Mbona takwimu za Mcolombia wa Azam zinatia uvivu?

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
1. Hiyo Cortulua ipo ligi daraja la pili.

2. Cortulua walimsajili 2023 kutoka timu nyingine ya daraja la pili

3. Ameingia kwenyw mechi 10 tu mwaka 2023 na amefunga goli 1😎

4. 2022 amecheza mechi moja na Calabobo, No goal

5. 2021 amecheza mechi 22 na R.Cartagena , akapata Goli 8

6. 2020 alicheza mechi 4 na Lianeros akafunga Goli 1

7. 2019 mechi 5 na Leones , Goli moja

8. 2017-2018 hakucheza kabisa.

9. Tangu 2016 Jumla ana mechi 43 na Goli 12

10. Hajawahi kuitwa timu ya taifa hata za Vijana hata kwa mwchi ya kirafiki

8. 2016-2021 alicheza mechi 7 za Kombe la wachezaji wa akiba alipata goli 6.

10. 2020 alitolewa kwa mkopo na Leones kwenda Leaneros na baadaye akachwa. Akaingia Cartagena kama mchezaji huru na akaachwa mwisho wa msimu.,

11 Akaenda Cartagena kama mchezaji huru nao wakamuacha mwisho wa msimu.

12. Calabobo wakamchukua 2022 kama mch huru pia nao wakamuacha. Ndipo alipochukuliwa na Cortulua kwa mwaka, Ndo Azam wakaingia hapo.

13. Thamani yake sokoni ni kama Paundi 100,000/=

Hizo ndizo nimezipata. Wengine mniongezee nyama. 😀😂
 
Alileta poda huyo Kwa kigezo cha mpira a.k.a Punda!!!
 
Hii Cortulua ikisimama na Simba hii ya Kibu inakufa mapema sana.

Cortulua haiwezinkusimama na Ahliy. Ni timu dhaifu kwa ukubwa wa Giants wa Tz au Africa.

Wapunguze Tambo lambalamba.
Ligi yetu siyo kubwa kiasi hicho ila Ina timu kubwa.

Hao kina Luis, chama,mayelle wanachukuliwa Kwa kuwa huwa wanatoka timu kubwa.
 
Jumlisha na zile za kipa la dunia ayubu
Ayoub alikuwa kipa bora kule Morroco hata market value haidangayi.

Thamani ya Diarra ni Euro laki mbili na ukiwa muongeaji bei inaweza kushuka zaidi

Screenshot_20240101-163746.png


Wakati Ayoub ni Euro milioni na upumbavu.
Screenshot_20240101-163935.png


Kwa hiyo Diarra na Ayoub ni vitu viwili tofauti yani ni sawa na ufanye comparison kati ya Missile Launchers na Gobole

Labda tumfananishe na Shiboub
Screenshot_20240101-164208.png
 
Ayoub alikuwa kipa bora kule Morroco hata market value haidangayi.

Thamani ya Diarra ni Euro laki mbili na ukiwa muongeaji bei inaweza kushuka zaidi

View attachment 2859363wakati Ayoub ni Euro milioni na upumbavu.
View attachment 2859364

Kwa hiyo Diarra na Ayoub ni vitu viwili tofauti yani ni sawa na ufanye comparison kati ya Missile Launchers na Gobole

Labda tumfananishe na ShiboubView attachment 2859365
Diara alicheza under 20 World Cup final
Na bado Mali anaitwa national team sio rahisi

Kwanza ayubu tumemchukua bure hiyo thamani imetoka wapi?

Tuache propaganda mkuu simba tumebugi
 
Diara alicheza under 20 World Cup final
Na bado Mali anaitwa national team sio rahisi

Kwanza ayubu tumemchukua bure hiyo thamani imetoka wapi?

Tuache propaganda mkuu simba tumebugi
Mbona Bigirimana alicheza New Castle kwa hiyo tuseme naye ni mchezaji bora??

Huyo Ayubu mliyrmchukua bure itakuwa Ayubu kani
 
Back
Top Bottom