babu

Babù real name Anderson Rodney de Oliveira (born 23 December 1980, in São Paulo) is a Brazilian football forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waarabu wa leo wala hawafanani na babu yake mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake

    Baitul haram iliyopo Makka ndiyo nyumba ya mwanzo duniani kujengwa kwa ajili ya kumuabudu Mungu (Allah). Nyumba hii iiinuliwa kuta zake kwa mara nyengine na nabii Ibrahim na mwanawe Ismaili.Katika historia ndefu ya nyumba hii ni kwamba imewahi kupitia mikononi mwa makafiri na washirikina...
  2. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Babu Ayubu wenu ametema bungo na bado

    Na Bado! Oktoba tunanayo! Mlimuamini Babu Ayubu kama komandoo, kiko wapi lelo? Mwadhani yeye tu ndo ajua kucheza mashoati? Haya kimemramba! Alizowea kuwatia mjini kwa madevu, nyinyi walugaluga mkadhani mtu wa visiwani hatuwezi? Mshatufahamu sasa, sisi ndiyo tumesimama kwenye usukani. Apigie...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wameogopa kusema Babu Tale Kanga alikuwa anagawa za nini?

    Babu Tale anagawa Kanga za nini? Yaani wakupe miaka Mitano wewe uwape pea ya Kanga, TAKUKURU muwe mnatupa ripoti kama hizi tujue mlichukua hatua gani, au alisemaje. TAKUKURU msikalie Ripoti za namna hii. April April 10 mwaka huu 2022, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale, ambaye ni...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kaka wa Babu Tale, Iddi Shaban Taletale autaka udiwani wa Makurumla, Ubungo kupitia CCM

    Iddi Shaban Taletale ambaye ni Kaka wa @babutale amechukua fomu tayari kujitosa kuwania Udiwani Kata ya Makurumla Ubungo jijiini Dar Es Salaam. Source: Crown TV
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya Babu na Bibi kuwa "wapole sana" kwa Wajukuu zao kuliko walivyokuwa kwangu Mtoto wako ni nini?

    Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
  7. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Stori za babu wa kizungu

    Ati kwamba kulikuwa na dunia nyingine ambayo ilikuwa sambamba na dunia yetu hii,,,, zamani hizo dunia yetu ilikuwa na wale mijusi wakubwa na sisi tulikuwa katika hiyo dunia nyingine Pia namna ya usafiri kwa njia za anga ulikuwa ni kutumia aina ya ndege hai wakubwa kuvuka toka dunia hii mpaka...
  8. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Tutaelimisha mpaka babu na bibi zetu kuhusu hili la NO REFORMS NO ELECTION

    Wakuu mpo wazima hapa. Binafsi nimeamua kuwapa elimu ya NO REFORMS NO ELECTION babu na bibi yangu pia wazazi na wajomba na mashangazi. Kwa wingi wa vijana wa kitanganyika na zanzibar tunao uwezo wa kuifikisha NO REFORMS NO ELECTION kila kona ya nchi yetu. Tuna weza na tutawafikia wote...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Natamani kumsikia Jaji Warioba kwenye mambo ya kupotezana

    HUYU N MSTAAFU PEKEEE ALIEBAKIA KUONGEA WAPI TUNAELEKEA KWENYE MAMBO YAKUPITEXANA SHIKAMOO BABU POPOTE ULIPO
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekua babu kabla ya kuwa baba

    Kuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike. So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa.
  11. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Hivi mradi wa Babu wa Loliondo ulikuwa chini ya kiongozi gani ?

    Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu . Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake. Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, Babu yetu wa Bunda, anahujumu harakati za chama?

    Habari makomredi wenzangu! Mzee Wetu wa Bunda ni kiongozi wa juu wa chama Cha majani mabichi ambaye asili yake ni Upinzani. Amewahi kuwa kiongozi na mbunge wa kuchaguliwa Bunda mjini, baadaye akatimkia chama kile. Sasa kuna msemo usemao, jasiri haachi asili, yaeza kuwa anakihujumu chama chake...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wosia kutoka kwa Babu yale aliyefundishwa na Wahenga juu ya maisha: Yale Mwanaume anatakiwa kujua

    "Wakati mwingine, wewe ndiye tatizo." Kuna baadhi ya kweli katika maisha ambazo ni ngumu kumeza—lakini kuyakwepa hakuyabadilishi. Yanauma, lakini yakikubaliwa, yanaweza kukuokoa. Ukitaka kuwa mwanaume wa kweli, si kwa umbo wala umri, bali kwa busara na uwezo wa kutambua makosa yako na...
  14. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananitongoza, anatishia kuniendea kwa babu Niki endelea kumkataa

    Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa. Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema “ Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahali” Wakuu...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Hangover ya Colonialism bado inawasumbua nchi za Ulaya - Bunge la Ulaya likiongozwa na Ujerumani walioua Babu zetu na kuwatesa

    WABUNGE WA UJERUMANI NI: Michael Gahler David McAllister Hangover ya ukoloni bado inaonekana wazi kwenye siasa za kimataifa—hasa kwa mataifa ya Ulaya. Licha ya kuondoka Afrika kwa miongo kadhaa sasa, bado wanashindwa kukubali kuwa mataifa kama Tanzania ni huru, huru kujiamulia na kuendesha...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania USA wako tayari kutawaaliwa na babu kizee wa miaka 100 ila sio kutawaliwa na mwanamke,tuamke

    Mimi sio mbaguzi wa jinsia Ila hata hapo nyumbani kwako mkeo akishika usukani wa kuongoza familia ujue familia itayumba tu Sio mpango wa Mungu mke kumtawala mume
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Babu wa Loliondo kulikuwa na Ngetwa

    Kwa wale waliotumia hii dawa je ilikuwa ni ya kweli au ndo scam kama scam zingine? Jana anasema ni dawa ya miti zaidi ya 12.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Kizazi cha sasa kimejaa wajinga kuliko Babu zetu- Shikamoo TAL

    Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii...
  19. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Lile Babu jinga la JKT

    Limeanza kutamba eti yanga ni halali yao. Shida ni kunywimwa pesa lilizoba kwa injinia kwamba linadaiwa kodi ya pango,basi limeweka nongwa ya kuisakama yanga
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

    Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa.. Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye...
Back
Top Bottom