A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.
Hapo vip!
Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke.
Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu...
NB: Tukumbuke...
Salaam,
Kwa kweli sijapenda hawa wapigania uhuru kutoka Namibia, Msumbiji, Zimbabwe kutuachia watoto wasiojua baba zao, leo siku ya mashujaa kuna kambi kule Mtwara ni huruma.
Mama mmoja anajieleza walivyokuwa wanatongozwa na kuvalishwa magwanda ili waingie makambini.
NB: Tunaomba zoezi la...
URITHI WA BABA
Kuna watu husema kwamba nguo ni nguo tu hata iwe ya namna gani, ni kweli huo ni mgororo wa nafsi kabisa kwani si uungwana kuingilia mawazo ya mtu ila leo acha twende mbali kidogo Joho lina maana kubwa mno. Joho ni vazi la kiafalme lenye kubeba maana kuu ya heshima. Viongozi wa...
Msanii wa Bongo Records aitwae Daz Baba ambae alitoa nyimbo kali kama Nipe tano, umbo namba 8, wife nk.
Alituletea album classic ya Elimu Dunia kinachosikitisha ni kwamba hajawai kufaidika na mauzo ya album yake hela za mauzo anachukua P Funk Majani ambae alitengeneza mikataba ya ujanja ujanja...
Katika kanisa ninalosali kuna Baba mzazi mmoja Ana binti yake wa kwanza, japo mama wa binti huyo alifaliki baada ya kumzaa binti huyo. Baba akaoa mwanamke mwingine.
Hila huyo binti anamiaka 36 hivi Sasa. Na Ni mwalimu wa chekechekea. Shida Ni kwamba Baba mzazi hataki binti yake aolewe kabisa...
Nina siku ya 4 hapa A-town almaarufu Arachuga ila katika zunguka zunguka yangu mitaani sioni watoto wakicheza michezo hiyo zaidi ya playstation. Jamani wazazi nitoe wito au rai kwenu huu mchezo ni muhimu sana kwa jamii yetu, acheni uzungu wa kuwapa watoto michezo ya playstation na kwenye simu...
Iko hivi, katika familia moja yenye mabinti watatu na kijana mmoja wa pekee wa kiume siku moja paliingia tafrani. Kijana wa familia alipofikia umri wa kuoa wazazi na dada zake walihakikisha kijana mpendwa wao anapata mke wa ndoto zake lakini jukumu la kumtafuta mke mwenyewe likawa la muoaji...
Mosi,baba mtoto ni mtata muda wote anaweza kukataa mtoto kuwa si wake, hapa Mungu uamua kumaliza utata, angalia mimba zote zilizokataliwa watoto hufanana na baba zao.
Pili, mama ni mtata, yaani wale wanawake ambao mkigombana au mkiachana anaamua kukupiga na kombora moja kuwa mtoto sio wako...
TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19.
Leo 20:15hrs 06/07/2022
Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma na Gomola basi sitaichoma moto" Kwa mtu mmoja na neno lake,Tanzania ilipata neema na rehema mbele za...
Wakubwa shikaamoni, vijana wenzangu habari zenu,
Moja kwa moja katika mada katika huu utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu kidogo, nimegundua kwamba tunapozaliwa akili tunachukua kwa mama maarifa au ujuzi kwa baba, utafiti huu ulianzia ndani ya familia yangu kwa baba yangu mwenye wake wanne...
Siku tatu sasa tangu pacha Rehema na Neema waliokuwa wameungana kufanyiwa upasuaji na kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), mama mzazi wa pacha hao, Amina Amos amesimulia visa na mikasa aliyokumbana nayo baada ya kujifungua pacha hao.
"Niliambiwa nimezaa laana, nimeleta...
Amani kwako ndg mdau.
Kuna account naiona tweeter inaonekana haina hata wiki ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere cha kushangaza naona imelipiwa as promoted account.
Sijaelewa ipo chini ya nani au imeanzishwa na kuendeshwa kwa makusudi gani?
Kuna mdau humu anayefahamu malengo...
Wakuu salaam,
Mara kadhaa mama amekuwa akimtuhumu mzee kujihusisha kimahusiano na mama fulani ambae ni shemeji yake. Mama amejaribu kufanya jitihada za kuwaachanisha kwa njia ya mazungumzo lakini wamegoma kuachana kabisa.
Mara ya mwisho mama kajaribu kumweleza mume wa huyo mchepuko kila kitu...
Binti wa tajiri Elon Musk aliyebadili jinsia yake amewasilisha ombi la kubadilisha jina lake kulingana na utambulisho wa jinsia yake mpya na kwasababu anasema "Siishi au nisingependa kuwa na uhusiano na baba yangu mzazi kwa njia yoyote ile, kwa umbo au muundo."
Ombi la kubadilisha majina yake...
Habari wana JF, Toka siasa za vyama vingi zianze kumekuwa kumekuwa na hama hama sana ya vyama ,wengine wanahama kutokana na migogoro kwenye vyama vyao wengine wanadai wanaunga juhudi za Chama tawala.
Binafsi mimi huwa napata tabu sana kuwaamini wanasiasa kinachonishangaza mtu anahama na watu...
Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa
Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi majuzi
Kilichonisukuma kuanzisha uzi ni kuwa mbona huyu mtu ni Mwafrika wala hata sio chotara (mixed)...
Namsikiliza hapa Katibu wangu redioni anasema suala la Mama Samia kuwa na wajomba sehemu nyingine ya dunia sio kubwa Kama linavyotaka kuaminishwa.
Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati wanahamia Kigoma wakitokea Bukavu DRC baadhi ya ndugu zao walibaki huko na wanatembeleana mara...
'Baba' yake na Obama ni kwamba alikuwa ni mmoja wa watu kadhaa waliotumiwa na CIA kwa ajili ya kusimamia mpango ambao utazuia siasa za ukomunisti kutoka China na Muungano wa Sovieti usiingie Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Kennedy Foundation ilikuwa ikitoa pesa walizo ziita za ‘msaada’...
Inaweza kuonekana kama utani lakini hii imetokea juzi tu mtoto wa miaka miwili alimuua baba yake kwa kumfyatulia risasi kwa bahati mbaya
Kuna madai kuwa baba na mama wa mtoto huyo walikuwa wametoka gerezani kwa parore siku si nyingi kwa kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya hali inayoshangaza...
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.