Boss Mkuu wa Azam Media Company Mwamba / Mngwena Tido Dustan Mhando atangaza Kustaafu rasmi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,638
108,996
Huna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau )

Haya tuliobakia hapo sasa tuhakikishe tu tunapoenda Kuroga ili hiyo nafasi tuteuliwe Sisi turoge kwa Nidhamu na siyo kwa Kuuana kwa kutupiana Majini na zile Ajali zetu wa Ajabu Ajabu zilizoondoka na Rafiki yangu Marehemu Salim na Jirani yangu Kawe Marehemu Idi Mambo ambaye Baba yake Mzazi alikuwa Dereva wa CDF Mstaafu Jenerali Robert Mboma.

Kila la Kheri Tido Dustan Mhando, Kapumzike sasa na Asante kwa Utumishi wako wa Kutukuka wa Miaka 10 hapo Azam Media Company ukiwa kama CEO Wao.

Kuanzia Kesho Waganga wa maeneo mbalimbali watapata Ugeni mwingi wa Watu wanaokimezea na waliokuwa Wakikimezea Mate hicho Cheo cha Mwamba na Fundi Tido Dustan Mhando.

GENTAMYCINE namalizia kwa Ujumbe wangu kwa Waziri wa sasa wa Habari nchini na kwa Wabunge wote wa Majimbo ya Mkoani Tanga ( hasa atokalo Tido Dustan Mhando ) kuwa mkiona anayepasha Nje ya Uwanja ni Golikipa jueni kuwa anayetoka siyo Beki au Kiungo au Fowadi sawa?

Nimemaliza.
 
Tanga akagombee labda kilindi na mkinga huku kote majimbo ni ya mawaziri
 
Uamuzi Mzuri, Wakati Mzuri Nenda Dustan Tido Mhando
Mwakani Kuna Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Halafu 2025 Uchaguzi Mkuu Rais,Mbunge, Diwani

Ukiwa TBC Ulianzisha Kipindi Kizuri Sana Sana Baadaye Ccm Wakaona Hawapiti Wakakupindua Kwa Kesi Za Kutengeneza Ukachafuka Tena
 
Huna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau )

Haya tuliobakia hapo sasa tuhakikishe tu tunapoenda Kuroga ili hiyo nafasi tuteuliwe Sisi turoge kwa Nidhamu na siyo kwa Kuuana kwa kutupiana Majini na zile Ajali zetu wa Ajabu Ajabu zilizoondoka na Rafiki yangu Marehemu Salim na Jirani yangu Kawe Marehemu Idi Mambo ambaye Baba yake Mzazi alikuwa Dereva wa CDF Mstaafu Jenerali Robert Mboma.

Kila la Kheri Tido Dustan Mhando, Kapumzike sasa na Asante kwa Utumishi wako wa Kutukuka wa Miaka 10 hapo Azam Media Company ukiwa kama CEO Wao.

Kuanzia Kesho Waganga wa maeneo mbalimbali watapata Ugeni mwingi wa Watu wanaokimezea na waliokuwa Wakikimezea Mate hicho Cheo cha Mwamba na Fundi Tido Dustan Mhando.

GENTAMYCINE namalizia kwa Ujumbe wangu kwa Waziri wa sasa wa Habari nchini na kwa Wabunge wote wa Majimbo ya Mkoani Tanga ( hasa atokalo Tido Dustan Mhando ) kuwa mkiona anayepasha Nje ya Uwanja ni Golikipa jueni kuwa anayetoka siyo Beki au Kiungo au Fowadi sawa?

Nimemaliza.
Sio mbaya wacha atundike dalunga maana katumikia kwa kiasi kikubwa.

Tatizo la vijana wa sasa wavivu kuchota na kuiga maarifa.
Tido ni hazina kubwa katika tasnia ya habari.
 
I think so...
Maana Muslims wametawala industry karibia yote ya media & entertainment Bongo. Cheki mifano hapa chini:

  • Salama Jabir
  • Dullah Planet
  • Samatta
  • Twaha Kiduku
  • Platnumz
  • Raymond Shaaban
Achana na milengo ya kidini.
 
Kwanini anastaafu, mbona bado ana nguvu sana. Huyu na watu kama Dr. Kimei ni watu ambao bado wanahitajika sana kwenye profession zao.
 
Back
Top Bottom