Baba mzazi hataki binti yake aolewe

Joao de Matos

JF-Expert Member
Jun 16, 2022
334
267
Katika kanisa ninalosali kuna Baba mzazi mmoja Ana binti yake wa kwanza, japo mama wa binti huyo alifaliki baada ya kumzaa binti huyo. Baba akaoa mwanamke mwingine.

Hila huyo binti anamiaka 36 hivi Sasa. Na Ni mwalimu wa chekechekea. Shida Ni kwamba Baba mzazi hataki binti yake aolewe kabisa. Binti akipanda mtu akienda kumwambia Baba yake , Baba anajibu "sitaki kujua kuhusu hayo Mambo na usiniambie Tena hebu toka hapa" kamfanyia hivi Mara kadhaa tuu Hadi binti analia inafika kipindi analia.

Miaka Kama 4 Nyuma alitengeneza mahusiano, na kijana mmoja kanisa huyo kijana Kaka Yale tunasalinae hapa hapa kanisani na Kaka Yale ameoa.

Binti na kijana walipenda sana ikafika mpaka kipindi kanisa Zima wakajua mapaka baba yake, japo Baba yake hakusema chochote, binti alikuwa anaenda mapaka kwenye geto la jamaa kufanya usafi na kumsaidia Baadhi ya kazi nyumbani kwake, na ikafika hatua wakakubaliana wafunge ndoa. Shida ikafika namna ya kwenda kwa mzee wake.

Wakaamua kwenda kwa uongozi wa kanisa kuomba waandae utaratibu wa kwenda kwa Baba yake KUPITIA Mwamvuli wa kanisa. Kanisa likaamua kuchugua wazee wakanisa Kama 3 wanaoeshimika kanisani waende kwa mzee. Kijana akandaa barua ya posa na wazee wakaenda.

Walipo fika nyumbani kwa wakakalibishwa vizuri sana na vinywaji juu. Wakaongea na kueleza kilicho wapeleka, mzee akawajibu kuwa "Nani aliyewahambia kuwa Mimi ninaoza binti na sijatangaza binti yangu alitewe posa, sitaki kusikia kuhusu haya Mambo hebu tokeni hapa sitaki kuwaona tokeni tokeni" wazee wabusara wakandoka na kurudisha taarifa.

Binti yule alivyorudi home mzee wake hakusema chochote alinyamaza tuu mapaka leo , na binti mara nyingi akimwambia Baba nimepata mchumba mzee hapana sitaki kusika.

Washiriki wa kanisa walisema Sana juu ya iyo ishu , mpaka shemeji Yale "mke wa Kaka yake" alilalamika Sana na akasema Wenda akawa anamtaka au anatembea na binti yake.

Kijana alipata mchuba mwingine na akafunga ndoa kanisani na ukumbi nje ya kanisa na ilikuwa Ni mzuri Sana watu walikula na walifurahi , yule binti hakuja kwenye ndoa.

Hivi sababu gani inaweza kupelekea Baba mzazi kukataa binti Yale asiolewe shida Ni Nini wakuu.
Karibuni......
 
Sio lazima Kila kitu amshirikishe Baba Yake, kwa umri wake si angehama akaishi kwake? Tuna complicate issues tu sometimes
 
Attachments

  • 20220424_033920.jpg
    20220424_033920.jpg
    27.1 KB · Views: 53
  • 20220424_025543.jpg
    20220424_025543.jpg
    23.7 KB · Views: 51
Mkuu miaka 36 unamuita binti wakati ni jitu zima hilo linaelekea kwenye uzee!,Kama baba yake hataki kwanini asiulizwe shida ambayo inamfanya kumkatalia mwanaye kuolewa?,kuna serikali ya kijiji na kuna ndugu pia,kwanini wasimuite na akaeleza sababu ni nini?
 
Katika kanisa ninalosali kuna Baba mzazi mmoja Ana binti yake wa kwanza, japo mama wa binti huyo alifaliki baada ya kumzaa binti huyo. Baba akaoa mwanamke mwingine.

Hila huyo binti anamiaka 36 hivi Sasa. Na Ni mwalimu wa chekechekea. Shida Ni kwamba Baba mzazi hataki binti yake aolewe kabisa.
Binti akipanda mtu akienda kumwambia Baba yake , Baba anajibu "sitaki kujua kuhusu hayo Mambo na usiniambie Tena hebu toka hapa" kamfanyia hivi Mara kadhaa tuu Hadi binti analia inafika kipindi analia.

Miaka Kama 4 Nyuma alitengeneza mahusiano, na kijana mmoja kanisa huyo kijana Kaka Yale tunasalinae hapa hapa kanisani na Kaka Yale ameoa.

Binti na kijana walipenda sana ikafika mpaka kipindi kanisa Zima wakajua mapaka baba yake, japo Baba yake hakusema chochote, binti alikuwa anaenda mapaka kwenye geto la jamaa kufanya usafi na kumsaidia Baadhi ya kazi nyumbani kwake, na ikafika hatua wakakubaliana wafunge ndoa. Shida ikafika namna ya kwenda kwa mzee wake.

Wakaamua kwenda kwa uongozi wa kanisa kuomba waandae utaratibu wa kwenda kwa Baba yake KUPITIA Mwamvuli wa kanisa. Kanisa likaamua kuchugua wazee wakanisa Kama 3 wanaoeshimika kanisani waende kwa mzee. Kijana akandaa barua ya posa na wazee wakaenda.

Walipo fika nyumbani kwa wakakalibishwa vizuri sana na vinywaji juu. Wakaongea na kueleza kilicho wapeleka, mzee akawajibu kuwa "Nani aliyewahambia kuwa Mimi ninaoza binti na sijatangaza binti yangu alitewe posa, sitaki kusikia kuhusu haya Mambo hebu tokeni hapa sitaki kuwaona tokeni tokeni" wazee wabusara wakandoka na kurudisha taarifa.

Binti yule alivyorudi home mzee wake hakusema chochote alinyamaza tuu mapaka leo , na binti mara nyingi akimwambia Baba nimepata mchumba mzee hapana sitaki kusika.

Washiriki wa kanisa walisema Sana juu ya iyo ishu , mpaka shemeji Yale "mke wa Kaka yake" alilalamika Sana na akasema Wenda akawa anamtaka au anatembea na binti yake.

Kijana alipata mchuba mwingine na akafunga ndoa kanisani na ukumbi nje ya kanisa na ilikuwa Ni mzuri Sana watu walikula na walifurahi , yule binti hakuja kwenye ndoa.

Hivi sababu gani inaweza kupelekea Baba mzazi kukataa binti Yale asiolewe shida Ni Nini wakuu.
Karibuni......
Baba anagonga mwanae..!! Full stop
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom