azam

  1. S

    JamiiForums Tanzania AZAM TV Mmepoteza haki ya kuonyesha Bundesliga?

    Kwema Wakuu? Leo tarehe 27/01/2024 kulikua na mechi kadhaa za ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga. Sasa AZAM TV ambao hua wanaonyeshaga live hizi mechi leo hawajaonyesha hata mechi moja. Hakukua na maelezo yoyote yale kabla kuhusu kutoonyesha mechi hizi. Kama mtu amelipia package fulani...
  2. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania AFCON: TBC Inahujumiwa na Azam Tv?

    Hivi majuzi watangazaji wa TBC 1 walisikika wakilalamika kuhujumiwa na mtu ambaye hawamfahamu aliyeamua kupunguza ubora wa picha kipindi matangazo ya AFCON yanaendelea. Leo TBC1 Haipo hewani kwenye kisimbuzi cha Azam. Azam wamesema tatizo liko upande wa TBC1. Ikumbukwe kuwa TBC 1 wanaonesha...
  3. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Simba imeamua kuua timu kwa makusudi kama ilivyofanya Azam ilipokuwa kwenye kilele cha ubora mwaka 2017

    Shida ni viongozi wenye tamaa. Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017. Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala aliyekulia huko huko. Ndio njia inayopitia Simba. Kila mchezaji anayekuja na kufanya vizuri hatakiwi...
  4. Candela

    JamiiForums Tanzania Customer support ya Azam TV ni ovyo sana

    Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema invalid cam module detected. Nikasema niwasiliane na Azam TV customer care. Zile simu zao nimepiga...
  5. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Rahbi na Azam na uchambuzi wa mgogoro wa Israel na Hamas

    Yeye ni muislam, Azam channel ya muislam imemuweka awe anachambua masuala yote yanayoigusa Israel na Hamas, pamoja na wahurthi. 1. Anasapoti wahurthi Yemen, na anasema wanafanya cha maana kuzuia meli zisiende Israel na dunia iache unafiki, ishughulikie kwanza vita ya Gaza ili wahuthi waacha...
  6. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

    Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu! Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida! Mimi Binafsi siwezi...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi visivyojulikana tishio kwa DSTV na Azam

    Kuna vifaa vingi vinavyoingia tanzania kwa vile wapo sababu ya kukusanya pesa ndani ya chama ila ndio tatizo. Niliagiza ving'amuzi ambacho unalipa kwa mfumo wa crypto kinafanya channel zote dstv na azam ili mradi tu kuwa na dishi yenye masafa uweelekeo. bado nasisitizia dola tutaisikia mtaani
  8. snipa

    JamiiForums Tanzania Azam vs Singida: Naomba sababu ya goli la Azam kutokuwa offside

    Wanajamii naombeni sababu za kitaalamu zilizofanya goli la Azam kutokuwa offside. Kwakuwa marejeo ya video yanaonyesha kabisa aliefunga goli alizidi.
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Channel za ndani Azam TV zinalipiwa siku hizi?

    Mwishoni mwa mwaka jana, nilimnunulia mama yangu dishi la Azam. Hivi karibuni nimejulishwa kuwa channel zote zimekata, isipokuwa Hope TV na Azam 2. Hakuna channel zingine zo zote zaidi ya hizo, kwa hiyo hata ITV, TBC1, Star TV, n.k, hazipatikani. Leo nimeagiza fundi aitwe, lakini alipofika...
  10. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania DStv hawataonesha michuano ya AFCON mwaka huu, Azam Tv atangaza kurusha mechi zote

    Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo. Kwa upande wa pili, AzamTv wametangaza kuonyesha mubashara mechi zote za Afcon yaani mwanzo mwisho...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbona takwimu za Mcolombia wa Azam zinatia uvivu?

    1. Hiyo Cortulua ipo ligi daraja la pili. 2. Cortulua walimsajili 2023 kutoka timu nyingine ya daraja la pili 3. Ameingia kwenyw mechi 10 tu mwaka 2023 na amefunga goli 1😎 4. 2022 amecheza mechi moja na Calabobo, No goal 5. 2021 amecheza mechi 22 na R.Cartagena , akapata Goli 8 6. 2020...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Rasmi: AZAM TV watambulisha visimbuzi maalumu vya kwenye mabasi ya mikoani na magari ya safari ndefu

    Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo. ======== Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with...
  13. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania Ushauri boti za Azam

    Kwanza kabisa niwapongeze kwa kuwa na usafiri mzuri na wa uhakika ila niwape ushauri kidogo. Hata kama ni daraja la Economy tambueni kuna watoto, wazee na wanaohitaji msaada. Tiketi hata za basi siku hizi kuna namba ya siti ila kwenye boti zenu daraja la economy kiukweli mnakose. Boti inajaza...
  14. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Mitandao ina nguvu; hatimaye Azam TV wamekuwa waungwana kwenye Krismasi ya mwaka huu 2023

    Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini.. Kwa mfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa...
  15. uran

    JamiiForums Tanzania FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

    Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC. Muda ni Saa 10 Jioni. Kila la heri mnyama. Kikosi Cha KMC Kinachoanza Kikosi cha Simba Kinachoanza Nguvumoja. Dakika ya 32' KMC wanapata goli la Kwanza Kupitia kwa Waziri. Game On. KMC 1 - 0 Simba HT...
  16. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu; Chama Jr akija Yanga, Benchi litamuhusu sana. Nashauri aende Azam

    Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi. Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi. Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga! Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Azam wamejipanga, mapacha wa Kariakoo lazima wapambane

    Azam! Azam FC Hawa jamaa baada ya muda mrefu kujitafuta hatimaye naona wamejipata. Wanatembeza vipigo vikali bila kujali ni uwanja upi. Leo baada ya kumkanda Kagera Sugar goli 4 Kwa yai, nawastua wababe wa Kariakoo pale wasipostuka kuna mmojawao atachomoka top 2 pale.
  18. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kisiasa Azam TV Desemba 18, 2023

    Kuna kijana mmoja, mwembamba hivi ni mwalimu wa Mwalimu Nyerere memorial kama sikosei, huwa anapenda sana kuchambua mambo ya Urusi, na Palestina. huyu kijana ni mdini na amekuwa akisambaza sumu nyingi sana, watu wengi wamekuwa wanalalamika ila naona wanachelea kuliongea, anachokileta Tanzania ni...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Boss Mkuu wa Azam Media Company Mwamba / Mngwena Tido Dustan Mhando atangaza Kustaafu rasmi

    Huna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau ) Haya tuliobakia hapo sasa tuhakikishe tu tunapoenda Kuroga ili hiyo nafasi tuteuliwe Sisi turoge kwa...
  20. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

    Naam majira ya saa 12:30 jioni ya Leo wananchi tutakuwa na jambo letu Magoli mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na mengine ya Kennedy Musonda na Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ yameipa Yanga ishindi wa magoli 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Azam complex Jijini Dar es Salaam. Yanga...
Back
Top Bottom