Naombeni ushauri, mwanamke wangu ana ujauzito lakini hajui baba wa mtoto ni nani

Mpambanaji0626

New Member
Aug 11, 2022
1
6
Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana.

Sasa tukawa tunaishi mwenzangu akaniwekekea password kwenye kila kona ya simu yake nikawa napata wasiwasi nilichoamua nilimtegea simu ikipigwa ajirekodi.

Baada siku kadhaa bahati nzuri nilikuta kaweka nyimbo kwenye audio player mimi nilichofanya nika-add zile record bila yeye kujua kwenye audio player nikasikiliza watu wote alokuwa anawasiliana naye nikagundua alikuwa ana mtu mwingine na alikuwa anafika kwake.

Basi tuligombana sana mpaka kufikia hatua yakutengana baada ya wiki mbili yule mwanamke alinambia ana ujauzito wangu ila baada yakumbana sana mana tulikuwa wawili akanambia hajui baba wa mtoto ni nani kati ya mimi na huyo mchepuko na yeye hana uwezo wakulea hiyo mimba sababu hata mchepuko wake kaikataa sasa.

Ushauri wenu nitafanyaje mana kweli nampenda sana huyo mwanamke ila ndio hivo nahofia pia mimba hiyo isiwe ya kwangu ushauri wenu jamani.
 
Kama.na mchumbq hamjaoana ujue huyo ni Lilith na ukijiweka hapo usije kuomba ushauri hapa utakapokuwa unashushwa kaburini

Achana naye
Piga chinmtose
Mtimue
Kata mawasiliano

Subiri miezi 12 ukapime DNA ya mtoto.

Siku nyingine acha uzwazwa wa kumchunvuza sana mwanamke maana umekosa mke wa ujinga wa kumchubguza saana🤣
 
Kuna story zingine huwa siziamini Ila nikikumbuka kuna watu wanaingia kwenye mahusiano na wanawake wenye mimba changa, wanalea na kuoa juu.. Napata kuamini kiasi maana kwenye mapenzi yaliyokolea, akili hujitenga na mwili ili hisia ikutawale. Ukishtuka, ishaisha
 
Mwambie akaflash,asimlete mtoto akateseka na uchumi wenyewe Huu,mama mpumbavu Bora abaki mgumba😏
Obviously wewe ni mwanamke!

Unadhani huyo mwenzio technically hajui ujauzito ni wa nani?ni unafiki tu kutia tia huruma aonekane hajafanya kwa ubaya ili ammbebeshe zigo huyu pimbi maana anaonekana ana future kidogo.

Na akishai-flush unashauri huyu jamaa amuowe au?
 
Nimeandika tusi nikafuta nakajaribu kukuchagulia tu ila nikakumbuka akutukanaye hakuchagulii tusi nikaamua kuacha

Hivi weew jamaa unawezaje kuvumilia usaliti, naomba mbinu basi ili angalau nami nijifunze kwako,
Daaah, unamoyo wa kipekee usiokuwa na kinyaaa
 
Obviously wewe ni mwanamke!

Unadhani huyo mwenzio technically hajui ujauzito ni wa nani?ni unafiki tu kutia tia huruma aonekane hajafanya kwa ubaya ili ammbebeshe zigo huyu pimbi maana anaonekana ana future kidogo.

Na akishai-flush unashauri huyu jamaa amuowe au?
Aoe Ili iweje...atupie kule
 
Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana.

Sasa tukawa tunaishi mwenzangu akaniwekekea password kwenye kila kona ya simu yake nikawa napata wasiwasi nilichoamua nilimtegea simu ikipigwa ajirekodi.

Baada siku kadhaa bahati nzuri nilikuta kaweka nyimbo kwenye audio player mimi nilichofanya nika-add zile record bila yeye kujua kwenye audio player nikasikiliza watu wote alokuwa anawasiliana naye nikagundua alikuwa ana mtu mwingine na alikuwa anafika kwake.

Basi tuligombana sana mpaka kufikia hatua yakutengana baada ya wiki mbili yule mwanamke alinambia ana ujauzito wangu ila baada yakumbana sana mana tulikuwa wawili akanambia hajui baba wa mtoto ni nani kati ya mimi na huyo mchepuko na yeye hana uwezo wakulea hiyo mimba sababu hata mchepuko wake kaikataa sasa.

Ushauri wenu nitafanyaje mana kweli nampenda sana huyo mwanamke ila ndio hivo nahofia pia mimba hiyo isiwe ya kwangu ushauri wenu jamani.
Mwambie aende kwao tena kaa nae.mbali
 
Kukaa na mtu ambaye sio mwaminifu Ni ngumu Sana , Sasa kwa vile hamkufunga ndoa , mwambie SITAKUOA kabisa, na mwambie kuwa mimi siamini Kama ujauzito Ni wangu, Kama yeye kashidwa kujua mwenye ujauzito ni Nani Ni uzembe wake yeye MWENYEWE, na mwambie kabisa kuwa hujitambui kabisa.

Nakushauri mimba usiilee kabisa, maana Hakuna anayejua bro.

Swala la kupima DNA nasikia kuwa serikali ya Tanzania huku sometime wanaogopa watoto kuhishi bila wazazi wote wawili so kuna uhakika ukapata majibu sio sahihi bro, labda itokee wanaume zaidi ya mmoja wawewanagombea mtoto hapo ndo watatoa majibu sahihi ila sio kwamba upo pekeako.

Bro huyo hakufai kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom