za kijamii za kulimaliza suala hilo kwa mtuhumiwa kupigwa faini ya gunia mbili za mpunga na baiskeli zilifanyika.

Katika jitihada hizo, mtuhumiwa aliyekuwa miongoni mwa viongozi kijijini hapo aliondolewa kwenye nafasi ya uongozi, hali iliyoibua udadisi kutoka kwa wananchi, ndipo ikabainika kuwa anatuhumiwa kwa ukosefu wa maadili kutokana na kudaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi.

"Ufuatiliaji wa wananchi ndio uliowezesha tabia chafu ya mtuhumiwa ya kuwaribuni watoto kimapenzi ikiwemo kumpa ujauzito mwanafunzi kujulikana," amesema mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Mwamala kwa sharti la kuhifadhiwa jina

Katibu wa kampeni ya kupinga ukatili (SMAUJATA) Mkoa wa Shinyanga, Daniel Kapaya, ameviomba vyombo vya dola na mamlaka nyingine husika kuhakikisha mtuhumiwa anapatikana na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria.

"Hatua za kisheria lazima zichukuliwe dhidi ya wote wanaofanya vitendo vya aina hii ili kuwa fundisho kwa wengine," ameshauri Kapaya

MWANANCHI
Babu yuko fiti aisee. Ila binti ana nyegezi.
 
Ukisikia wanaume walikua wanadumu kwa masaa 6 bila kuchoka kwenye tendo enzi za ujana wao ndio hawa sasa hadi leo bado wanadate na vibinti vya 16 years.
Ndio maana ukifuatili record ya mabibi ambao ni wake zao walikojoa kojo zao zinachimba shimo chimo tofauti na vijimwanamke vya siku hizi ambavyo vinakojoa mikojo imasambaa utafikiri anamwaga zege! vinaharibiwa kwa kudate na vizee hivi! Vingali bado vidogo havijakizi umri rasimi wa kuanza mapenzi.
Kabinti kadogo ila chini kana balaa kama miujiza ya Gwajima

Ee Mungu nirehemu mimi mja wako kwa kuendelea kumpiga bakari nondo mwamnyeto!
Maana hawa woman bado hawaeleweki kama mvua za yuko!
 
Back
Top Bottom