Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2!
Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba...
Habari na poleni na majukumu wanajukwaa,
Hivi karibuni nimekuwa nikijihusisha na kutengeneza web applications zinazojumuisha maswala ya malipo. Kwa kipindi hicho chote, nilikuwa natumia APIs za Stripe. Kama mnavyojua, Stripe ni ya nchi za magharibi hivyo ukiwa nchi zetu hizi mara nyingi utaweza...
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.
Soka letu kivyetuvyetu.
Klabu ya @simbasctanzania imethibitisha kuwa siku ya tarehe 28/2/2024 watacheza mchezo wao wa ASFC dhidi ya TRA kwenye Uwanja wa Azam Complex.
Mchezo huo utakuwa pia ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa mwisho wa CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy.
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 ASFC
⚽️ Young Africans SC🆚Polisi TZ
📆 20.02.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania
Mpira umeanza
Dakika ya 13
Goaaaaaaaal Guedeeeee
Dakika 45+1
Chuma cha piliii Farid Mussa⚽️🙌🏼
Dakika ya 45 niongeza 2
Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
King'amuzi ninacholipia ni kile cha Tsh 25,000/= napenda sana kuangalia NBC PREMIER LEAGUE na vipindi vingine, lakini sasa huu mchuano mkali wa mgao wa umeme imebidi niombe Suluhu.
Wasomi wa Tanesco na wasomi wa Azam kaeni chini msugue BONGO zenu mje na suluhisho Tanesco mnanisaidia sana BILL...
Ni wale wanaohoji makocha baada ya mechi.
Kuna mmoja alikuwa anamhoji kocha wa Simba wa makipa baada ya mechi na JKT. Yaani aibu niliona mimi aisee. Full kujichanganya mfano "what did your players gave you". Mwishoni akashindwa kusema thank you akasema "shukrani"
Ni aibu kwa kweli. Jipigeni...
Kule kuna channel za kikristo nyingi, kwenye other channels amebakisha moja tu ya kiislam. NIlitamani ziendelee kuwepo manake kuna mahuburi sisi wengine huwa tunasikiliza kule. Laiti kama angekuwa amefuta kabla sijalipia kifurushi ningeshukuru. Kwangu hakuna shida kwasababu nina option ya DSTV...
Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch.
Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi...
Match Day!
Mchezo wa 13 kwa Simba akiwa na Alama 29 nafasi 3.
Azam wao wako nafasi ya 2 wakiwa na Alama 31.
Simba alipoteza mara mbili Mfululizo kwa Azam Fc.
Hii ni Mechi ya kisasi.
All the Best Mnyama.
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
Kikosi cha Azam Kinachoanza
Updates...
Timu...
Jamaa maneno meeeengi hata hayahusiani na game yenyewe. Akimtaja mchezaji ataanza kumchambua weeee hadi club alizopita, badala ya kutangaza mpira unaochezwa uwanjani yeye ni ujuaji na story tu. Yaani utafikiri yupo kwenye kipindi cha majadiliano.
Too much boring.
Halafu hata tone/sauti yake...
Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji.
Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua.
Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri...
Nilikuwa ninaangalia Mahojiano ya Kocha wa Azam bwana Youssoph Dabo kupitia Azam FC TV, kuna mengi kwenye interview ile kuhusu Mpira wetu; mfano kuna swali aliulizwa juu ya wachezaji wa Tanzania akisema; Tanzania kuna wachezaji wazuri sana, ila tatizo kuu ni moja 'hawana ukorofi wa kimpira'. Kwa...
Kwema Wakuu?
Leo tarehe 27/01/2024 kulikua na mechi kadhaa za ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga.
Sasa AZAM TV ambao hua wanaonyeshaga live hizi mechi leo hawajaonyesha hata mechi moja. Hakukua na maelezo yoyote yale kabla kuhusu kutoonyesha mechi hizi.
Kama mtu amelipia package fulani...
Hivi majuzi watangazaji wa TBC 1 walisikika wakilalamika kuhujumiwa na mtu ambaye hawamfahamu aliyeamua kupunguza ubora wa picha kipindi matangazo ya AFCON yanaendelea.
Leo TBC1 Haipo hewani kwenye kisimbuzi cha Azam. Azam wamesema tatizo liko upande wa TBC1.
Ikumbukwe kuwa TBC 1 wanaonesha...
Shida ni viongozi wenye tamaa.
Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017.
Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala aliyekulia huko huko.
Ndio njia inayopitia Simba. Kila mchezaji anayekuja na kufanya vizuri hatakiwi...
Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema invalid cam module detected.
Nikasema niwasiliane na Azam TV customer care. Zile simu zao nimepiga...
Yeye ni muislam, Azam channel ya muislam imemuweka awe anachambua masuala yote yanayoigusa Israel na Hamas, pamoja na wahurthi.
1. Anasapoti wahurthi Yemen, na anasema wanafanya cha maana kuzuia meli zisiende Israel na dunia iache unafiki, ishughulikie kwanza vita ya Gaza ili wahuthi waacha...
Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!
Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!
Mimi Binafsi siwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.